vibanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kati ya kuchoma vifaranga toka Kenya na kuchoma vibanda vya machinga ipi dhambi kubwa?

    Kati ya kuchoma vifaranga toka kenya na kuchoma vibanda vya machinga hapa ipi ni dhambi kubwa?
  2. Nani anachoma moto masoko na vibanda vya wafanyabiashara?

    Recently kuna Vibanda vya wamachinga vimeteketea Mabibo Hostel , Mwenge na leo Tunduma , hatujui kesho ni wapi ? Ni nani anayechoma moto vibanda na masoko haya na kwa faida ya nani ? tafadhali usije na majibu uchwara kama huna majibu Shut up .
  3. Moto jirani na hosteli za UDSM wateketeza vibanda vya wafanyabiashara

    Moto ambao chanzo chake hakijafahamika umeteketeza vibanda vya wafanyabiashara vilivyopo kando ya barabara ya kuelekea katika hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Moto huo ulianza leo Ijumaa Novemba 12,2021 saa 2 asubuhi lakini kikosi cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilifika eneo...
  4. Mwanza: Bomoabomoa yaacha Machinga na vilio

    Hapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa. Sikufurahishwa na Wamachinga kuzagaa kila mahali, lakini kilio chao kimenisikitisha sana, Viongozi waliowatapeli hawa watu na kuwaweka kwenye maeneo hatarishi hadi wakajisahau namna hii walaaniwe haraka.
  5. Vibanda vya wamachinga mtaa wa Msimbazi Kariakoo vyasambaratishwa

    Nimepita hapo muda si mrefu, naona Kariakoo inaanza kupendeza sasa, hongera na pongezi zote zimuuendee mkuu wa mkoa. ================================ Update: Polisi wakimbizana na Wamachinga Dar
  6. Tupeana updates za kuhama kwa Wamachinga

    Hebu tupeane update za zoezi la kuhama kwa wamachinga eneo ulipo. Mimi nimepita pale UHASIBU kutokea Kigamboni, nimekuta Wamachinga woote wameitikia wito wa kuhama, wapo busy wanabomoa vibanda vyao
  7. Barabara mpya Mwenge - Morocco, vibanda vituo vya mabasi vyapopolewa utadhani daladala zina usongo navyo

    Wanaume waliozoea bangi sasa wameingia Dar. Na wana usongo na barabara mpya ya Mwenge mpaka Morocco. Sina uhakika kama brabara hii imeshazinduliwa , na sasa tayari jamaa wanapopoa vibanda ambavyo havina hata miezi minne. Vibanda vya mabasi vinapopolewa na mabasi ya daladala , utafikiri...
  8. Poleni sana wamachinga, hiyo ndiyo CCM haijawahi kubadilika

    Siku zote kitambaa cha kaniki kitabakia kuwa kaniki tu. Wamachinga walidanganywa sana na mwendazake kuwa ccm inawajali sana hivyo wakaingia mkenge na kuisapoti mwaka 2015. Leo hii yule bwana hayupo tayari wameanza kilio cha samaki . Nawashauri wajue kuwa ccm haijawahi kuwa na huruma .
  9. Vibanda vya wamachinga juu ya mitaro barabarani ndio chanzo cha harufu mbaya Dar es Salaam

    Jana mchana wakati nimetoka kanisani Pugu Kajiungeni (Njia panda ya Chanika na Kisarawe ) niliamua nikapate viepe na kuku kwa muuza chips aliyeko kando ya barabara. Nimefika pale nilishangaa yule kijana muuza chips anawezaje kukaa pale angalau kwa nusu saa. Yaani kijana yule pale ndipo maskani...
  10. Kero: Msongamano wa vibanda vya machinga Mbezi Mwisho unaziba maeneo ya waenda kwa miguu

    Msongamano wa vibanda vya wafanyabiashara wadogo maarufu machinga hadi kuziba eneo la waenda kwa miguu katika eneo la Mbezi Mwisho, Manispaa ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, kitendo kinachosababisha usumbufu kwa wapita njia na vyombo vya moto. PICHA: SABATO KASIKA Chanzo: Nipashe.
  11. D

    Serikali itazame ujenzi holela wa vibanda mitaani

    Naomba serikali yetu ya mama Samia ifanye juu chini kuondoa vibanda barabarani. Mji unazidi kuharibika naona wameanza hapo Ilala mtaa wa Uhuru ukuta wa Hospitali ya Amana kuweka vibanda na meza za kudumu.
  12. Idea ya biashara: Kutengeneza vibanda vya wamachinga na kuvipangisha

    Wakuu nina idea ya kitengeneza vibanda vya wamachinga na kuvipangisha. Vibanda hivyo nitaviweka pembezoni mwa barabara zote kubwa zilizopo mjini..kuanzia Shekilango, Sinza, Goba, Mbezi n.k Naomba kama kuna mwenye mchango wa mawazo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…