Kati ya jambo ambalo Wapinzani wa nchi hii hawakuwahi kulijua huko nyuma ni kwamba sehemu pekee ya kushikilia kwenye nchi hii ili tupate mabadiliko ya kweli kwa maslahi mapana ya Taifa ni KATIBA MPYA.
Uzoefu wangu katika kuwa mwanachama hai wa CCM kwa takriban Miaka 30 umenionesha vizuri sana...
Wakuu
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, akizungumza katika Kongamano la Wanawake lililofanyika jijini Dodoma leo, Februari 4 amedai "Siku hizi wako watu nje ya Tanzania, na wana Vibaraka ndani ya Tanzania ambao wanasema CCM mmekaa sana madarakani. Na mimi nawauliza...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuna watu nje ya Tanzania wenye vibaraka ndani ya Tanzania ambao wamekuwa wakieleza kuwa CCM imekaa sana madarakani, ambapo amedai kuwa kauli zao hizo ni propaganda huku akisisitiza kuwa CCM itaendelea kuongoza...
Serikali nyingi za Afrika, ikiwemo Tanzania, zimekuwa vibaraka wa mataifa ya nje, hali ambayo inachangia kung’ang’ania madaraka, chaguzi zisizo huru, na ulinzi wa kimataifa kwa tawala za kidikteta. Hii ni sehemu ya mfumo mkubwa wa kisiasa na kiuchumi unaodumaza bara la Afrika, unaoendeshwa na...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa Tanzania haitakubali kulazimishwa kuiga tamaduni za mataifa ya Magharibi, ikiwemo ndoa za jinsia moja, na kusisitiza kuwa CCM itaendelea kuongoza kwa ridhaa ya Watanzania kuepuka mambo hayo.
Akizungumza Januari...
Jihad ni process, kwa hio magharibi wasichukulie poa.
Amani na uhuru ni thamani, kwa hio itikadi kali wasichukulie poa.
Hii vita imeipa shape ya kujua hali halisi ya middle east na namna ilivyo athiri duniani kote. Tumejifunza na kujua kuwa ile ni vita ya kidini na itikadi.
Ni vita ambayo...
Wanatengeneza kansa katika jamii zao kwa ajili tu ya kuwafurahisha wahamiaji holela, LGBTQ, Feminists, Anti-Christs, #freepalestine (utapeli) , etc
Kama ilivyo sera yao ya uhuru na Hatua za bila mipaka itapelekea msingi wa familia kuharibika, jeshi kuwa dhaifu kutokana na influence ya upinde...
Kuna vyombo vya habari nchi hii vinashabikia uvunjifu wa amani, wanashabikia habari hasi dhidi ya serikali. Je ni kwamba wana ajenda ya siri, wanatumiwa na vibaraka kuchafua taswira ya nchi yetu? Je, nchi hii ikiparanganyika wao wana nchi nyingine ya kuishi? Imekuwa kawaida vyombo vya habari km...
Washabiki, wafuasi na vibaraka wa Mwendake, akili zao ni za hovyo kupindukia na huwa wako teyari kufanya lolote kwa yeyeote ataesema jambo baya kuhusu Mwendazake hata kama kweli huo ubaya ulifanywa na Mwendazake.
Niwaambie tu, hata mauji ya Mzee Kibao yangefanywa na Mwendazake, wangetetea kwa...
Naona mnataka kujitoa fahamu na kutaka kupindisha maana.
Mnataka kuficha ukweli kuwa Mbowe ni kibaraka wa CCM?
Hamjui kuwa Lipumba ni kibaraka wa CCM?
Zitto Kabwe ni kada wa CCM.
Mtoa taarifa ni informer. Ndio Makonda kaweka wazi.
Makanda wenye uchungu na nchi yetu tunaumia. Angalia mlinzi...
Hali mbaya waliyonayo wapalestina wa maeneo yote hakukuwa na haja ya matumizi ya diplomasia na ahadi za mazungumzo.Ilikuwa ni kuchukua maamuzi sambamba na ukatili unaofanywa na serikali ya Israel kwa wapalestina wanyonge.
Kinyume chake seikali ya mfalme Abdallah wa Jordan imemuita nyumbani...
Tunakwamishwa na vibaraka wachumia matumbo yao kupitia siasa.
Inatakiwa kuwatambua mapema na kuwakataa kwa manufaa ya ukombozi wa Mtanzania.
Wametufanya sisi kama Mazumbukuku bana.
Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Maliasili ya nchi ya mwaka 2017 kuwa zisitumike katika miradi ya...
Katika hali ya kawaida, ungetegemea wananchi kutokuunga mkono mapinduzi dhidi ya viongozi wao waliowachagua wenyewe.
Tatizo ni kwamba baada ya kuchaguliwa viongozi huamua kuwa vibaraka wa mabeberu wa nchi za magharibi na kuwasahau wananchi waliowaweka madarakani.
Sasa Rais aliyepinduliwa...
1: Usimpe nafasi kwa kumtajataja na kumzungumzia. Tumia muda mwingi kumzungumia Mungu na uweza wake. Mtoe kabisa akilini na kwenye fikra zako mjaze Mungu badala yake.
Waefeso 4:27
wala msimpe Ibilisi nafasi.
2: Mpinge. Usiunge mkono juhudi zake. Ukiona anakufatafata na kukusumbuasumbua ni...
Ni muda muafaka sasa kuachana na malipo ya Dola ya Marekani. By William Ruto.
Rais wa Kenya, William Ruto ametoa ushauri huo kwa viongozi wa Afrika akisema ni muda wa kuanza kuchukua hatua ya kuachana na malipo ya fedha kwa kutumia Dola ya Marekani badala yake kuwepo na mfumo wa malipo wa...
Hello,
Mimi kazi yangu kuwakumbusha vijana kuacha kutumika na wanasiasa hasa upinzani itakuja kuwagharimu baadae.
Juzi niliketa uzi kama uhu akatokea kijana mmoja akaja nishuhudia kuwa, “unacho ongea ni kweli kwasababu mimi ni mmoja wa athirika na hilo janga, nimekuwa mwanachama wa chama...