vibaraka

  1. J

    Hayati Magufuli aliwasaidia Chadema kuchuja Vibaraka na Makamanda original

    Au nasema Uwongo ndugu zangu. Vibaraka wote wenye vinasaba vya CCM hayati Shujaa Magufuli aliwatwaa na kuwarejesha Lumumba na kuiacha Ufipa st na Makamanda original. Sasa utakuta 2025 Chadema inaenda tena CCM kuomba mamluki wa kugombea Urais na Ubunge ili kudumisha Maridhiano J3 Ubarikiwe sana.
  2. Idugunde

    Zitto: Kama hatuwezi kujenga ofisi yetu wenyewe tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma?

    Hii ni kupigana midongo ya nguvu "Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?" 👇
  3. M

    Arusha bado kuna vibaraka wa Mkurugenzi Pima, mkinyamaza Arusha bado si salama

    Licha ya Kuwa Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dr John Pima na Wenzake wanne amefikishwa mahakamani kwa kosa la uhujumu uchumi bado kuna baadhi ya vishoka ambao wamesalia ambao wakiendelea kuachwa wataharibu kabisa jiji la Arusha Na hili nakuomba sana viongozi wa Chama cha mapinduzi na...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa kinachoendelea huko Ukraine sasa nimeelewa kwanini viongozi wetu wa Afrika wameamua kuwa Vibaraka tu

    Kwema Wakuu! Kwa yanayoendelea mataifa ya kiarabu na sasa habari inayovuma ni Uvamizi wa kijeshi wa taifa la Urusi Kwa Taifa la Ukraine ni dhahiri kuwa Waafrika hawana namna ya kufanya zaidi ya kuwa Vibaraka. Sisi ambao hatujawahi kushika nafasi za juu katika nchi tunaweza kuwalaumu hawa ndugu...
  5. M

    Wanasiasa Vibaraka wana cha kujifunza kwa Mobutu Ssese Seko

    Asalamalakum, Nchi yetu imebarikiwa kuwa na resources nyingi sana ikiwemo dhahabu, gas, ardhi, strategic location na amani, hivi ni vitu muhimu sana kwa watu wanaotaka kujiendeleza kiuchumi, unfortunately kumekuwa na "scandals" kadhaa za wanasiasa kuuza rasilimali za taifa kwa wawekezaji bila...
  6. SankaraBoukaka

    Ufaransa na Makoloni yake Afrika ndio Uhalisia Wetu/Afrika kuendelea ni ndoto

    Wakati SÉKOU TOURÉ wa GUINEA alipoamua mwaka 1958 kuondoka katika himaya ya kikoloni ya Ufaransa, na kuchagua uhuru wa nchi hiyo, wasomi wa kikoloni wa UFARANSA huko PARIS walikasirika sana, na katika kitendo cha kihistoria cha hasira, utawala wa Kifaransa nchini GUINEA uliharibu kila kitu...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Je, Scholarship ni mbinu ya kutengeneza Vibaraka hasa wa Kisiasa?

    JE SCHOLARSHIP NI MBINU YA KUTENGENEZA VIBARAKA WA KISIASA? Anaandika Robert Heriel. Scholarship inaweza kuwa na maana nyingi, mojawapo ni kumsaidia mtu/mwanafunzi kirasilimali aweze kupata elimu Fulani; Rasilimali hiyo inaweza kuwa Fedha, au mahali pa kuishi(makazi), au chakula, au vitendea...
  8. Tz boy 4tino

    Kwanini Nchi za Magharibi zinalenga kuzigawanya nchi nyingi za Afrika?

    Mpaka sasa, Jambo lilo wazi katika vita ya Ethiopia ni mkono wa nchi za magharibi katika mgogoro huo. Baadhi ya viashiria vinavyoonyesha mkono wa nchi za magharibi katika vita hiyo: matumizi ya magari ya FAO yaliyopeleka msaada wa vyakula na waasi wa TPLF. Ushahidi wa Marekani na washirika...
  9. Shujaa Mwendazake

    Mbowe na CHADEMA ni jiko zuri la Viongozi, wengi wateuliwa

    Watoto Wa Freeman Mbowe Kisiasa! David Kafulila, RC Mwita Waitara, N/Waziri Joshua Nassari, DC Fakii Lulandala, DC Albert Msando, DC David Silinde, N/Waziri, Vincent Mashinji, DC Mwambe, MB P. Gekuli, N/Waziri Shonza, MB Katambi, N/Waziri LijuaLikali, DC Kitila Mkumbo /Waziri Nadhani ni sahihi...
  10. Shujaa Mwendazake

    Mashujaa katika Serikali ya Awamu ya Tano waliokataa kuwa watumwa na vibaraka

    Habari za usiku wanabodi, Leo nimetafakari sana kuhusu Shujaa wa kizamani na jinsi legacy yake inavyozungumziwa kwa muktadha wa Uzalendo kwa taifa. Lekini kauli au neno la "Shujaa/Hero" maana yake ndogo ni "anaweza kukabili jambo lolote kwa ujasiri, bila kuzuiwa na woga. ". Katika awamu ya...
  11. C

    Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    UTANGULIZI Amini usiamini, wale wale ambao wamekuwa wakijivika uzalendo, linapokuja suala la Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ndiyo hao hao wanaotumikia Mabeberu bila wao kujijua! Nitajadili mada hii katika sehemu mbili:- Kwanini wale wanaoitwa Mabeberu hawawezi kuwa tayari kuona miradi kama ya...
  12. L

    Uchaguzi wa 2020 ulivyoweka vibaraka wa Mwigulu Jimbo la Iramba

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Innocent Msengi ni ndugu na rafiki wa karibu wa Dr. Mwigulu. Huyu bwana hujinasibu alimaliza kidato cha nne. Lakini ukweli ukweli hatakiwi kujisema hivyo kwa kuwa alikuwa darasani na kakangu mimi na aliambulia Daraja la Sifuri - kitu ambacho huwa...
  13. Nyankurungu2020

    Vibaraka wa mabeberu tambueni kuwa Tanzania ni dola huru, ina mamlaka kuamua iwalinde namna gani raia wake

    Ibara ya 1 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania (JMT) imetamka wazi kuwa Tanzania ni dola huru yenye mamlaka yake ya kujitawala. Kwa mantiki hii rais wa JMT ana mamlaka ya kuwalinda raia na taifa zima la Tanzania bila kuingiliwa na ushawishi toka mahala popote. Tambueni kuwa Tanzania...
  14. A

    Mbona wanaoshangilia Viti Maalum vya CHADEMA ni CCM?

    Nimekua nikijiuliza, hivi kwanini CCM wanashangilia sana kuapa kwa wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA kuliko hata wanaCHADEMA wenyewe? Jibu lililowazi ni kuwa Uchaguzi wa October umefanya viongozi wateule kukosa uhalali wa uongozi ndani na nje ya nchi (haswa nchi za magharibi). Hili sio tatizo...
  15. Leslie Mbena

    Tumeyashinda mabepari, tumeyashinda mabeberu, tumewashinda vibaraka wao Tundu Lissu, Zitto Kabwe na Robert Amstaderm

    TUMEYASHINDA MABEPARI,TUMEYASHINDA MABEBERU,TUMEWASHINDA VIBARAKA WAO TINDU LISSU,ZITTO KABWE NA ROBERT AMSTADERM. Leo 09:30hrs 01/11/2020 Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi wa asilimia 84.5% umerudisha heshima kwa Wapigania Uhuru wote waliopambana kuleta Uhuru mwaka 1961,Ushindi wa CCM umerudisha...
  16. mugah di matheo

    Tundu Lissu v/s Bernad Morrison, hapa hakuna namna ya vibaraka kuhamisha attentions za watu?

    Kutokana na ukubwa wa simba na yanga pale unapoanza mgogoro baina yao huwa unachukua hisia za watu wengi sana. Je, katika kipindi hiki ambapo Wakili msomi Tundu lissu anafanya vizuri kwenye kampeni sio kwamba watawala wameamua kuanzisha mgogoro ambao utahamisha hisia za wananchi kwenye kampeni...
  17. Erythrocyte

    Zanzibar 2020 Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mhe. Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti. Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia...
  18. N

    Ukweli hadharani: bado dakika chache tugundue vibaraka wa mabeberu kwenye TV stations

    Nasema hivi kuanzia saa moja usiku TV stations mbalimbali hurusha taarifa zao za habari na naomba muangalia vizuri sana tena kwa makini. - Wapo watakaotangaza habari ya kupigwa pini mipaka ya Kenya kwa huzuni sana - wapo watakaotangaza wakijifanya wana huzuni lakini facial expressions zao...
  19. G Sam

    Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

    Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao. Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema. Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari...
  20. Logikos

    Propaganda za Vibaraka na Usaliti wa Wasaliti

    Ni wapi mzalendo anapokuwa msaliti na mtetea anachokiamini anapoitwa Kibaraka, na ni wakati gani hayo maneno yanakuwa propaganda za kumtoa mtu kwenye mstari ? Mpaka pale tutakapoanza kusikiliza ni nini kimesemwa na sio nani kasema, na vilevile tutakapotaka kujenga umoja na utaifa (ubinadamu) na...
Back
Top Bottom