vibarua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Vibarua wanaojenga SGR Itigi wamegoma kufanya kazi wakidai maslahi ni duni kwa Wazawa

    Sisi Wafanyakazi tunaofanya kazi katika Mradi wa SGR Kituo cha Itigi Rot 2 Camp, Kampuni ya Yap Merkez ambao tunatengeneza Kilometa 150 tumeamua kuingia katika mgomo huo kutokana na maslahi duni hasa kwa wazawa. Mgomo huo ulianza kwa walioingia usiku wa jana tarehe 6 mwezi wanne 2023 na sisi...
  2. Hemedy Jr Junior

    Waajiri kazi za viwandani jitahidini kuwaongezea kiwango hawa vibarua, sio haki kuwalipa 3000-4000

    👤 Sawa wanasema ukiona baa uielewi hamia baa nyingine, ila hili sio sahihi kabisa mtu anafanya kazi toka saa moja mpaka sa 12 afu unampa elfu 4000 - sio pouwa. 👤 KIJANA UNAYEPAMBANA NA VIWANDANI KAMA UKO NA IDEA YA BIASHARA YA NGUO NITAKUPA MSINGI WA BIASHARA ACHANA NA VIWANDA. 👤 UWE NA...
  3. Sidee01

    Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

    Habarini ndugu wana JamiiForums, Hivi kiwanda cha Bakharesa pale Buguruni ni uhakika kupata kazi ya kibarua ukiwa na barua ya utambulisho wa makazi? Na hivi wanalipa kwa siku au wiki?
  4. Mwabhleja

    SoC02 Elimu yetu na hatima ya vibarua nafuu wenye vyeti

    Siku Moja nilipokuwa nimetega sikio nikipata habari kutoka idhaa ya taifa nilivutiwa sana na Moja ya marudio ya usemi wa Baba wa taifa hayati Mwl.Julius Kambarage Nyerere ninanukuu, "Kama unadhani elimu ni gharama, basi jaribu ujinga". Miaka mingi baada ya uneni huu lakini bado hakuna hatua za...
  5. H

    Nimechoka kuwapa hela vibarua wa kulima shamba langu kwa kutumia jembe la mkono

    Wakuu habari za mchana, Nimekuja kwenu kuleta wazo na kuomba ushauri hii ni kutokana na ukweli kwamba nimechoka kuwapa hela vibarua wa kulima shamba langu kwa kutumia jembe la mkono. Hivyo nikawaza nikiwa kijijini tulikuwa tunatumia jembe la kukotwa kwa ngómbe (Plau) hivi hakuna namna...
  6. Snoop Dogg

    Vibarua kwenye Miradi mikubwa ya ujenzi wanalipwa kiasi gani?

    Wakuu, Nahitaji kujua vibarua kwenye Miradi mikubwa ya serikali hasahasa Mradi wa Umeme, Mradi wa daraja la Magufuli pamoja na Mradi wa Reli wanalipwa kiasi gani na vigezo vyao vya kuajili ni Vipi?
  7. I

    Kwanini kuwepo na vibarua (deiwaka) Tanzania wakati hawana haki zozote kisheria kama sio unyanyasaji?

    Habari wakuu Naomba niwasilishe hii hoja kwenu. Kima cha chini cha mshahara wa deiwaka kilichowekwa kisheria ni tsh 4400 kwa siku hapa nchini kwetu Tanzania. Kwa mkoa wa dar es salaam, mtu ukimlipa hela iyo kwa siku ni kumuonea kulingana na kazi ngumu wanazofanya. Lakini mshahara huo sio hoja...
  8. kabila01

    Wakulima wadogo wote watageuka vibarua kwenye mashamba ya hawa mabepari

    Habari wna bodi Wiki iliyopita nilikua na ziara yangu binafsi katika baadhi ya vijiji vya mkoa wa Iringa. Nimejionea mashamba makubwa ya mahindi yanamwagiliwa kwa mitambo. Kwa sasa wenyeji wanasubiri mvua ndo walime wale wawekezaji mahindi yao yaanaanza kuchanua. Kwa hali hii ikiendelea miaka...
  9. I

    Hivi kuna vyombo Tanzania vinavyotetea haki za vibarua (deiwaka) ambao hawana mkataba?

    Habarini wakuu, Naombeni msaada kujibiwa swali hili Hivi kuna vyombo vya kisheria vinavyotetea haki za kibarua almaarufu deiwaka? Naombeni mnitajie tafadhali. Nimejaribu kuchunguza nimeona vibarua hawa wananyanyasika sana kutokana na shida zao za maisha kwa kutopewa vifaa vya kuwaweka salama...
  10. N

    Naomba kujuzwa kuhusu kazi za vibarua viwandani Kahama

    Naomba kujulishwa upatikanaji wa kazi za vibarua viwandani na malipo yapoje kwa siku kwa anaeelewa anisaidie
  11. Hat-Trick

    Mrejesho: Ujira mdogo kiwanda cha Pepsi umefanyiwa kazi, sasa wanalipwa 7,100/=

    Pia soma Ujira mdogo wa Tsh 4,600/ kutwa kwa vibarua muhimu kiwanda cha PESPI Mbeya plant. Dkt. Tulia nakuomba tembelea Kiwandani kuna wapiga kura wako Huenda hii thread ilikuwa ni sababu naamini hapa kuna watu wa kila aina, nafurahi ujumbe ulifika na kufanyiwa kazi. Sasa hivi vibarua hao...
  12. Twasha

    TANESCO Mtwara, walipeni vibarua posho zao kwa wakati

    Kilio cha vibarua kufanyishwa kazi ngumu badala yake kutolipwa kwa wakati posho zao. MKOJO WA MBWA) Wahusika fuatilieni then wasaidieni ndugu zetu.
  13. Hat-Trick

    Ujira mdogo wa Tsh 4,600/ kutwa kwa vibarua muhimu kiwanda cha PEPSI Mbeya plant. Dkt. Tulia nakuomba tembelea Kiwandani kuna wapiga kura wako

    Kiwanda kikubwa cha uzalishaji soda za Pepsi, Seven Up, Mirinda, Mountain Dew n.k ambacho ni cha kanda ya kusini nyanda za juu SBC Mbeya Plant (Pepsi) kinaudumia takribani mikoa 3 au 4 yani Ruvuma, Iringa, Njombe na Mbeya yenyewe. Vibarua wa kutwa wanalipwa 4,600/ kwa masaa 12 ya kazi...
Back
Top Bottom