vibaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kali linux

    Nelly Kamwelu yupo muhimbili anadai kapigwa vibaya sana

    Duuuh hii domestic violence kwa mrembo Nelly ni balaa, mwenye taarifa kamili atupe tafadhali Nifah cocastic
  2. THE FIRST BORN

    Viongozi wa Simba Hongereni sana kwa kucheza hili vizuri, Ila Bodi mmejaa Vibaya sana

    Yani saiv ukiwasikiliza Wana simba husikii Tena Ile Kauli ya Simba wamevunjiwa kanuni Kwa kuzuiliwa kufanya mazoezi ndio Maana hawajacheza. Simba saiv wanasema Match iliahirishwa na Bodi ya Ligi 😂😂 Yani Simba wamewakana kabisa Bodi na TFF na Kwa hapa Simba nawapa kongole mmesukuma kete zenu...
  3. GENTAMYCINE

    Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe hapa kwa Kumjengea Nyumba Mama yako ili aishi na siyo Waishi sote na Baba yako umechemka vibaya mno

    Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na...
  4. Samson Ernest

    Usiruhusu Kusemwa Kwako Vibaya Kukakuzuia Kufanya Mambo Ya Msingi

    Zab 69:12 SUV [12] Waketio langoni hunisema, Na nyimbo za walevi hunidhihaki. Kusemwa kupo, tena kama ulikuwa hujui ujue Leo, na nikuambie kwamba utasemwa sana, utasemwa na marafiki zako, utasemwa na wapendwa wenzako, utasemwa na walevi, utasemwa na majirani, utasemwa na operesheni wenzako, na...
  5. chizcom

    Afghanistan ni nchi moja safi sana kibinadamu kama mgeni japo vyombo vya habari kutangaza vibaya

    Hawa jamaa sio kama vyombo vya habari vinavyo chukua mda wa stive mangere,mwijaku,dotto magari,baba levo na wapuuzi ambao wamejazana kila kona kueleza raisi wa nchi bila kufumbua watu nchi ambazo ni fursa. Katika kitu ambacho unatakiwa kuelewa walipotokea na ukarimu wa afghanistan ni kwamba...
  6. GENTAMYCINE

    Nimesikia / Nimemsikia vibaya peke yangu au?

    Dakika chache zilizopita Rais Samia ametoka kumtaja Rais Mstaafu Kikwete kuwa Rais badala ya kumtaja kama Rais Mstaafu katika Utambulisho wake kabla ya kuanza kutoa Hotuba yake. Kama kawaida najua kuna wale Watetezi hovyo watakuja Kubisha hivyo naomba warejee matangazo ya TBC1 ili waweze...
  7. Raia mpya

    Je, kutafutiwa mke wa kuoa ni vibaya?

    Ndugu zangu najuabsi jambo geni ila kwa dunia ya sasa hivi watu watakuchukuliaje ikiwa unataka kuoa ila wa kumuoa humuoni ukaomba msaada kwa ndugu wakutafutie, je kuna ubaya? Upi mtuzamo wako kwa kijana wa namna hii?
  8. Mhaya

    Paul Kagame ndiye Rais mwenye Intelejensia Kali kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki

    Paul Kagame au unaweza kumuita Paulo Kagame, huyu ni kijana wa Nyerere aliyepikwa kijeshi na kuiva vyema hapa nchini Tanzania, aisee mwamba anajiamini sana unajua kwa nini!! Twende kazi!! Ni rais pekee kutoka eneo la Afrika mashariki ambaye kijasusi tunamuita HIGH PROFILE MISSION ana uwezo...
  9. F

    Tupunguze kuwasema wanawake vibaya

    Tunawalaumu sana wanawake,kuhusiana na maisha baina ya mwanamke na mwanaume.Kila jambo baya likitokea basi ni mwanamke ndio kahusika.Tujitazame na sisi wanaume tunatenda haki?,Tupo sawa? hatna dosari?
  10. Yoda

    Ni vibaya kuwashukuru wakoloni wetu kwa mema mengi waliyotufanyia?

    Kabla ya Wakoloni hawajaanza kutawala Africa baada ya mkutano wa Berlin wa 1884/1885 Africa ilikuwa haijawahi kuwa na hospital, shule, reli, barabara, mfumo wa sheria, mahakama na umeme. Hivi vitu vilianza kuwepo Africa baada ya Wakoloni kuja. Hata hivyo historia ya ukoloni inayozungumzwa...
  11. MamaSamia2025

    Ninawasihi wafanyabiashara wenzangu kuacha kuwaongelea vibaya wafanyakazi wanapoacha kazi

    Mtu mmoja ambaye ni family friend na Koffi Olomide aliniambia kuwa Mzee Koffi kwenye mkataba wake wa kazi kaweka kipengele cha kutoongeleana vibaya baada ya mkataba kufikia tamati au kuvunjwa. Hii ilitokana na tukio la mwishoni mwa miaka ya 90 pale wanamuziki wake wote walivyomtoroka kabla ya...
  12. B

    Duh! Mkeka umechanika vibaya sana! Huku Tundu Lissu pale John Wegesa Heche!

    Kugombea nafasi ya umakamo mwenyekiti chadema kwa John Heche ili ni pigo kubwa na baya sana kwenye kambi ya Mbowe na vibaraka wake. Hakika wakati ni ukuta huwezi kushindana na wakati bahati mbaya Mbowe na timu yake hawakufikiria kuhusu wakati kuwakataa kuwa viongozi. Sasa ni rasmi mkeka wao...
  13. Carlos The Jackal

    Kwanini hamna Mwana CCM aliyempongeza LISSU au kumsema vibaya Freeman Mbowe?

    Am still trying to figure out why ? Wanachama wa CCM asilimia Kubwa kama sio wote wanapambana kuhakikisha FAM anabaki kua Mweyekiti. Ninawaza tu yaan katika Siasa ya Vyama zaidi ya 15 vyenye lengo la Dola , wanatokea Wafuasi wa Cha Dola, wakakuambia , Mwenyekiti komaaa ,uendelee kua...
  14. A

    DOKEZO Barabara ya Ntyuka Dodoma kutelekezwa, kodi za wananchi kutumika vibaya

    Hapa Dodoma mjini kuna ujenzi wa barabara ya Lami kutoka mjini kati kwenda Ntyuka [Dampo] kama kilometres 9, barabara ilifika hatua ya kumwaga changarawe, barabara imesimama toka mwezi wa tano [Mei 2024 ] wananchi wanapita kwenye barabara ya muda ambayo ni mbovu sana Serikali mpaka Leo...
  15. Full charge

    Kauli ya 'tafuta pesa inatumiwa vibaya

    Kauli hii hutumiwa eidha na watu wasiojua nini maana ya pesa au watu wanaopata pesa kwa njia haramu (wezi,madawa) Huwezi kuwa tajiri kwa kauli hizi za kipumbavu,yani eti ukiona kahaba mwenye makalio makubwa basi ndiyo utumie pesa kumpata hayo si matumizi sahihi ya pesa ni ulimbukeni tu...
  16. Rorscharch

    Huruma Yako ni Hazina: Usiruhusu Itumiwe Vibaya!

    Kusaidia wengine ni tendo la heshima na ubinadamu, lakini si kila mtu anayekuomba msaada ana nia njema. Kuna watu ambao, badala ya kujiboresha kupitia msaada wako, wanatumia ukarimu wako kama njia ya kukupeleka kwenye matatizo zaidi. Watu hawa ni hatari kwa ustawi wako wa kiakili, kihisia, na...
  17. Lord denning

    Akili ni nywele: Wakati Wizara ya Ardhi Bongo wanahangaika na clinic za ardhi, Kenya wameanza kubomoa na kuyajenga upya maeneo yaliyojengwa vibaya

    Kila siku nasema kuwa akili ni nywele. Ukiwa na akili timamu, utajua tatizo ulilonalo ni lipi na utaweka na kutekeleza mipango sahihi ya kulitatua hilo tatizo. Wenzetu Kenya waligundua wana tatizo la mipango miji, kwa maeneo mengi kujengwa vibaya bila mpangilio na kufanya wananchi wengi kuishi...
  18. sinza pazuri

    Uchaguzi ni sayansi: Lissu anaenda kugaragazwa vibaya sana na Mbowe

    Tundu Lissu ni baba aambiliki nilimuonya hapa majuzi aache mission yake ya kukiua chama hajataka kusikia. Sasa anaenda kufundishwa adabu na bingwa wa sayansi ya siasa za upinzani Aikael Mbowe. Kelele ni nyingi mtandaoni lakini hazitomsaidia Lissu na kichapo cha mbwa mwizi toka kwa Mbowe...
  19. M

    Upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio nafuu ya simba kutoonekana madhaifu yake lakini timu yao ni dhaifu na kocha wao ni dhaifu pia!

    Huu upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio imekuwa nafuu kubwa kwa timu ya Simba kutotazamwa na watu wengi madhaifu yao pamoja na kocha wao! Kwa sasa wachambuzi na mashabiki wengi wa soka wamejikita kuijadili yanga kwa hali wanayopitia kitu ambacho kimewafanya viongozi wa Simba na kocha wao...
  20. LIKUD

    Joseph Mrindoko wa wachokonozi azichana vibaya shule za English Medium

    Amezichana vibaya shule za English Mediums na kuwaita " mbumbumbu "Watanzania wanao jistress kusomesha watoto wao kwenye shule hizo. Ameongea point nyingi sana nenda kamsikilize mwenyewe You Tube. Moja kati ya nukuu yake anasema " Waafrika tunataka kuwa kama wazungu. Wazungu hawataki kuwa...
Back
Top Bottom