vibaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    Leo Azam hatoki Taifa. Yanga tunamchakaza Vibaya sana. Tunashukuru kwa kazi iliyofanyika

    Pamoja na maneno ya kashfa aliyoyasema Saido habari za kula Mayai Viza n.k sisi hatujali na tumemsamehe bado ana utoto. Ila aulize wenzie watamweleza. Na ashukuru kuwa amesafishwa nyota yake sasa anafunga. Angekuwa hataki hayo asingekubali kupelekwa alikopelekwa na wazee.mwenzake Nchimbi si...
  2. GENTAMYCINE

    Marefa wa Tanzania na Wasaidizi wenu mpaka siku mkifa kwa kupigwa vibaya Viwanjani ndiyo mtajua kuchezesha Soka kwa Haki na siyo Chuki na Maagizo

    Hivi sheria gani ya Soka ambayo FIFA pia wanaitambua isemayo Kona ikiwa inapigwa huku Mabeki Wawili wakiwa katika Milingoti halafu Mchezaji wa Timu Pinzani akatokea mbali na Kuruka hadi Kufunga zuri ni Kuotea? TFF, Bodi ya Ligi na Chama cha Waamuzi nchini Tanzania endeleeni tu Kuulea huu Upuuzi...
  3. Fohadi

    Hivi Tanzania kuna wachambuzi wa soka au wafata upepo?

    Nimeingia getto muda sio mrefu, nikaona ngoja niweke mawingu fm nisikilize michezo extra..Nakuta ndo kwanza kipindi kinaanza...Moja ya mechi walioiongelea ni game ya Namungo na Raja casablanca na Namungo amepigwa sijajua goli ngapi. Hoja za wachambuzi wa mawingu fm wanasema NAMUNGO imebebwa na...
  4. Miss Zomboko

    Songwe: Mtu 1 afariki baada ya Baruti zinazotumika katika ulipuaji wa miamba kwenye Migodi kulipuka na pia kuharibu vibaya nyumba sita

    Happymark Msuwila amepoteza maisha huku Jinasa Mayunga (54) akijeruhiwa baada ya Baruti zinazotumika katika ulipuaji wa miamba kwenye Migodi kulipuka na pia kuharibu vibaya nyumba sita za karibu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, George Kyando, amesema mlipuko huo ulitokea Jumatatu usiku katika...
  5. Sky Eclat

    Maalim Seif Hammad hajawahi kuongelewa vibaya si mtaani wala mitandaoni

    Maalim ni mwanasiasia mkongwe Mwenyezi Mungu marehemu, hajawahi kusakamwa na kauli za wanachama wake wala wapinzani wake licha ya kuwa mwanasiasa wa muda mrefu. Tuna la kujifunza hapa.
  6. Miss Zomboko

    Geita: Kaka amuua mdogo wake baada ya kufanya vibaya kwenye mtihani wa majaribio

    Mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Shibutwa wilayani Mbogwe mkoani Geita, Ziada Masumbuko (15) ameuawa kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali kichwani na kaka yake kwa kile kinachodaiwa ni baada ya kufanya vibaya katika mtihani wa majaribio. Kamanda wa polisi mkoani Geita, Hendry...
Back
Top Bottom