vibaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Sasa ni dhahiri kesi ya Mbowe imekaa vibaya. Mashahidi 24 na vielelezo 19 vya serikali si mchezo. Ni mkao wa kunyolewa

    Kwa mashtaka yaliyosomwa leo tarehe 23 Agosti 2021 ni wazi serikali imejipanga ipasavyo kwa kesi hii ya Mbowe ya ugaidi. Serikali kuwa mashahidi 24 na vielelezo 19 siyo mchezo. Sasa tunafahamu kwa nini IGP alilizungumzia hii kesi kwa kujiamini sana na kueleza kuwa Mbowe kama ni mkristo mkweli...
  2. Wang Shu

    Ipo hatari hapo mbele wanaomiliki hisa 51% kumgeukia MO kama Simba Sc itafanya vibaya ndani na nje

    Wapenzi na mashabiki wa Simba wameridhia Mo kumiliki timu ilimradi wanapata furaha na makombe hawatarajii na hawategemei kama Simba itakuja kushindwa sidhani kama wataweza kumvumilia pale mambo yakienda kinyume na matarajio yao.
  3. Dong Jin

    Zuchu amkimbiza vibaya mno Harmonize licha ya kutumia maroboti

    Zuchu na harmonize waliachia nyimbo zao siku moja huko youtube Lakini katika hali ya kushangaza views za Harmonize zilionekana kupaa ghafla kwa speed ya light 😅😅😅 mpaka watu tukawa tunashangaa imekuwaje? Sasa ni wiki nne kamili zimepita toka waachie nyimbo zao na kwa hali isiyo ya kawaida...
  4. Kasomi

    Anthony Diallo anazeeka vibaya

    ANTONY DIALLO ANAZEEKA VIBAYA Kwanza kabisa nianze kwa dhati ya moyo wangu kumpongeza katibu wetu wa Umoja wa Vijana wa CCM Tanzania (UVCCM) ndugu yetu, na kaka yetu Kenani Labani Kihongosi kwa jinsi anavofanya kazi kwa weledi mkubwa kama kijana mwenye maono na anaonesha kwa namna gani ni...
  5. GENTAMYCINE

    Vibaka wa 'Bongo' msiige hii tafadhali kwani mtakufa vibaya sana

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida Askari wa Barabarani ( Traffic Police ) Mmoja huko nchini Kenya amejikuta akiibiwa Simu kwa 'Kuchomolewa' na Kibaka wakati akiwa anaongoza Magari. Nimewaonya Vibaka wa Bongo ( Tanzania ) nikiwa najua kuwa 'Matrafiki' wengi wa Tanzania huwa nakutana nao sana...
  6. D

    Tumeachana lakini huwa najisikia vibaya kuona anashida

    Ni mwanamke ambaye nimeishi nae zaidi ya miaka miwili lakini tulikuja kuachana kwa fujo sana kutokana na tabia alizo zianzisha na kusababisha kushuka sana kwa utendaji wangu wa kazi sababu nilikuwa bado namuhitaji lakini ndo ugomvi sana. Nikaamua kukubaliana na hali maana alikuwa kashapata...
  7. Suley2019

    Rais Samia: Siyo vibaya viongozi wa dini kuwa wanasiasa

    Rais Samia ameyasema hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 Mjini Morogoro wakati akifungua mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) aliposema wakati mwingine dini na siasa vinaenda sambamba. Amesema licha ya kuwa unaweza kutumikia dini na kuwa mwanasiasa, lakini vibaya unapotumia...
  8. Idugunde

    TAKUKURU mnatumika vibaya ipo siku ukweli utajulikana. Mlitumiwa na wanasiasa wa CCM 'kum-harass' Deusdeth Kakoko ili mhalalishe mradi wa kifisadi

    Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7. Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika pamoja na uwezo wa kudadavua mambo mengi. Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba...
  9. sky soldier

    Je, wajua? Si Cadillac tu, hata Bugatti, Ferrari na Lamborghini nazo ni Uber Marekani

    Hiii ni post maalum kwajili ya watu wenye wivu na chuki ambao mafanikio ya Diamond yamegeuka kuwa mwiba kwao, Kila anachofanya sasa wanakilinganisha na nje ya nchi maana hapa ndani kakosa mpinzani. Hii imekuwa too much sasa, Mara ya kwanza wiki chache kanunua ile cadillac toleo la 2015...
  10. Shujaa Mwendazake

    Mwigulu Nchemba acha kutuchonganisha na Rais Samia, umeanza kumshauri vibaya

    Waziri wa Fedha na Mipango mnachokifanya hivi sasa ni kama vile mna shida sana ya pesa na mmeishiwa ubunifu na sasa mnataka kutuvika Mizigo ya madeni na matatizo ya Serikali kwa gharama yeyote ile. 1. Mmetuongezea kodi ya katika mawasiliano ya simu kwa vocha na vifurushi wakati tunalipa VAT...
  11. ndege JOHN

    Kero: Jamii inatusema vibaya watoto wa maboss

    Kero yangu ni juu ya kusengenywa sisi ambao tumejikuta tumezaliwa katika familia zilizofanikiwa. Mtu yupo na mwenzake kitaa wanamsema mtoto wa kishua fulani eti kwamba ana maisha lakini hajui kuyatumia. Tena wanasema kabisa kwamba hizo nafasi wangebahatisha wao eti wangekuwa wameshatoboa...
  12. Erythrocyte

    Video: CHADEMA wafanya sherehe Mjini Morogoro

    Huu ndio uzuri wa Chama cha siasa kinachosimamia misingi ya haki, huwa mnajiachia tu kwa vile hakuna kulogana wala kinyongo. Hebu jionee mwenyewe.
  13. Replica

    Chamwino, Dodoma: Rais Samia Suluhu awaapisha Makatibu Tawala

    Jana Rais Samia Suluhu aliwasili mjini Dodoma na leo atawaapisha makatibu tawala aliowateua Mei 29, 2021. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC na Dkt. John Mduma kuwa mkurugenzi mkuu wa WCF. Kuwa nami. ========== Tulia Ackson: Wanawake hamkuteuliwa kwakuwa ni...
  14. GENTAMYCINE

    Simba SC ni matumaini yangu mmejiandaa vilivyo kuhusu Sakata la Yanga SC na Mchezaji Morisson kwani naona limekaa vibaya Kwetu huko CAS

    Kitendo tu cha Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo duniani ( CAS ) kutupilia mbali Ombi la Mchezaji Bernard Morrison kuwa Wasiisikilize Kesi yake ni ' wake up call ' kwa Simba SC kuwa kuna ' HATARI ' inaenda Kutuangukia na huenda tusiamini na tukaja Kujuta pia. Tafadhali upesi sana Simba SC...
  15. K Mwita

    Alinishauri mwenyewe ila sasa ananitangaza vibaya kwa watu

    Nilimaliza chuo kikuu mwaka 2019 kule UDOM na sasa nipo kitaa bila kazi maalum. Kuna jamaa mmoja yeye ni mjumbe wa nyumba kumi ni kabila moja na mimi akaja akaniambia nianze kuendesha bodaboda ili nipate pesa ya kujikimu. Nilianza kuendesha bodaboda mwaka jana 2020 nikawa napata pesa za vocha...
  16. mwanzo wetu

    Mama ni mama, vyovyote alivyo hapaswi kusemwa vibaya za ya kumuombea

    Habari za wakati wanafamilia. Nianze kwa kusema kuwa ni mda wa kukaa pamoja Kama Taifa bila kuangalia itikadi zetu za vyama. Niwapongeze pia wapinzani kwa asilimia 💯 wameonesha ustarabu mzuri kwa kuwa wakimya najua wamezingatia kauli mbiu ya mama ni mama hivyo Mungu awasaidie waendele kutulia...
  17. The Palm Tree

    Video: Hivi ndivyo aliyekuwa DC wa Hai, Ole Sabaya alivyotumia madaraka yake vibaya kuiba, kutesa na kuua. Kwanini asiende jela huyu...?

    Hawa ndiyo "vijana wa kazi"wa Mwendazake Magufuli... Waliitumikia LEO kwa kuvunja sheria na maadili ya Utumishi kwa kunyanyasa wanaowaongoza (wananchi) kwa sababu wana madaraka na kusahau kabisa kuwa kuna KESHO... Walitegemea KULINDWA NA MTU badala ya matendo yao ya HAKI.. Katika video hii...
  18. D

    Utaratibu wa malipo ya N-CARD Umeonesha kufeli vibaya katika Vivuko, Waziri Chunguza TEMESA kuna kero za makusudi

    Wakati UDART wameonesha waziwazi kufeli juu ya matumizi ya CARD kwa maksudi! TEMESA nao pasipo kujua ama kwa maslahi yao binafsi, Wameingia kichwa kichwa katika matumizi ya malipo ya N-CARD bila weledi! Abiria wote wameelekezwa kuhakikisha wanatumia N-CARD ili kuweza kulipia kivuko, Hivyo...
  19. Nigrastratatract nerve

    Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

    Kikwete alipokuwa akitaka kugombea Urais mwaka 1995 Nyerere alimwambia kwamba wewe bado mdogo muachie Ben watu weengi waliamini hivyo ila ukweli Nyerere alimaanisha kuwa Kikwete alikuwa mdogo kwenye mambo ya kupewa kuiongoza Nchi yaani alimsoma mwenendo wa maisha yake na kugundua kuwa ni...
  20. Victor Mlaki

    Utaalamu unavyotumika vibaya kuidanganya Serikali

    Katika jina la JMT kazi iendelee, Kichwa cha andiko hili kisihusishwe kabisa na kupinga mawazo ya wataalamu au kupinga utaalamu unaofanywa na wataalamu mbalimbali katika kuishauri Serikaki juu ya miradi na masuala mbalimbali. Wataalamu wamekuwa wakitoa mchango mzuri lakini wapo waliokuwa...
Back
Top Bottom