viboko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Mahakama ya Afrika yaiamuru Tanzania kufuta Adhabu ya Viboko

    (Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Brigedia Jenerali Nicodemus Mwangela Mapema akiwachapa viboko wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Oswe) Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya viboko kwenye sheria zake ili ziendane na Mkataba ulioanzisha mahakama...
  2. JanguKamaJangu

    Simiyu: Ahukumiwa kuchapwa viboko 8 kwa kosa la ubakaji

    Mahakama ya Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu imemhukumu Boniphace Abel (18) mkazi wa Nyashimba Magu Mkoani Mwanza adhabu ya kuchapwa viboko nane (8) kwa kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 17 na kumsababishia majeraha. Mbali na adhabu hiyo, Mshtakiwa ametakiwa na Mahakama hiyo kumlipa...
  3. BARD AI

    Mwalimu aliyemcharaza Mwanafunzi wa miaka 9 Viboko 107 afikishwa Mahakamani

    Jackson M. Marucha, Mwalimu kutoka Kaunti ya Nyamira Kenya, anatuhumiwa kumpa adhabu hiyo Mwanafunzi wa Darasa la 4 mwenye miaka 9 baada ya kuripoti kuibiwa nguo zake za Shule. Mwalimu alijaribu kuficha kitendo hicho kwa kumfungia Mwanafunzi Bwenini na kumnyima matibabu baada ya kugundua ana...
  4. Jumanne Mwita

    Kilimanjaro: Mwalimu ampiga Mwanafunzi hadi kifo

    Huko Kilimanjaro Mwalimu amempiga mwanafunzi wa darasa la kwanza mwenye umri wa miaka saba mpaka kifo kwa kosa la kupiga kelele darasan 🥲 Kwenye picha huyo ni Mama yake Mzazi wa huyo mwanafunzi ameeleza kwamba Mwalimu Alimpiga sana mwanafunzi huyo mpaka alijikojolea baada ya hali kuwa mbaya ya...
  5. BARD AI

    Walioua ndugu kwa Viboko, Wafungwa miaka 6, baba yao anusurika

    Mahakama Kuu imewaadhibu mzee wa miaka 91, Leshoo Kishoki Mollel na wanawe wawili, waliomuua bila kukusudia mwanafamilia mwenzao aliyekwenda kwa wakwe katika kikao cha usuluhishi akiwa amelewa chakari. Katika hukumu hiyo iliyosomwa Juni 23 mwaka huu na nakala kupatikana jana, Mahakama Kuu Kanda...
  6. OLS

    Tanzania ni nchi moja, kwanini Prof. Mbarawa aseme aliyosema kuhusu mkataba wa bandari

    Katika mkutano wake hivi karibuni na viongozi wa bandari, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, alitoa taarifa kwamba Zanzibar haikuwemo katika mkataba uliosainiwa kati ya serikali ya Tanzania na Dubai kuhusu uwekezaji katika bandari. Sababu ya kutolewa taarifa hii ni kwamba...
  7. DR HAYA LAND

    Viboko havina umuhimu wa kumfanya mwanao kuwa na adabu unapoteza tu Muda wako kumchapa

    Mtoto anajifunza kwa kuona na sio hayo matusi Makubwa unayomwabia na Viboko. Kuwa mtu smart hakikisha Mwanao unamfanya anakuwa smart kwa mjengea Huwezo wa kusoma vitabu , kuhoji na kuwa na utamaduni wa kuhakikisha unampa Muda wa meditation akae peke yake Sehemu tulivu then uone Kama ajakaa...
  8. KJ07

    Achapwa viboko hadharani na kupigwa faini laki mbili baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa mpangaji wake

    Mwanaume mmoja aitwae Katayo Bote Mkazi wa Kijiji cha Kibwera Wilayani Geita Mkoani Geita, amechapwa viboko hadharani pamoja na kulipishwa faini ya shilingi laki mbili baada ya kufumaniwa na Mke wa Mtu wakiwa chumbani katika Kijiji hicho. Emmanuel Ndalawa ambaye ni Mume wa Mke aliyefumaniwa...
  9. Carlos The Jackal

    Kuna Viboko kumfanya mtoto aelewe na Kuna Viboko kumpa mtoto Nidhamu!

    Nakumbuka wakati nasoma ,Kuna wanafunzi walikua Wana Uwezo wa kawaida , wengine kupuuza tu mambo Kwa kiburi n.k, Walimu walisimama kidete, Umepewa Kazi hujafanya Makusudi ,Bakoraa !! umepewa Kazi umekosa zaidi ya Nusu ,bakoraaa .. Mimi mwenyewe niliwah Chapwa bakora Kwa sababu ya Mwandiko...
  10. L

    Adhabu ya viboko inatakiwa kufutwa kabisa kwenye shule

    Suala la adhabu ya viboko ni jambo ambalo utekelezaji wake upo kisiasa Sana, pindui shida ikitokea mara zote mwalimu anakuwa ni mhanga ambaye Hana utetezi wowote,ataishia kufungwa ,lakini mara zote walimu wanakuwa wanadhamira njema ya kurekebisha tabia ya moto,Kwa hiyo ni vyema viboko vifutwe...
  11. BARD AI

    Waraka wa Elimu kuhusu Adhabu ya Viboko kwa Shule za Tanzania Bara

    Kuvunjwa mikono, kuachwa na makovu mwilini pamoja na athari hasi za kiwango kikubwa zaidi kwa maana ya vifo ni matukio mbalimbali yaliyotendwa na yanayoendelea kutendwa dhidi ya wanafunzi mashuleni huku sababu kubwa ikihusisha adhabu ya viboko. Jambo la kusikitisha zaidi ni kuwa, utolewaji wa...
  12. U

    DOKEZO Kapuya Sekondari ipunguze viboko hali ni mbaya

    Wizara iangalie upya mtindo wa viboko mashuleni, waalimu wamekuwa wanapiga viboko mashuleni mpaka basi. Kuna shule moja ipo Kaliua inaitwa Kapuya Sekondari, ina piga viboko balaaa. Mwanangu jana kaja kapigwa viboko 48 yuko hoi tena ni form one, anajengewa mazingira ya hofu ili aache shule...
  13. BARD AI

    Arusha: Afariki dunia akidaiwa kuchapwa viboko 280

    Mkazi wa Sanawari, Wilaya ya Arumeru Mkoa Arusha, Nelson Mollel (32) amefariki dunia baada ya kudaiwa kupewa adhabu ya kuchapwa vikobo 280 kutokana na tuhuma ya kumtukana mama yake mzazi. Wazee wa jamii ya Kimaasai na Kimeru wilayani Arumeru mkoani Arusha wamekuwa wakitoa adhabu ya kuwachapa...
  14. Roving Journalist

    Rai imetolewa kwa walimu wote wa shule za msingi na sekondari na vyuo nchini kupunguza matumizi ya viboko

    Rai imetolewa kwa walimu wote wa shule za msingi na sekondari na vyuo nchini kupunguza matumizi ya viboko na vitisho kwa wanafunzi kama njia ya kufanya wafaulu katika masomo yao kwa kuwa huo si mtazamo sahihi. Rai hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene Mtahabwa...
  15. BARD AI

    Serikali yawaonya Walimu wanaoendelea na adhabu ya viboko shuleni

    Serikali imeendelea kuzuia matumizi ya viboko katika ufundishaji wanafunzi na badala yake walimu wametakiwa kutafuta mbinu mbadala za ufundishaji ili wanafunzi wawaelewe. Akizungumza leo Ijumaa Desemba 16, katika mkutano wa mradi wa kuboresha mafunzo kwa walimu katika vyuo vya ualimu (TESP)...
  16. R

    Waziri Dkt. Gwajima aagiza kesi ya Diwani aliyewachapa viboko wazee ifufuliwe

    Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, imeielekeza ofisi ya Ustawi wa Jamii Mkoa wa Tabora kwa niaba ya Kamishna wa Ustawii wa Jamii, kushirikiana na vyombo vya haki mkoani humo kuhakikisha wanafufua shauri la wazee waliochapwa viboko kwa tuhuma za kishirikina, ili...
  17. M

    Dkt. Bashiru alistahili viboko na si kuwa Mbunge

    Mwalimu wangu huyu kuna kipindi aliwahi kunifanya nikarudia mtihani yaani supplementary baada ya kutoa mfano wa serikali ya CCM kwenye swali la mtihani. Sitaki kusema huu ndiyo uwe mwanzo wangu, ila nilifanikiwa kumuona akiwa katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa yale aliyoyafanya na...
  18. G Sam

    Nikikutana na Majaliwa aliyejinadi kufungua mlango wa ndege ya Precision namcharaza viboko kweli kweli! Watanzania ifikie pahala tutumie akili

    Naam, imefikia pahala watanzania tunajitumbukiza kwenye vijistori vya hovyo hovyo na kuvinadi pasipo kufanya utafiti wa kina. Hili mimi naliona kama tatizo kubwa sana kwetu kama watanzania. Hivi karibuni ameibuka kijana mmoja ambaye alidai kuwa alifungua mlango wa ndege iliyopata ajali huko...
  19. BARD AI

    Geita: Afungwa miaka 120 na viboko 48 kwa unyang'anyi wa kutumia Silaha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imewahukumu watu watatu kifungo cha miaka jela miaka 120 na kuchapwa viboko 48 kila mmoja baada ya kutiwa hatiani kwa makosa manne ya unyang'anyi wa kutumia silaha. Hata hivyo, ingawa kila mshatakiwa amehukumiwa miaka 30 jela na viboko 12 kwa kila kosa, kwa makosa...
  20. GENTAMYCINE

    Naombeni aina ya adhabu kali za kumpa Mtoto Mtukutu baada ya viboko kumfanya awe sugu kabisa

    Nazisubiri kutoka Kwenu Usiku huu ili ikiwezekana kwa Hasira za Liverpool FC yangu kutopata Matokeo kwa Westham United hadi sasa niamke nazo na nimnyooshe vizuri ili akae sawa.
Back
Top Bottom