viboko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ahukumiwa kuchapwa viboko 6 kwa kosa la ubakaji

    Mahakama ya mkoa Manyara imemhukumu John Emmanuel (18) mkazi wa kijiji cha Malangi wilayani Babati kuchapwa viboko sita (6) baada ya kukutwa na kosa la ubakaji. Hukumu hiyo ya kesi namba 73 ya mwaka 2021 imetolewa leo Septemba 26,2022 na Hakimu mkazi mkoa wa Manyara Mariam Rusewa.Hakimu Rusewa...
  2. D

    Anaelawiti watoto adhabu iwe kuhasiwa, viboko 180 na abandikwe mhuri wa moto kwenye paji la uso

    Adhabu ni kuchagua! Tunajaza wafungwa wa bure magerezani! Nashauri adhabu kwa yeyote anaelawiti watoto wadogo! Awe mwalimu, shekhe, mchungaji, padri,dereva, mjomba, kaka, baba, bodaboda au jirani. IKITHIBITIKA Kalawiti au kubaka ADHABU IWE NI KUHASIWA, na viboko 6 kila siku mfululizo ndani ya...
  3. Atupwa jela miaka 4 kwa kumchapa viboko karani wa sensa

    Amos Nyang'waji (25), Mkazi wa Kijiji cha Matui Wilayani Kiteto Mkoani Manyara amehukumiwa kifungo cha miaka minne gerezani kwa kosa la kumcharaza viboko Karani wa Sensa na kuharibu kishikwambi chake wakati akitekeleza majukumu yake mnamo Agosti 25, 2022. Imeelezwa mtuhumiwa akiwa nyumbani kwa...
  4. Adhabu mbadala wa viboko kwa watoto na wanafunzi wetu

    Hoja ya kutowacharaza watoto na hata wanafunzi mashuleni sio mpya, lakini je ni upi unaweza kuwa mbadala?! Nimejaribu kuwashirikisha njia mbadala niliyojifunza mahali fulani. Adhabu ya viboko ni ya muda mrefu sana duniani, ni ya karne na karne. Ikikita mizizi zaidi katika bara letu la Afrika...
  5. SoC02 Adhabu za viboko na athari zake

    Ni kwa muda sasa adhabu za viboko zimekuwa zikitumika mashuleni kama njia ya kuwa-adabisha wanafunzi, huku ikiaminika kuwa kupitia kuwa adhibu watoto kwa kuwachapa fimbo husaidia kuongeza utii mashuleni hali inayofanya makosa ya utovu wa nidhamu kupungua na kuongezeka kwa nidhamu darasani. Jambo...
  6. Rwanda: Mchina aliyerekodiwa akimpiga mfanyakazi aliyefungwa kwenye mti ahukumiwa kifungo cha miaka 20

    Mahakama Nchini humo imemhukumu Mfanyabiashara ambaye ni Raia wa China kifungo cha miaka 20 gerezani baada ya kurekodiwa akimpiga Mwananchi mwaka 2021 Sun Shujun alikuwa anakabiliwa ya Mashtaka ya kupiga Wafanyakazi wake waliokuwa wanatuhimiwa kwa wizi, ambapo katika video iliyorekodiwa...
  7. Adhabu ya Viboko: Upi ni umri sahihi, sehemu sahihi na kwa makosa yapi?

    Mtoto aanze kupewa adhabu ya viboko akifikia miaka mingapi? Ni umri upi wa kuacha kumtandika? Makosa yapi yanahitaji maonyo na yapi yanahitaji bakora hata kama ni mara ya kwanza? Atandikwe kwa bakora, mkanda, n.k wa aina ipi? Idadi ya viboko? Ni sehemu zipi katika mwili za kumchapa?
  8. Afariki baada ya kipigo kutoka kwa mumewe

    Mwanamke mmoja Mkazi wa Kijiji cha Kanyarakata Kata ya Mbuluma Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa, Albetina Mazwile (42) amefariki baada ya kupigwa fimbo katika sehemu mbalimbali za mwili wake na Mumewe na kupelekea kuvuja damu kwa ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, William Mwampaghale amesema...
  9. Waziri aliyenusurika kuchapwa viboko kwa rushwa wakati wa mwalimu JK Nyerere ninani?

    Ukisikiliza hotuba maarufu ya mwalimu aliyoitoa pale Kilimanjaro hotel juu ya rushwa anataja simulizi ya waziri mmoja aliyekula rushwa na majaji wa kizungu wakamnusuru na adhabu ile je waziri huyu wa Sheria likuwa Nani?
  10. B

    Askofu Niwemugizi: Nyerere angekuwapo angewacharaza CCM viboko

    Askofu Severine Niwemugizi pasipo na kumung'unya maneno amefunguka: “Mwalimu Nyerere alikuwa muumini wa uhuru wa mawazo, mijadala na kujenga hoja. Alipenda kuona jamii ya watu wanajadiliana kwa hoja hata pale wanapokinzani kimtazamo. Hakupenda hoja za upande mmoja ndiyo maana licha ya wenzake...
  11. SoC01 Je, viboko hujenga au hubomoa?

    Kama umekua katika familia ya Kiafrika hasa ya kitanzania kupigwa pale unapofanya kosa kumekuwa ni Jambo la kawaida. Mzazi anaweza kutumia fimbo, mikanda, au kukurushia kikombe, sufuria au chochote kilichokuwa karibu yake. Lakini je tulishachukua muda na kujiuliza hivi hivi viboko tunavyowachapa...
  12. Mtera: Wavuvi 12 wauawa na viboko kwa kipindi cha kuanzia Februari 2020 hadi Agosti 2021

    Wavuvi 12 wamepoteza maisha na wengine 15 kujeruhiwa katika kipindi cha mwezi wa pili 2020 hadi mwezi wa nane 2021 kufuatia matukio ya kuvamiwa na mnyama kiboko wakiwa ndani ya Bwawa hilo katika shughuli zao za uvuvi. Hayo yamezungumzwa katika Ziara Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo...
  13. Adhabu ya viboko shuleni bado ni halali katika nchi angalau 64. Tanzania inang'ara kwa kutozuia viboko

    Adhabu ya viboko shuleni bado ni halali katika nchi angalau 64! Watoto milioni 246 bado wanakabiliwa na unyanyasaji wa kijinsia Mwanafunzi 1 kati ya 3 huonewa & kunyanyaswa kimwili 50% huripoti vurugu kutoka kwa wenzi wao shuleni. =========== Corporal punishment is a practice that remains...
  14. C

    Mke wangu amekubali nimuadhibu viboko vitano ili yaishe

    Nilivyosafari kuenda kwenye shughuli zangu za biashara takriban mwezi moja na nusu, jana nilirudi nikakuta mke wangu hayupo kasafiri na kuenda kwa Dada yake kukaa huko na nyumbani hamna mtu yeyote kuna giza kote, nikakagua nyumba yote na Kigari changu nikaona vyote viko salama nikamshukuru Mungu...
  15. J

    Unamfahamu aliye na mamlaka ya kutoa adhabu ya viboko shuleni kwa mujibu wa Sheria?

    Mwalimu mkuu ndiye mwenye mamlaka ya kutoa adhabu ya viboko au mwalimu mwingine ambaye atakasimishwa na mwalimu mkuu kwa uangalizi maalum. Tukio la viboko kwa mwanafunzi sharti liwekewe kumbukumbu kwa kuandika jina la mwanafunzi, kosa alilofanya, idadi ya viboko na jina la mwalimu aliyetoa...
  16. Kama ulichapwa viboko na kiongozi ruksa kushtaki

    Kama viongozi wa umma waliowatandika watu viboko hadharani wanadhani suala hilo limeisha au kusahaulika, bila shaka watakuwa wanajidanganya. Hii ni baada ya suala hilo kuibuka juzi wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Sheria na Wakili Mwandamizi Anthony Nasimire aliyezungumza kwa niaba...
  17. Apigwa na askari hospitalini akisubiri kununua dawa za mama yake mzazi katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga

    Kipande kifupi cha video tulichotumiwa na Lydia Lefi, Mkazi wa Shinyanga cha tukio la Walinzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga kumchapa mikanda kijana ambaye amedai ni mdogo wake kwa kosa la kupitiliza muda wa kuona wagojwa katika hospitali hiyo. Kwa mujibu wa maelezo ya Lydia anasema...
  18. Mtendaji wa Kijiji cha Hydom amshindilia makonde mwanakijiji. Asimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Taarifa zinaonesha kwamba Mh Mtendaji anaitwa Adella na ni Mtendaji wa kijiji cha Hydom kilichopo Mbulu , mkoani Manyara. Cha kushangaza ni kwamba Mwananchi aliyedundwa ndiye ameshtakiwa mahakamani kwa kumshambulia Mtendaji. Nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazalendo waliorekodi tukio hili la...
  19. S

    Nikimjua aliyesababisha na kutoa amri ya kupigwa viboko nakufa nae

    Yaani siombi ije kutokea ,lakini ikiwa kiongozi yeyote yule halafu nimjua kuwa yeye ndio ametoa amri ya nichapwe viboko hadharani,nakufa nae hadharani na ulimwengu utasikia ,huu udhalilishaji umepitwa na wakati. Kwa kuwa tu umekuwa na cheo sasa unathubutu kuchapa watu bakora,kama ni kujitoa...
  20. S

    Watawala, siku wateule wenu wakigeuziwa kibao kwenye kuchapana viboko hadharani, tutaomba mkae kimya kama mlivyochagua kukaa kimya sasa

    Hivi sasa tunaona baadhi ya viongozi wa kuteuliwa, wanachapa watu viboko hadharani huku vitendo hivyo vikirekodiwa na picha kusambazwa mitandaoni. Binafsi naamini vitendo hivi vinajenga chuki na kuamsha hasira za wananchi na naaamini pia wako baadhi ya watu kwa sasa wameanza kupania ku-react...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…