Hii tabia ya viongozi kuchapa raia viboko ni udhalikishaji na ukatili unaopaswa kukemewa kwa nguvu zote. Ki tendo cha kumpigia viboko mtu mzima hadharani ni kumshushia thamani na utu wake. Maafa ya kisaikolojia atakaa nayo mtu yule kwa muda mrefu na wengine hatutaelewa wameathirika kiasi gani...
Mbona huu utawala wa awamu ya tano umegubikwa na mambo ya ajabu sana? Mbona tunaliabisha taifa letu?
Kama mtu ana hatia kwa nini asipelekwe mahakamani?
Sheria za hii nchi zipo wazi kuwa mtu anayepata adhabu ya corporal punishment lazima Dk athibitishe kuwa hawezi kupata madhara kama akipigwa...
Maskini katika nchi yetu akihisiwa kutenda kosa au akituhumiwa kutenda kosa viongozi uchukua vyombo vya habari na Polisi kisha kuwachapa adharani. Matukio haya yamefanywa kwa waalimu, mafundi ,wanunuzi wa vyuma chakavu nk
Ukiangalia adhabu hii inavyotolewa ni wazi utagundua inatolewa kwa...
Halafu ni waziri, mtanyooka sana nyie watu, mumekua mdebwedo siku nyingi na kupenda kulialia....hehehe watawala wenu wamedhamiria mtafundishwa kwa mboko.
https://www.jamiiforums.com/data/video/2654/2654963-c25c8ae6c2cee0b1bdb0d36425691e96.mp4
Rais John Pombe Magufuli pamoja na kuwa ni aggressive, lakini sijawahi kumwona akishika kiboko kucharaza viboko watu hadharani...!!
Rais John Pombe Magufuli pamoja na kwamba hapendi wahalifu na matumizi mabaya ya rasrimali za nchi ikiwemo fedha, lakini hajawahi kuamuru wahujumu uchumi...
Tarehe 17 Disemba 2020, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania katika kikao chake ilichoketi Bukoba, imebatilisha hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania katika kesi ya Mauaji Namba 56 ya 2018 kuwa Mwalimu RESPICIUS PATRICK @ MTANZANGIRA anyongwe mpaka kufa kwa kusababisha kifo cha mwanafunzi...
Wakuu ni kwanini hizi shule wanazojifunza kwa kutumia kiingereza huwa hamna viboko? Inamaana ukiwa unajifunza kwa kiingereza unaweza kwenda bila viboko? Nidhamu ya wanafunzi wanaosoma hizi shule ikoje?