Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za uchochezi, akiwamo Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kyela, Victoria Swebe mkazi wa Lubele na wengine watatu ambao ni Bryson Kamembe, Asajile Mwasalemba na Elia Mwalumbu wakazi wa Wilaya ya Kyela.
Kamanda wa Polisi Mkoa huo...
Usiku wa kuamkia leo (Novemba 20) watu waliojitambulisha kuwa ni Askari polisi wakiwa na silaha za moto wamevamia nyumbani kwa mwenyekiti wa Wilaya ya Kyela (CHADEMA), VICTORIA SWEBE na kuondoka naye kusiko julikana.
Tunaendelea kufuatilia zaidi na tunalitaka jeshi la polisi Kyela, Mbeya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.