victoria swebe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi la polisi wakiri kumshikilia Swebe wa CHADEMA na wenzake 3 kwa tuhuma za uchochezi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za uchochezi, akiwamo Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kyela, Victoria Swebe mkazi wa Lubele na wengine watatu ambao ni Bryson Kamembe, Asajile Mwasalemba na Elia Mwalumbu wakazi wa Wilaya ya Kyela. Kamanda wa Polisi Mkoa huo...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwaipaya: Polisi wenye silaha za moto wamevamia nyumbani kwa mwenyekiti CHADEMA Kyela, waondoka naye kusikojulikana

    Usiku wa kuamkia leo (Novemba 20) watu waliojitambulisha kuwa ni Askari polisi wakiwa na silaha za moto wamevamia nyumbani kwa mwenyekiti wa Wilaya ya Kyela (CHADEMA), VICTORIA SWEBE na kuondoka naye kusiko julikana. Tunaendelea kufuatilia zaidi na tunalitaka jeshi la polisi Kyela, Mbeya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…