Tuko kwenye zama za kidijitali ambapo michezo ya video haipo tu kwa ajili ya kuburudisha. Zamani, ilikuwa kawaida kuona michezo ya video kama njia ya "kupoteza muda," lakini sasa, teknolojia imeleta mapinduzi makubwa – unaweza kujifunza stadi mpya kwa kucheza michezo!
Fikiria hili, wewe...
Ikiwa mwanamke wako anatazama mpira wa miguu na ni shabiki wa timu fulani, ujue kwamba timu yoyote anayoishabikia ni mwanaume aliitambulisha kwake. Hasa mpenzi wake anayemkubali sana wanasema a true lover.
Ikiwa mwanamke wako mara aseme:
"Mimi ni shabiki wa Chelsea, wakati mwingine Man U...
Mashindano ya Olympic ya video game (Esports) ya kwanza yatafanyika Saudi Arabia 2025.
Esports zimekuwa serious kwa wenzetu, mashindano ya PUBG yanayoendela sasa yana jumla ya zawadi zaidi ya dollar milioni 3 huku N0tail mchezaji number moja wa game ya Dota 2 akiwa ameshinda jumla ya dollar...
Wasanidi wa kampuni ya Rockstar wanapendekeza kwamba Grand Theft Auto 6 (GTA 6) inaweza kuwa toleo la mwisho katika mfululizo wa Grand Theft Auto tutakaotumia maishani mwetu. 🎮 🌟
Wananuia kusasisha mchezo (refresh the game) kila mara kwa misheni mpya, maeneo na miji mipya kwa njia za mtandaoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.