video

  1. JamiiForums Tanzania Wenye Tafsiri ya video hii tafadhali

    Jionee mwenyewe.
  2. JamiiForums Tanzania Kanye West kuanza biashara ya video za ngono hivi karibuni

    Rapper Kanye West ana mpango wa kujiingiza kwenye biashara ya ndoto zake ambayo ni kurekodi watu wakifanya mapenzi mbele ya camera. Tayari mambo za studio zinaendelea na kwenye hio brand yake tayari mkewe Bianca kuna picha za uchi kaanza kuzipiga. Ameshaongea na storm Daniel producer mzoefu...
  3. JamiiForums Tanzania Hii video ameipost msanii Roma. Je, una maoni gani kuihusu?

    Ila huyu mzee sijui mzee nani maana kanyooka kama rula😁 Mwishoni anakuambia "🗣️ Aaaah Chakula safiii, Chakula safiii Aaah Chakula safi kabisaaa😁"
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Video ambazo ni fake zilivyotumika kipropaganda kuelezea Shambulio la Iran kwa Israel

    Sina maneno mengi, video inajitosheleza https://www.youtube.com/watch?v=P3iuOjJ0yyY&ab_channel=DWNews
  5. JamiiForums Tanzania Video, Capture of day! Pumzika kwa Amani captain.

  6. JamiiForums Tanzania Video: Utakula au hutokula?

    Mgeni ndio umeandaliwa Chakula hicho hapo, je utakula au hautokula?
  7. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuokolewa na Tukio la Happy Birthday to you?

  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, Kennedy Ngondi matatani kwa video ya kulazimisha kumpa mkono na kumkumbatia mwanamke wa kiislamu

    Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, nchini Kenya, Ken Ngondi, alionekana kwenye video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kumlazimisha mwanamke wa kiislamu kumpa mkono na kumkumbatia, katika hafla ya siku yake ya kuzaliwa. Tukio hilo limezua taharuki kutoka kwa wananchi wakitaka spika...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Itakuwa vyumba vimejaa

  10. JamiiForums Tanzania VIDEO: Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, likiwa tayari kwa vita kamili

    Wanaukumbi. Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii. Kumbuka Iran ndiyo nchi pekee iliyotengeneza makombora ya kilomita 2,000 pia wana makombora kila aina kama Shahab...
  11. JamiiForums Tanzania VIDEO: Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, likiwa tayari kwa vita kamili.

    Wanaukumbi. Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii. Kumbuka Iran ndiyo nchi pekee iliyotengeneza makombora ya kilomita 2,000 pia wana makombora kila aina kama Shahab...
  12. JamiiForums Tanzania Ebooks,softwares and video course

    Hi 1.a secret link with database books of everything you know in this planet,you can download freely,books worth millions of money on Amazon but the secret link provides for free. 2.An Ebook that consists of more than 200 google drive links which each consists of a specific computer course...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Mwana kawatelekeza wenzie kwasababu ya Namba

  14. JamiiForums Tanzania TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

    Watu tisa(9) wafariki papohapo na wengine 19 kujeruhiwa vibaya baadhi yao baada ya basi kampuni ya Lujiga walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es salaam kwenda Mwanza kugonga Loli kwa nyuma lililokuwa limeegesha barabarani kwa kuharibika. Ajali hiyo imetokea wilayani Iramba leo alfajiri 10:30...
  15. JamiiForums Tanzania Video: Sio Poa, Ukisikia Uchawi ndio huu sasa!

  16. JamiiForums Tanzania Video: Tayari Bodaboda kashafanya yake

  17. JamiiForums Tanzania Tuoneshe asili/maana ya ID yako kwa video au picha, ya kwangu ni hii

    Naona watu wengi wananiuliza nini maana ya prakatatumba, huyu mwamba cabo snoop aliitisha sana na ule wimbo wake wa Windhoek, sijui ameishia wapi lakini mimi nimekua fans wake mkubwa miaka yote.
  18. JamiiForums Tanzania Video: Hizi ndio akili za bodaboda

    Wakuu tunajua bodaboda wanatusaidia sana kwa usafiri wa uhakika lakini ukitaka kupanda boda kwanza angalia umri wake, wapo bodaboda ambao ni smart kidogo, ila hawa vijana wanyoa viduku Dah? Ukipanda mwambie akuendeshe kwa speed ya polepole, umpe masharti kabla hujapanda hiyo bodaboda yake...
  19. JamiiForums Tanzania Video: Jinsi makombora ya Iran yanadunguliwa juu ya eneo takatifu Duniani kwa Wakristo, Waislamu na Wayahudi

    Mshukuru sana sayansi ya Israel imeweza kulinda hilo eneo lenu ambalo huwa mnaliamini sana tena kwa mizuka. === Surreal images of Israel's Iron Dome intercepting Iranian drones and missiles over Temple Mount in Jerusalem--the holiest place in the world for Christians, Jews and Muslims.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua mchanganuo wa uniti moja ya maji kwa ndoo pamoja na gharama yake anijuze

    Habari zenu! Hivi unit moja ya maji ni sawa na ndoo ngapi za maji? Na bei ya unit moja ni shngap? Nisaidieni nahisi napigwa huku na mwenye nyumba.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…