vidonda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Nasumbuka sana wakuu mwenye kujua Tiba ya vidonda vya tumbo anijuze

    Nitangulize salam kwanza kwa ndugu wote wana jamii forum, kama kichwa cha Habari hapo juu kinavoeleza, ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo huu mwaka wa 6 naomba kwa yoyote anayefaham dawa au ameshatumia dawa amepona anifahamishe na mimi niondokane na hiii karaha, , nipo mwanza, natanguliza...
  2. B

    Dawa ya Vidonda vya tumbo kwa ambaye amepona au anayeifahamu

    Nitangulize salam kwanza kwa ndugu wote wana jamii forum, kama kichwa cha Habari hapo juu kinavoeleza, ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo huu mwaka wa 6 naomba kwa yoyote anayefaham dawa au ameshatumia dawa amepona anifahamishe na mimi niondokane na hiii karaha, , nipo mwanza, natanguliza...
  3. NetMaster

    Je, mboga za majani zinazolimwa Dar zina sumu inayochangia matatizo ya nguvu za kiume, cancer, bawasiri, vidonda vya tumbo, n.k?

    Unaweza ukawa unakula ugali na mboga za majani na ukajiona unakula chakula chenye afya kumbe uhalisia ni kwamba unajiongezea sumu zaidi mwilini. Sehemu kubwa ya mboga za Darisalama zinatoka mabonde ya Mto Msimbazi, Mandela road bonde lililoko kituo cha garage, Jangwani, Kigogo sambusa na maeneo...
  4. Justdr

    Ulitumia dawa gani kutibu vidonda vya tumbo?

    Vidonda vya tumbo ni moja ya magonjwa yanotusumbua sana miongoni mwetu na hii siyo Tanzania tu ni dunia nzima. Naleta huu uzi kwa maana wanasema sharing problem is half way of solving it. Hivyo bas wenye mlishawahi kuwa na changamoto kama hii na mkapata matibabu, naomba mshare namna...
  5. Sildenafil Citrate

    Tatizo la Vidonda ya tumbo

    Vidonda vya tumbo ni michubuko inayotokea kwenye kuta za mfumo wa chakula, hasa kwenye sehemu ya tumbo au pia sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo. Ukubwa wa vidonda hivi hutofautiana, kuanzia millimita chache hadi sentimita kadhaa. Dalili za ugonjwa huu mara nyingi hutegemea umri pamoja na eneo...
  6. Dr Adinan

    Vidonda Vya Kisukari: Fahamu Chanzo, Athari, Tiba na Kinga

    Madhara Ya Ugonjwa wa Kisukari na Namna Ya Kuepuka Vidonda kwa wagonjwa wa kisukari ni changamoto kubwa sana inayosababisha ulemavu unaotokana eidha kuwa kukatwa miguu au mikono. Haya yote yanaweza kudhibitika kama tahadhari itachukuliwa katika muda muafaka. Kabla ya kufahamu ufanye nini na...
  7. Lastmost

    Nasumbuliwa na vidonda vya mdomoni mara kwa mara

    Wakuuu salaam. Nina katoto kangu kanasumbuliwa na vidonda vya mara kwa mara, kwenye fizi na ndani ya mdomo. Amepelekwa hospital Mara kwa Mara. Akipewa dawa vinaisha kwa muda na kuanza Tena. Naomba msaada je apewe Nini ili hili tatizo liishe? Asanteni sana
  8. Fedora

    Nini chanzo cha kutoka vidonda vidogo kwenye ulimu

    Habari, Mara kwa mara nimekuwa nikitokwa na kipele kimoja au viwili kwenye ulimi ambavyo vinadumu kwa siku 3-7 kisha kutoweka vyenyewe, vinanipa maumivu sana kiasi hata cha kusindwa kuongea vizuri au kula Sijawahi kutumia dawa yoyote na hutokea wakati wowote, msaada kwa anayejua tatizo hili.
  9. Tido jr

    Msaada: Nasumbuliwa na vidonda kwenye korodani

    Habari waungwana, Nasumbuliwa na vidonda vibich kwenye ngozi ya pumbu huwa vnatokea na kupotea vyenyewe baada ya mwez vnatokea tena kama lengelenge vile lililopasuka nahc n ugonjwa wa znaa msaad kwa waliowai ugua ugonjwa huu na wameponea dawa gani? Ushaur tafadhali?
  10. mwanamakole

    JITIBU Kisukari, Shinikizo la damu, Arthritis, Vidonda vya tumbo nk kwa dawa hii

    WATER THERAPY Faida zake; Utaondokana na changamoto zifuatazo: 1. Uzito usiotakiwa 2. uchovu kwa wakati usiostahili 3. kutopata usingizi kwa wakati muafaka wa kulala 4. Maumivu sugu ya Tumbo, Kichwa, viungo nk 5. kupunguza Tumbo/ Kitambi 6. Cancer, Kisukari, asthma, Shinikizo la damu( la juu...
  11. almandoJr

    Majani ya kutibu vidonda vya tumbo

    Kulingana na andiko fulani lililoita liliezea kuhusu haya majani au mnaweza kutafta na kusoma tena maana me niliwapa ahadi ya kuyatafuta ktk mizungoko yangu nimefanyikiwa kuyaona japo ni machache kidogo kwa mwenye uhitaji twaweza wasiliana DM ataweza yasafirisha vipi yako ngara kagera na niko...
  12. gubegubekubwa

    Msaada Hospital nzuri kwa kutibu vidonda vya tumbo Dar, vitaniua jamani

    Msaada Wana jf yaani hivi vidonda vitaniua jamani
  13. Guselya Ngwandu

    Walimu: Rais Samia atatuponya madonda

    Walimu wenzangu, tujipongeze kwa kuelimisha Taifa leo tunaposherehekea Siku ya Walimu. Ndugu zangu, tuko na madonda mengi, mengi yakihusiana na Serikali yetu. Nani hajui kuhusu madeni tunayodai? Nani anajiweka nje ya ukweli kwamba sisis ni miongoni mwa wafanyakazi wa Tiafa hili ambao kwa miaka...
  14. Kachara 47

    Je, vidonda vya tumbo vinasababisha hernia? Kuna dawa ya hernia bila upasuaji?

    Je, vidonda vya tumbo vinasababisha hernia? Na kuna dawa ya hernia without surgery
  15. Friday Malafyale

    Vidonda visivyo vya kawaida kwenye uume

    Kichwa kinajiekeza. Ndugu zangu wiki mbili zilizopita nilijiona kitu cha tofauti kwenye kichwa cha uume wangu kwanza ulianza kama mwasho sana basi nikawa najikuna sana kadri nikijikuna nasikia raha, nikajua ni kawaida tu, then next three days nikawa napata kama michubuko kwenye kichwa tu...
Back
Top Bottom