Nataka nipime uwajibikaji wa serikali. toka asubuhi nimeona kuna rundo la madawa yametupwa barabarani kabisa Jambo ambalo ni hatari madawa yenyewe yanafanana na Yale ya minyoo watoto wakiyaona watadhani ni pipi sijui ndo yame expire au vipi.
Me siwezi kujitolea kuanza kuyaokota sio kazi yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.