viewers

  1. Carlos The Jackal

    Bungeni liko Live, Online TVs Viewers hawazii 100 Kwa Kila TV , TUNDU LISSU Yuko Live, Online TVs Viewers ni zaidi ya 2k Kwa Kila TV

    Hata kama mtafumba macho na kuweka pamba masikioni , Ukweli utabaki palepale .
  2. Huihui2

    Iko siku hii clip ya Magufuli itapata viewers wengi sana. Naitunza hapa

    Ni miaka 5 sasa Magufuli alipotoa kauli hii saa chache baadaye Tundu Lissu alishambuliwa Dodoma. Nawawekea watu wa Forensic kuna siku tusiyoijua clip hii itakuwa ushahidi muhimu.
  3. Mad Max

    Konde Gang wananunua viewers au ndio Ibra mkali?

    Nimeona Ibra ametoa video ya wimbo Jipinde, YouTube masaa 16 yaliyopita views Mil 1 hadi sasa (Saa 5 mchana tar 19-08). Hizo views Mil 1 vijana wa WCB Mbosso na Rayvanny wametumia week nzima kuitafuta.
  4. Kasomi

    YouTube Yafuta viewers kwenye wimbo wa Harmonize

    Mtandao wa YouTube wenye makao makuu yake Marekani. Umefuta baadhi ya viewers kwenye wimbo wa ATTITUDE wa msanii Harmonize aliyo mshirikisha Msanii wa Zamani H. Baba pamoja na msanii wa Lumba kutoka nchini Congo Awilo Longomba. Utaratibu wa kufuta Viewers hua upo katika mtandao wa YouTube...
Back
Top Bottom