vifaa tiba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Benaya Kapinga asisitiza Dawa na Vifaa Tiba vipelekwe kwa wakati sehemu za kutolea huduma za afya

    MBUNGE BENAYA KAPINGA ASISITIZA DAWA NA VIFAA TIBA VIPELEKWE KWA WAKATI SEHEMU ZA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma Benaya Liuka Kapinga akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Mei, 2023. "Serikali katika Jimbo la...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Benaya Kapiga Asisitiza Vifaa Tiba na Dawa zipelekwe kwa Wakati Maeneo ya Kutolea Huduma za Afya

    MBUNGE BENAYA KAPINGA ASISITIZA DAWA NA VIFAA TIBA VIPELEKWE KWA WAKATI SEHEMU ZA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma Mhe. Benaya Liuka Kapinga akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Mei, 2023. "Serikali katika Jimbo...
  3. M

    Wauzaji wa vifaa tiba (medical equipment) Tanzania

    Habari, Hill Medical Equipment ni kampuni inayo jihusisha na uuzaji na usambazaji wa vifaa tiba(medical equipment) katika mikoa yote ndani ya tanzania. Pia hill medical equipment tunauza vifaa tiba vyenye ubora wa hali ya juu kwa bei elekezi ya serikali. Tunakalibisha taasisi, hospitali...
  4. benzemah

    Hospitali ya Taifa Muhimbili-Lloganzila kuanza kupandikiza figo

    Baada ya uwekezaji na uwezeshaji mkubwa kutoka Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila inatarajiwa kuingia katika historia tarehe 13/04/2023 kwa kuwa miongoni mwa Hospitali zinazotoa huduma ya kupandikiza Figo hapa nchini Tanzania...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mhe. Msongozi - Atoa Misaada ya Cherehani 60, Mbegu za Soya, Majiko ya Gesi 106 na Vifaa Tiba Ruvuma

    MHE. JACQUELINE MSONGOZI - ATOA MISAADA YA CHEREHANI NA VIFAA TIBA VITUO VYA AFYA MKOA WA RUVUMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma na Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Jacqueline Ngonyani Msongozi amefanya ziara ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono kwa vitendo...
  6. USSR

    Ridhiwani Kikwete agawa pikipiki kwa watendaji na vifaa tiba jimboni kwake Chalinze

    Alhamisi jimboni Chalinze. Nimegawa pikipiki kwa watendaji wa kata 6 za Halmashauri yetu ya Chalinze, kutembelea kiwanda cha Uzalishaji wa marumaru cha Keda, na kupokea vifaa tiba kwa ajili ya Vituo vya Afya viwili Kata za Kibindu na Msata na Zahanati vijiji 11. Wakati tunakwbidhi pikipiki...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ridhiwani Kikwete agawa pikipiki 6 na kukabidhi vifaa tiba jimboni Chalinze

    MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE AGAWA PIKIPIKI 6 NA KUKABIDHI VIFAA TIBA JIMBONI CHALINZE Alhamisi tarehe 16 Februari 2023 Mbunge wa Jimbo la Chalinze amasema; "Nimegawa Pikipiki kwa watendaji wa Kata 6 za Halmashauri yetu ya Chalinze, kutembelea kiwanda cha Uzalishaji wa Marumaru cha Keda, na...
  8. D

    Sakata la RC Malima na Mkurugenzi Mwanza halina tofauti na wale wauguzi kubishania vifaa tiba feki

    Kuna tuhuma nzito zimetangazwa na mkuu wa mkoa wa Mwanza RC Adam Malima ameonekana akimtuhumu Mkurugenzi wa jiji kuhusika na utapeli wa kuuza viwanja viwili vyenye thamani ya Bilioni moja! Hii ni taharuki na tuhuma nzito sana! Ukitafakali kwa kina jambo hili linaibua maswali mengi sana yasiyo...
  9. Replica

    Aliyeibua uozo wa vifaa tiba Tabora asimamishwa kazi

    Bwana James Getogo wa Ishihimulwa Tabora amesimaishwa kazi pamoja na dada Rose Shirima kupisha uchunguzi. Wawili hao walionekana kwenye video wakijibishana juu ya kutumia vifaa tiba vya malaria vilivyopita muda. ===== Watumishi wawili wa Afya wa Zahanati ya Ishihimulwa Rose Shirima na James...
  10. D

    Uchambuzi wa sakata la muuguzi aliyetaka kutumia vifaa tiba vilivyoisha muda ni aibu

    Sakata la wauguzi huko mkoani tabora waliokuwa wakibishana juu ya matumizi ya vifaa vilivyoisha muda wake limeibua maoni mengi sana ya watu! Wengi wao wameishia kulitazama kwa juu juu na kumuona yule afisa binti mwenye Rafudhi ya KIJITA mix na KIKURYA kwamba ndiye mkosaji na yule mwingine yuko...
  11. BARD AI

    Serikali yakiri kuwepo uhaba wa vifaa tiba vya Saratani na Kisukari

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema watu 25,000 walifariki kwa ugonjwa wa Saratani ndani ya mwaka 2020 pekee na kuufanya ugonjwa huo kuwa tishio zaidi ya Uviko-19 ilioua watu chini ya 1,000 hadi sasa. Waziri Ummy pia amekiri kuwepo kwa uhaba wa vifaa tiba na dawa kwa wagonjwa wa Saratani na...
  12. jemsic

    SoC02 Tanzania kufikia hatua ya dawa na vifaa tiba bora

    (Source: https://pixabay.com/photos) Magonjwa ya milipuko yamekuwa yakienea katika eneo kubwa sana na kuambukiza watu wengi kwa muda mfupi. Homa ya Uhispania, Virusi Vya Ukimwi na UVIKO-19 ni baadhi ya magonjwa ambayo yamekumba nchi tofautitofauti ikiwemo Tanzania katika historia ya wanadamu...
  13. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Ushauri kwa Rais Samia: Ondoa posho za wabunge na mawaziri, shusha mishahara yao peleka kwenye vifaa tiba kwa ajili ya wananchi!

    Waziri wa afya ameshatoa yake kuhusu shirika la Bima NHIF kushindwa kujiendesha na kuelemewa na mzigo. Muathirika mkubwa ni mwananchi wa kawaida kwasababu wafanyakazi na wanasiasa hawatokosa fedha za matibabu! Ili kusaidia, fedha za posho za wanasiasa fyeka zote peleka kwenye madawa na vifaa...
  14. JanguKamaJangu

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba kudhibiti matumizi ya dawa za Viagra na P2

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema inafanyia utafiti dawa za nguvu za kiume aina ya Viagra pamoja na kuwekea mkakati dawa zinazotumika kuzuia mimba aina ya P2 kwa lengo la kudhibiti uholela wa utumiaji wake. Mkurugenzi wa TMDA, Adam Fimbo wakati amesema utumiaji holela wa dawa za...
  15. polokwane

    Rais Samia, baada ya madarasa kituo kinachofuata kiwe vifaa tiba vya msingi kama mashine za Ultrasound, Haematology, Analyserachine na X-ray

    Kukosekana kwa vifaa hivi kwenye vituo vya afya vingi imekuwa changamoto kubwa kwa matibabu Ushauri baada ya kufanya vizur kwenye madarasa sasa nguvu ihamishie huko pia kuna vituo vingi vikubwa vya afya vyenye hadhi ya kuwa na vipimo hivyo lakini havina hali inayo pelekea wangonjwa kusafiri 20...
  16. Suley2019

    Kagera: Mbaroni kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vya Sh milioni 122

    Mbaroni kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vya Sh milioni 122 Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia, Anicetha Johannes (24) mkazi wa Omukigusha kata ya Bilele muuzaji wa vyuma chakavu kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vyenye thamani zaidi ya Sh milioni 122. Kamanda wa polisi Mkoa wa...
  17. B

    Marekani yakabidhi misaada ya afya na vifaa tiba kwa Tanzania, thamani TZS 497,559,000

    Marekani ya kabidhi misaada kwa serikali ya Tanzania TZS 497,559,000 kwa ajili ya huduma za afya katika Jeshi la Polisi Tanzania na Jeshi la Magereza Tanzania pamoja na vituo vya afya vilivyo chini ya majeshi hayo vitoavyo huduma kwa majeshi hayo na jamii inayoishi jirani na majeshi hayo...
  18. B

    Gerson Msigwa aipongeza MSD kwa kuanzisha viwanda vya dawa na vifaa tiba

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, ameipongeza Bohari ya Dawa (MSD) kwa jitahada zake za kuanzisha viwanda vya dawa na vifaa tiba kwani vitaipunguzia serikali gharama ya kuagiza dawa nje ya nchi. Msigwa ametoa pongezi hizo hii leo, wakati...
Back
Top Bottom