vifaa vya ujenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini Yagawa Vifaa vya Ujenzi

    Leo, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameitisha Kikao cha Kamati ya Mfuko wa Jimbo kwa lengo la kugawa vifaa vya ujenzi vitakavyonunuliwa kwa kutumia Fedha za Mfuko wa Jimbo. Waliohudhuria Kikao hicho: (i) Wajumbe wa Mfuko wa Jimbo (ii) Sekretariati ya Mfuko wa Jimbo...
  2. The Sheriff

    KERO Kunani matengenezo ya barabara Getifonga-Mabogini-Kahe? Adha ya vumbi, vifusi, barabara hazipitiki na vifaa mmeondoa saiti. Tunataka maelezo

    Mkandarasi aliyepewa tenda ya kutengeneza barabara ya kilometa 31 ya Geti Fonga-Mabogini-Kahe wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro anasababisha kero kwa wakazi wa maeneo inapopita barabara hiyo. Mkandarasi huyo ni Lenana Holding Company Limited yenye makao makuu yake jijini Arusha. Kero...
  3. Riskytaker

    Gharama za ujenzi zipo juu sana

    Kwa pato la mtanzania kuishi nyumba za kupanga ni kujitengenezea msingi mzuri wa umaskini. Gharama za vifaa vya ujenzi zipo juu ukilinganisha na uhalisia. Tunahitaji viongozi ambao wanaweza kutetea wananchi sio kusifia tu
  4. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Mbunge Tauhida Gallos Akabidhi Vifaa vya Ujenzi Ofisi za CCM Jimbo la Dimani, Magharibi - Zanzibar

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Magharibi (Zanzibar), Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo katika ziara aliyofanya tarehe 09 Oktoba, 2024 Jimbo la Dimani ameahidi kushirikiana na Viongozi wengine katika kutatua matatizo mbalimbali ya Wananchi. Akikabidhi Mchanga na Mifuko ya Saruji kwa Viongozi wa...
  5. J

    Mfumuko wa bei kwa bidha mtaani unatisha, hasa vifaa vya ujenzi

    Baada ya kupita miji na majiji kadha hapa nchini kila nilipojaribu kununua vifaa vya ujenzi nimeshikwa na butwa kuona kalibu kila bidha bei imeongezeka kwa aslimia 30 hadi 50 kwa bei za awali. Baada ya kuuliza wafanyabiashara wawili watatu nimeambiwa hali hiyo wanajua serikali. Sasa niombe...
  6. Mjanja M1

    Njombe: Daktari mbaroni wizi wa vifaa vya ujenzi wa hospitali

    Watu wanne wakiwamo watumishi wawili wa Serikali na mlinzi wamekamatwa kwa tuhuma za wizi wa vifaa vya ujenzi katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe. Taarifa za wizi huo zimetolewa leo Februari 9, 2024 na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Butusyo Mwambelo...
  7. Miss Zomboko

    Mhasibu wa Shirika la Wakala wa Taifa la Utafiti na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA), amehukumiwa kwa Ubadhirifu

    Kesi Namba Ecc 37709/2023 imeamuliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni Wilaya ya Kinondoni ambapo mshtakiwa Bw. EZEKIEL SAGITII - Mhasibu katika Shirika la Wakala wa Taifa la Utafiti na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA), amehukumiwa kulipa faini ya shilingi milioni tatu (3,000,000/=) au kutumikia...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Tauhida Gallos akabidhi vifaa vya ujenzi na michezo Jimbo la Welezo Mkoa wa Magharibi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi (UWT) Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo ameambatana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Magharibi kukabidhi vifaa vya michezo na ujenzi katika Jimbo la Welezo. Mbunge Tauhida na Mwenyekiti UWT Mkoa wa Magharibi...
  9. Lomy_5

    Nina mtaji wa Tsh. Milioni 5. Nipo mkoa wa Songwe

    Habari za majukumu waheshimiwa👋 naamini mko salama... Ndugu yenu hapa, kwenye moja na mbili za utafutaji nimekusanya Tsh. 5,000,000/= Kilichonileta hapa ni kupata ushauri kwa wenye uzoefu kidogo kwenye uchaguzi wa biashara ya kuingia kati ya hizi. 1. Spea za pikipiki (coz nina uzoefu kwenye...
  10. S

    Uzi wa kupeana machimbo mbalimbali ya vifaa vya ujenzi na bei zake

    Kwema Wakuu, Ujenzi umekua gharama sana sababu ya kuongezeka kwa bei za bidhaa kunakoendana na ongezeko la bidhaa zingine zisizo za ujenzi pia. Kwa aliejenga miaka 10 nyuma gharama hizo hizo akitaka kujenga sasa kwa nyumba ya aina ile ile anaweza asifike hata 60% ya nyumba aliojenga mwanzo...
  11. Nyendo

    Wizi wa vifaa vya ujenzi, ishawahi kukutokea?

    Kuna kipindi nyumbani tulikuwa tunajenga nyumba ya familia, Ikaanza kila tukinunua sementi unakuta mifuko inapungua, kumbe kibarua akichanganya mchanga na sementi, anapakia mchanganyiko kwenye mifuko anaifukia chini kisha usiku anaibeba anaenda kuwauzia watu. Sasa siku moja wakati akiwa...
  12. Nyendo

    Umewahi kupata Hasara gani kutokana na Fundi Ujenzi kukosea makadirio ya Vifaa?

    Hawa mafundi kuna wakati wanatia hasara sana, anaweza kukupigia makadirio ya vifaa vya kujenga, aidha kubwa sana au ndogo sana kulingana na uhalisia. Unakuta umepigiwa gharama ya mifuko 50 ya simenti kumbe inatakiwa 80 tofauti kubwa kabisa na umejipigapiga umeanza ujenzi inaishia katikati...
  13. T

    Biashara ya Vifaa vya Ujenzi Dar

    Nafikiria kufungua duka la kuuza vifaa vya ujenzi, nalenga vitu 3: cement, nondo, na mabati. Hii biashara nafikiria kuifungua hapahapa Dar. Wazoefu nipeni ushauri natakiwa kuzingatia vitu gani?
  14. Fursakibao

    Picha: Watangazaji E FM hoi taabani baada ya kusikia kuwa polisi ndio wezi wa vifaa vya ujenzi SGR

    Tutafika kweli anaetakiwa kukamata wezi nae mwizi.
  15. gileun

    Nahitaji kufungua Duka la Vifaa vya Ujenzi, naombeni msaada

    Habari wakuu! Nahitaji kufungua duka la vifaa vya ujenzi hapa Dar es Salaam, sasa naomba kwa anaefahamu jinsi ya kuwapata mawakala wanaosambaza vifaa vya ujenzi baada ya kuagiza toka nje ya Tanzania anisaidie namna ya kuwapata. Au hata kama kuna namna ya kuwa naagiza vifaa hivyo toka nje ya...
  16. FRANCIS DA DON

    Naomba kufahamishwa machimbo ya vifaa vya ujenzi vya wizi

    Kwa wanaofahamu machimbo ya vifaa vya ujenzi vya wizi, hasa hasa nondo. Maana si tumeamua kukomoana, wacha tutafute alternative. Pia na mabati, kama kuna anaefahamu hayo machimbo, najua yapo, maana huwa nasikiaga sikiaga watu wakinunua kwa bei ya kuokota.
  17. Abdul Ghafur

    Fursa ya kujifunza ujenzi katika kiwanda kidogo

    Sisi tunaitwa Madrassatul Abraar, tupo mtaa wa vitendo, kata ya Misugusugu, mkoa wa Pwani, namba zetu za simu 0625249605. Kituo kinaitwa "Miyomboni Shule" au Misugusugu Shule ya Msingi. Fursa za kazi zilizopo sasa ni "production Manager" kwenye kiwanda kidogo cha vifaa vya ujenzi vinavyoundwa...
  18. Me too

    Mfumuko wa bei za vifaa vya ujenzi wapangaji mtarajie mabadiliko pia

    Unakuta mtu uko city centre kulingana na ubora wa nyumba yako anatokea mpangaji anakwambia sijui mbona kwa OMARY anapangisha chumba 50000 na vina umeme na maji wewe tu ndo unapangisha 60000. kwa OMARY kwenyewe ndo hapo👆 alafu uje kwa ABDALAH 👇utake kupanga kwa bei hiyohiyo,,,,,. kwa mfumuko...
  19. Jidu La Mabambasi

    Dkt. Kijaji, kweli huelewi sababu ya bei ya vifaa vya ujenzi kupanda?

    Serikali yaagiza hatua zichukuliwe wanaopandisha bei za bidhaa Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dk Ashatu Kachwamba Kijaji Serikali ya Tanzania imeziagiza mamlaka zote za udhibiti kuchukua hatua kali dhidi ya walimbikizaji na wauzaji kupitia mlango wa nyuma (black market)...
  20. J

    Serikali yaagiza mamlaka husika kuwachukulia hatua wafanyabiashara waliopandisha bei za vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine muhimu

    Waziri wa viwanda na biashara Dr Kijaji amezitaka mamlaka zinazohusika kuwachukulia hatua wafanyabiashara waliopandisha bei za Soda, Cement, Nondo na bidhaa nyingine kinyume cha utaratibu. Dr Kijaji amesema uchunguzi umeonyesha kuwa wakati bidhaa hizo zinapandishiwa bei gharama za uzalishaji...
Back
Top Bottom