Tunakoelekea siyo kuzuri. Ninasikitishwa sana kupanda kwa kasi ya ajabu bei ya vifaa vya ujenzi. Pamoja na kupanda kwa mafuta haiwezekani bei ya vifaa kupanda kwa kasi vile. Nitoe tu mifano michache.
(1) Sheet moja ya alluminium ilikuwa inauzwa hapa Mwanza kwa Tshs.160,000 jana nimeambiwa...
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ameitaka tume ya ushindani FCC kutoa ripoti kwa Serikali ikieleza kwanini Vinywaji baridi na Vifaa vya ujenzi vimepanda bei.
Waziri ametoa siku 3 kwa ripoti ya Soda na siku 7 kwa vifaa vya ujenzi ziwe zimemfikia kwani inashangaza kusikia Soda zimeadimika...
Waziri wa viwanda na biashara Prof Kitila Mkumbo ametolea ufafanuzi taarifa zinazozagaa mitandaoni kwamba bei za Vifaa vya ujenzi zimepanda.
Kitila amesema viwandani ambako ndiko bidhaa zinakozalishwa bei hazijapanda ziko vile vile so kama kuna maeneo machache bei ziko juu basi itakuwa ni...
Tumeshuhudia hivi karibuni ongezeko kubwa sana la gharama kwenye vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine za vyakula mfano sehemu nilipo nondo imetoka Tzs 18000/= mpaka 27000/=. Huo ni mfano tu. Mawaziri msaidieni Rais kupanda kwa vifaa kuna muathiri kila mtanzania pamoja na mnyonge.
Ummy Mwalimu umegawa kila chumba Cha darasa 20m, kwasasa ni ngumu kwa bajeti hio, vifaa vya Ujenzi juu Sana, naomba mutoe special offers yaani tax exemptions kwa Ujenzi juu wa madarasa vinginevyo mtatumbua, au mjenge kwa matofali ya udongo then plasta tu ndo cement, halaf nondo moja tu Tena...
Asalam-aleikoum Wana-JF,
Nimeona nitoe hoja yangu kuhusu maamuzi ya wanasiasa ya kuanzisha tozo kubwa za miamala ya mitandao kwa kisingizio cha kujenga uchumi. Lakini matokeo yake tunayaona, watu wanalia kila kona ni maumivu.
Hoja yangu ni kwamba badala ya tozo hizi mpya ambazo ni kuongeza...
Dah, nimekaa zangu hapa home nafurahia kalikizo kangu kafupi haka nikakumbuka watani zangu hawa kuwa waliwahi kuimba wimbo wa UJENZI WA CCM MPYA.
Mimi siasa chafu sizipendi sasa nawauliza jamaa zangu hawa, ule ujenzi uliisha? Mmefikia wapi kwenye ujenzi au umesimama kidogo? Au Mkandarasi...
Mh. Rais mama Samia Suluhu Hassan tunaomba uliangalie upya suala la vifaa vya ujenzi kwani gharama zake ziko juu sana kiasi mtu wa kipato cha kawaida hasa wa kijijini hawezi kumudu gharama hizo hata kidogo.
Kama bati futi 10 la gauge 32 ni limefikia Tsh. 20,000/- tutaweza kujenga kweli...
Habar za kwenu wana JF.
Naomba kujua kuhusu biashara hizi duka la spea za pikipiki, vifaa vya bomba au vifaa vya ujenzi (hardware) uzuri, ubaya, faida, hasara na mtaji wa biashara hizi.
Wakuu poleni na shughuli!
Ee bana kuna ndugu yangu ameniahidi kunitoa kwenye umasikini,kaniahidi kunikopesha USD 15,000 ili nifungue biashara ya kuuza vifaa vya majenzi.
Sasa nauliza wakuu kwa kiasi hicho kinatosha kuanzia?au ntakua najitia pressure tuu manake hela ndogo?
Maeneo ninayotarajia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.