vifaa

  1. Waziri Silaa ashiriki kupandisha vifaa ujenzi wa Mnara wa Mawasiliano Kijiji cha Idete (Morogoro)

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), leo Machi 14, 2025, ameshiriki zoezi la kupandisha vifaa vya ujenzi wa Mnara wa Mawasiliano katika kijiji cha Idete, Kata ya Chanzuru, wilaya ya Kilosa, Mkoani Morogoro. Mnara huu ni miongoni mwa minara 758 ya...
  2. KERO Mwitikio wa wanaojiandikisha NIDA Wilaya ya Uyui ni mkubwa lakini Watendaji na Vifaa havitoshi

    Zoezi la uandikishaji Wananchi kwa ajili ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) limefanyika katika Kata ya Goweko huku kukiwa na mwitikio mkubwa unaoonekana kuzidi idadi ya Watendaji na vifaa vinavyotumika. Idadi ya Wananchi waliojitokeza ni takribani 500 ambapo kuna Watu wengi wanaotakiwa kulipia...
  3. CCM inakuwaje Askari wetu wa Uhifadhi wanakosa nguo na vifaa vya uhakika hadi kufikia kuvaa kama vikosi vya Waasi/ Askari wa DRC?

    Nimesikitishwa sana kuona uvaaji wa Askari wetu wa uhifadhi wanaofanya operesheni ya kuua fisi huko mkoani Simiyu. Inakuwaje nchi iliyofikisha Watalii Milioni 5 mwaka huu ambao wameingiza fedha za kigeni za kutosha kushindwa kuwanunulia nguo na vifaa stahiki askari wetu wa Wanyamapori...
  4. FUNDI TV NA VIFAA VYA UMEME

    BWANA FUNDI NIPO HAPA.. KAMA TV YAKO INA CHANGAMOTO YOYOTE INATIBIKA BILA SHIDA NA TUNAFANYA MPAKA HOME SERVICE PIA.. KAMA SHIDA NI MOTHERBOARD TCON POWER SUPPLY BACKLIGHT KIO0 SHIDA YOYOTE TV IMEZIMA GHAFLA TUNAWASHA, SAUTI, MWANGA NA MATATIZO YOTE WE PIGA SIM 0744680670 0618199522 TUNAKUFIKIA...
  5. South Africa wapeleka wanajeshi zaidi 700-800 na VIFAA Vizito vya kivita kupambana na M23

    BAADA ya WANAJESHI WAO kuuwawa na M23 South Africa imetuma WANAJESHI zaidi ya 700 na VIFAA vizitooo Imeomba nchi za SADC na EAC kushirkiana kuuondoa MAGAIDI WA M23 wakiachwa wataenea Africa nzima USHAURI tu wapendwa Hawa n majangili magaidiiii Pale mnapoweza kupambana nao pambaneni nao...
  6. Epuka kuweka vifaa vya kuwasha na kuwaka moto karibu na watoto

    Mhadhara (82)✍️ CHUKUA TAHADHALI KABLA YA HATARI. Watoto wa sikuhizi ni watundu sana, hivyo katika uzi huu tunakumbushana mambo madogo ambayo yanaweza kusababisha madhara makubwa ndani kwako. Wale wavuta sigara mnaotumia viberiti vya aina mbalimbali kwa ajili ya kuwashia sigara zenu. Wamama...
  7. U

    Jeshi la Urusi yagundua vifaa vya mawasiliano yaani pagers zilizotengenezwa na kampuni kubwa ya kichina kuwa zimetegwa vilipuzi ndani yake

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya urusi imeshtukia mchezo mchafu baada ya kugundua vifaa vya mawasiliano walivyouziwa/ kupewa na kampuni ya kichina kukutwa vimetegeshwa vilipuzi Kama vile walivyopewa magaidi ya Hamas na Hezbollah Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel...
  8. Tunauza Vifaa Vya Umeme Kwa Gharama Nafuu

    .
  9. S

    Unajisikiaje serikali yako inaponunua vifaa vya kukuumiza si kwa sababu wewe ni mwizi, jambazi, muuaji, mbakaji, nk, bali kwa sababu unadai haki?

    Angalia hili lidubwana hapa chini; Sasa madudu ya kutisha kama haya, serikali yako ya Tanzania imeyanunua kwa ajili ya kuumiza wananchi wake, ambao sio kwamba wana makosa makubwa kama uasi dhidi ya serikali, ujambazi, uharamia, ujangili, ubakaji, uuaji wa watu wasio na hatia, utapeli, ufisadi...
  10. Baadhi ya vifaa walivyozawadiwa M23

    Pichani, ni magari ya kivita na siraha nzito. Zilitelekezwa na jeshi la Congo, na kwa sasa ni mali ya M23. Hakika na serikali ya DRC ni mmoja wa wafadhili wakubwa wa M23. Pamoja na vifaa hivyo, imo ndege moja ya kivita, aina ya Sukhoi -25. Zaidi ya wanajeshi 480 ambao ni RG(Rwpublican Guard)...
  11. CHADEMA sijui mnafeli wapi? Mnashindwa Nini kununua vifaa vya wajawazito na kuwagawia akina mama bure

    CHADEMA mnafeli padogo sana katika harakati zenu za kisiasa mnadhani kwamba mkiikaba serikali ndio mtafanikiwa serikali Inanguvu sana hamuna uwezo wa kushindana nayo Hivi nyinyi ni wanasiasa gani ambao hamjui kiboko ya serikali ni wananchi tena ni wale wananchi wa Hali ya chini na katika hao...
  12. NAUZA VIFAA VYA STUDIO YA KUPIGIA PICHA (PHOTOSHOOT)

    Wadau kama heading inavyojieleza hapo juu nina vifaa vyangu kwa ajili ya kupiga picha indoor na viuza kwa bei kitonga Sana Kuna studio background yenye vitambaa vinne ambavyo ni nyeusi, nyeupe, kijani na kijivu. Soft box mbili, miavuli minne na reflector Taa NNE na fleme zake, pia vitambaa...
  13. Vifaa vya kuona usiku vya kizazi cha tatu vya Marekani aina ya ENVG-B vinatumika na vikosi maalum vya Ukraine

    "AN/PSQ-42 Enhanced Night Vision Binocular (ENVG-B) ni kifaa cha kuona usiku cha kizazi cha tatu (kisichotoa mwanga) kilichoandaliwa kwa ajili ya Jeshi la Marekani. ENVG-B mpya na FWS-Is zinawaruhusu askari kufanya uchunguzi wakati wa operesheni za mchana na usiku, pamoja na uwezo wa kuona...
  14. Utambuzi kuhusu biashara ya vifaa vya umeme(electrical and electronics devices)

    Habari wapendwa, Kwa majina naitwa EMMANUEL NESTORY SAGINI, ni mzaliwa wa songea manispaa pia ni muhitimu wa elimu ya ufundi stadi katika fani ya umeme wa majumba na viwanda, ngazi ya tatu ya cheti level three(III) 2023. Lengo la kuandika makala hii ni kuhitaji kufahamu je ni vitu gani...
  15. WAZIRI WA ELIMU..EMBU FIKEN MLALAMIKE ONGEZEKO LA BEI ZA VIFAA VYA ELIMU WHY NOW?MBONA TKT LATRA WAMEJIRAHIDI XMASS TUMELIPA BEI HALALI??

    Inashangaza sanaa YAAN tkt za basi n MUHIMU kuliko elimu yetuu Naangalia mikoa zaidi ya mitano wanalia upandaji WA bei kuanzia madaftari Magodoroo Vyatu vya shuleeeeeeee Soksi Vitandaaaaa Vitabuuuuu Kwani latra wamefaulu ku control bei za juu sikukuu Wizara ya elimu .tamisemi...
  16. Nahitaji vifaa vya uhamilishaji (artificial insemination kit)

    Kama kichwa kinavyosema, Nahitaji duka au mahali wanapouza vifaa vya kupandikiza mimba kwa wanyama..almaarufu "uhamilishaji" Nahitaji hivi vifaaa hapa chini:- 1.Liquid nitrogen container lita tatu 2.pistolet moja 3.shealth 4.PD gloves 5.surgery tools
  17. Kamati ya Mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini Yagawa Vifaa vya Ujenzi

    Leo, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameitisha Kikao cha Kamati ya Mfuko wa Jimbo kwa lengo la kugawa vifaa vya ujenzi vitakavyonunuliwa kwa kutumia Fedha za Mfuko wa Jimbo. Waliohudhuria Kikao hicho: (i) Wajumbe wa Mfuko wa Jimbo (ii) Sekretariati ya Mfuko wa Jimbo...
  18. B

    Leo ndio leo! Chalinze festival funga mwaka bonanza ndani ya Chalinze, Kikwete agawa vifaa

    Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Dkt. Jakaya Kikwete ataongoza Bonanza kama Mgeni rasmi, Bongo Muvi ndani Mbunge wa Chalinze na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira, na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete anafunga mwaka na Bonanza kubwa la kufunga mwaka la Chalinze Festival...
  19. Mhe. Ndumbaro Akabidhi Vifaa Tiba Hospitali ya Rufaa Songea

    MHE. NDUMBARO AKABIDHI VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA SONGEA Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekabidhi vifaa tiba vya huduma ya utengemao kwa uongozi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Ruvuma, iliyopo Manispaa ya Songea mjini. Mhe. Ndumbaro...
  20. Silaha, Makombora na Vifaa vya Kijeshi Zaidi ya 85,000 vya Hezbollah Vimetwaliwa na Jeshi la Israel IDF Kusini mwa Lebanon

    Tangu Oktoba 2024, vikosi vya IDF vilifanya kazi dhidi ya Hezbollah katika zaidi ya maeneo 30 kusini mwa Lebanon. Wanajeshi hao walitambua na kuharibu miundombinu ya magaidi, wakaondoa magaidi, na kupata na kunyang'anya silaha. makombora na vifaa vya kijeshi zaidi ya 85,000. Silaha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…