Ethiopia waligoma kuzuia safari China, Kuna cases 104 mwafrica 1 amekufa, Congo pia.
Marekani wameshazuia, sisi haya mambo ya urafiki tuacheni, naiomba serikali nipo chini ya miguu yake wazuie safari zote, huu ugonjwa Ni mbaya.
Corona ikija kutuua au kuua ndugu zetu CCM haitapona, nasema...
Habari wakuu. Vifuatavyo vinauzwa:
Laptop mpya lenovo, 320gb, 4 gb ram, 4 hours battery -295,000
Min laptop , ya kuunganisha na umeme direct - 150,000
viti vya plastic 2 pc - 20,000
Printer hp 2130...
Mh Joseph Mbilinyi leo amekabidhi vifaa vya kisasa vya michezo kwa timu za soka jimboni kwake
Kwa awamu ya kwanza timu zilizonufaika ni pamoja na:
1. Airport Rangers (Kata ya Iyela)
2. Stone fire (Maaga)
3. Iganzo fema club (Iganzo)
4. Iwambi FC (Iwambi)
5. Iyunga boys (Iyunga)
6. Itende FC...
Wakuu habari za muda huu,
Kuna kaofisi nategemea kuanzisha hivi karibuni ambapo nategemea kuajiri vijana nitakaoweza kuwalipa cash kwa mwezi, sasa ninapokwama ni kwamba hiyo ofisi itakuwa na mashine za kazi ambazo hao vijana watakuwa wanatumia kuingia nazo mtaani kufanya mauzo na kisha jioni...
Serikali ya Marekani inayoongozwa na Rais Donald Trump imefurahishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 na imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi.
Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na magari ya kisasa ya kijeshi.
Sherehe ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya kambi ya jeshi...
Katibu mkuu wa wizara ya elimu, sayansi na teknolojia , dk Leonard Akwilapo leo tarehe 27 January 2020, amefungua programu ya mafunzo ya matumizi ya tehama na vifaa saidizi kwa wakufunzi.
Wa vyuo vya ualimu na waalimu wa sekondari wenye mahitaji maalum dar es salaam
Wakufunzi hao wapatao 140...
Hapo nyuma nilikuwa na mazoea ya kwenda saloon fulani ambayo nilikuwa nimeizoea kama ilivyo kwa watu wengi. Mara zote nilipokuwa nanyolewa mashine ya kunyolea ilikuwa ikitolewa kwenye sterilizer ambayo huwa wakati wote kitaa cha ON (Chekundu) kinaonesha kuwa ipo ON na kwa hiyo ina maanisha...
Hivi inawezekana vipi makombora dhaifu ya Muiran yaweze kupenya mifumo imara ya ulinzi wa anga ya Marekani bila kukumbana na kizuizi chochote.
Kama hili limewezekana basi siku za taifa teule hapo mashariki ya kati zitakuwa zinahesabika.
Wana JF family naomba msaada sehemu ambayo naweza kupata vifaa vya kutengezea mvinyo kama vile air lock, champagne yeast, fermentation bucket, wine preservative, siphon tube na yeast nutrient.
Please naomba msaada wenu kwa duka lolote lililopo hapa Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Jery Muro ameiambia ITV muda mfupi kuwa mashine za kutengeneza vitambulisho vya utaifa wilayani humo zote imeibiwa usiku wa kuamkia leo.
Taarifa hiyo imekuja muda mfupi baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kutoa ratiba ya kuandikisha na kusajili vitamburisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.