Jeshi la Polisi limemkamata mgombea ubunge wa jimbo la Kawe Dada Halima Mdee na sasa wanakwenda naye kumpekua nyumbani kwake Mbweni.
Halima Mdee alikwenda kuripoti Polisi juu ya Matukio ya kutishiwa Amani lakini cha kushangaza alipofika amewekwa chini ya Ulinzi.
=====
Mdee ahojiwa kwa tuhuma...
Tukichukulia tukio moja tu la moto uliotikisa au unaotikisa hifadhi ya Mlima Kilimanjaro tunapata jibu moja kwa moja kuwa ni vyema Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likawa na magari na ndege za kisasa za kuzimia moto.
Tanzania tuna hifadhi nyingi, hivyo lolote linaweza kutokea kwenye hizi hifadhi...
Nimefuatilia Press ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw. John John Mnyika, akiitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusisha vyama vya siasa juu ya manunuzi ya vifaa vyote vya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
Mnyika anakiri kwamba Tume imeitisha zabuni ya manunuzi ya vifaa vya Uchaguzi zikiwemo Karatasi za...
Ujenzi huu ni maalumu na wa kimkakati ili kurahisisha Ujenzi wa Daraja la Kudumu la Kigongo - Busisi lenye urefu wa Kilometa 3.2
Matumî sahihi ya Rasilimali huleta Matokeo Mazuri Kwetu Sote
Nimeona clip ya Polepole akimsifu Magufuli wakati akisoma kitabu ambacho nadhani ni ilani ya chama. Anachokitaja ni idadi ya flyovers zinazopangwa kujengwa; Moroko, Tazara, Magomeni, Mwenge, Chang’ombe na uhasibu, fire, Kinondoni, etc. Huu ni uhuni na ushenzi wa matumizi ya pesa ya taifa hili...
Ewe Serikali ya wanyonge nini kinajiri huko kwenye viwanda vya vifaa vya ujenzi? mbona Bei inapaa sana na hatusikii tamko la serikali kuhusu kupaa huku kwa bei?
Mathalani, kanda ya ziwa Cement ilikuwa inauzwa sh. 18500, baadae ikapaa hadi 19000, baada ya siku 5 ikapaa hadi 19500, baada ya siku...
Ama hakika kutoa ni moyo , makamanda wa Mbarali wamemkabidhi madaftari na vifaa vingine vya shule bwana mdogo aliyelazimika kupanda juu ya mti ili kushuhudia Tundu Lissu akimwaga sera jukwaani .
Unaweza kuona kama ni jambo dogo lakini ni jambo linalofikirisha mno !
Unaweza kumsikiliza dogo...
Nimejaribu kufanya tafiti kidogo juu ya ukosefu wa dawa na vifaa tiba kwenye vituo vya afya vya umma asilimia kubwa imechangiwa na serikali. Leo ukiandikiwa dawa tatu basi ujue utapata dawa moja au usipate kabisa.
Kwenye majukwaa ya siasa inaongelea kuongezeka kwa bajeti ya dawa kutoka bil 30+...
Kenya Medical Supply (KEMSA) ambayo inahusika na ununuzi wa dawa na vifaa tiba kwa vituo vyote vya Afya vilivyopo Kenya imeingia katika kashfa nyingine kutokana na ununuzi wa vifaa vya dharura dhidi ya ugonjwa wa COVID-19. Taarifa zinasema vifaa hivyo vilinunuliwa kwa gharama ya juu sana...
MHE. SONIA MAGOGO AKABIDHI VIFAA COMPUTER NA PRINTER KWA AJILI YA KUSAIDIA SHUGHULI NA UCHAGUZI WILAYANI HANDENI MJINI
#HandeniMjiniNiSoniaMagogoSasa.
#SoniaMagogoTenaMjengoni
Ongezeko la ghafla la mahitaji ya dawa na vifaa tiba vya kukabiliana na janga la virusi vya corona au COVID-19 limesababisha ongezeko la usafirishaji haramu wa dawa na vifaa visivyo na viwango vinavyostahili au bandia kwa mujibu wa ripoti ya utafiti iliyochapishwa na ofisi ya Umoja wa Mataifa...
nauza vifaa vyote vya mziki na studio, vifaa vyangu ni mtumba toka uk /us /dubai na sa.
nina speaker za mid na bass, busta, mixers, mic, monitor speaker, sound card na vinginevyo vingi.....
napatikana dar es salaam, mikoani tunatuma kwa uaminifu au kukuletea kwa makubaliano!
Bei ni kuanzia...
Rais Donald Trump ametoa tena hoja ya ubaguzi ambayo imeleta ufuatiliaji wa vyombo vya habari. Katika mkutano mkuu wa kampeni uliofanyika jimboni Oklahoma, rais Trump ameipatia virusi vya Corona jina la ubaguzi “Kong Flu”, ambalo limeleta swali kwamba je, vifaa vya utawala wa Trump ni “Ubaguzi”...
Kuelekea uchaguzi mkuu October Moshi yametokea mengi kupitia wanaotaka kugombea ubunge Jimbo la Moshi mjini.kule kata za pasua na boma mbuzi madiwani wanaogawa vifaa vya kujikinga na corona wakati huo huo wakiomba Kura za ubunge .wakati huo huo wafuatao wako mitaani kuomba Kura na kugawa rushwa...
Camera: Canon 5D Mark III
Lens: Canon EF 24-70mm f/2.8L
Camera Gimbal: DJI Ronin S
Laptop: MacBook Pro 15’inch 500GB
Hard Drive: 1TB Transcend
Camera mic: Rode VideoMic Pro
Headphone: Sony MDR7506
Kama unavyo, tuchekiane hapa
direct call: +255683018095 | WhatsApp: +255676095799
Habari zenu humu ndani.
Mimi nina mashine ambazo naweza kukodisha au nikipata tender nifanye. mashine nilizokuwa nazo ni kama ifuatavyo
1) mashine ya kutengeneza pavers
2) mashine yakutengeneza matofali yale ya south africa
3) concrete mixer
4) tipa kubwa kwa tender za kokoto
5) mashine ya...
Wakuu,
Tafadhali kama unajua vifaa kwa ajili ya ku-graft miti michanga ya maembe/parachichi vinapatikana wapi hata nchini Tanzania basi fanya uungwana wa kunitaarifu.
Nimekuwa nikisoma/ kuangalia mtandaoni namna ya ku-graft nimeona kuwa ni kazi ninayoweza kuifanya mwenyewe na kupata miti...
Habarini za majukumu!
Naomba kufahamu masoko nafuu ya vifaa vya kielektronik vya mtumba mfano TV, Laptops nk.
Nataka nianze kufanya biashara ya vifaa vya kielektronik vya mtumba.
"Tunatangaza leo kwamba popote Wamarekani walipo, tuko karibu nao, na watahisi uwepo wetu hata zaidi katika siku za usoni" yalikuwa ni maneno ya mkuu wa walinzi wa maji wa Iran bw Alireza Tangsiri katika sherehe huko kusini mwa Iran.
Pia alieleza kwa msisitizo kuwa "Iran hatamwabudu adui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.