Ninaliona hili kwa hapa Arusha na sijajua kama Serikali inaufuatiliaji wa kujiridhisha uhalali wa kila kinachouzwa kwenye hizi yadi. Kumekuwa na masoko yanayoibuka yaliyosheheni vifaa/vyombo mbalimbali kama Majiko, Meza, Vitanda, Magodoro, TV, Feni n.k.
Ningetamani kama inawezekana kuanzishwe...
Mh. Rais mama Samia Suluhu Hassan tunaomba uliangalie upya suala la vifaa vya ujenzi kwani gharama zake ziko juu sana kiasi mtu wa kipato cha kawaida hasa wa kijijini hawezi kumudu gharama hizo hata kidogo.
Kama bati futi 10 la gauge 32 ni limefikia Tsh. 20,000/- tutaweza kujenga kweli...
Habari wanaJF.
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vizuri na shughuli zenu za kila siku naomba kupata wenye uzoefu na hii biashara ya gym iko je, nataka nifungue sehemu fulani hivi.
Jamani msaada wenu asante.
Habari za Asubuhi waungwana,
Kama kichwa cha habari kisemavyo.
Serikali imekuwa ikijipambanua kuongeza kasi ya upatikaji wa maji kwa wananchi wake.
Lakini mpaka leo kuna changamoto ya upatikanaji wa huduma hiyo katika maeneo kadhaa ya mjin kwa kisingizio cha uhaba wa vifaa vya...
Katika Kitabu cha kuelezea maisha yake Mstaafu Mwinyi anasema alipojiuzulu Uwaziri wa Mambo ya Ndani Waziri aliyechukua nafasi yake alimtaka ahamishe haraka mizigo yake ili yeye ahamie kwenye nyumba ya Serikali aliyokuwa anakaa Mzee Mwinyi.
Mzee Mwinyi alishindwa kuhamisha vifaa vyake vya...
Kampuni ya AAR Healthcare (T) Ltd imetangaza kuuza vifaa vyote vilivyopo kwenye kliniki zake saba nchini vilivyokuwa vikitumika kutoa huduma za afya.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya kampuni hiyo kutangaza kufunga kliniki zake zote zilizokuwa zinatoa huduma kwa wagonjwa wa nje kote...
Nafasi ya kazi kuuza duka la vifaa vya TEHAMA:
Kituo cha kazi: Arusha mjini
Mwisho wa kupokea maombi: 14 May 2021
Taarifa kuhusu kazi:
Anahitajika mfanyakazi wa kuuza duka la vifaa vya TEHAMA (Computer networking accessories).
Kazi za kufanya:
• Kuuza vifaa vya data kwa wateja watakaofika...
Printer hp 7500 a wide format------laki 3
Tt560 speed lite neewer------------laki na nusu
Sigma lense 170-500----------------laki 4
Studio light na background yake laki 4
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa 0717 040 837 au 0767 267
664
Wakati wananchi wanalalamika ukosefu wa dawa kwenye hospitali na zahanati, yasemekana kwenye Bohari Kuu ya Madawa (MSD) kuna dawa zilizo expaya za thamani ya zaidi Tsh Bilion 20. Nimepitia ripoti ya CAG ya mwaka 2019/20 kwa haraka haraka sijaona hoja ya ukaguzi kuhusu dawa zilizo expaya.
Je...
Sisi ghorofa zetu tunajenga kwa miliono 120-200 na zinapendeza na kukalika kwa kuji nafasi. Hawa viongozi hizi ghorofa zao huwa wananunulia vifaa wapi au gharama zinatokana na nini?
===
Mamilioni kujenga nyumba za wakuu wa wilaya na mikoa. Milioni 838 kumalizia nyumba ya mkuu wa mkoa Kagera...
Ninampango wa kuuza bidhaa mbali za electronics kama vile simu za mikononi, laptop, flash disk, camera n.k. Ili niweze kufanikisha hilo ninaombeni msaada wenu kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya soko la bidhaa za electronics hasa zile za IT ambazo zinafanya vizuri katika soko la Tanzania na...
Habari wana JF
Kuna wizi mpya wa vifaa vya magari naona umekithiri sana huko maeneo ya Goba, Mbezi, Temeke watu wanaibiwa sana vifaa naomba Ma RC , POLISI N.K walishugulikie hili swala wezi wanajulikana n wanaonunua hivo vifaa vya wizi wanajulikanaa...
Wauzaji wa vifaa vya umemekwa jumla na rejereja naomba kufahamu bei ya vitu hivi nataka niviongeze dukani kwangu.
1-Majiko ya umeme.
2-Pasi
3-Hita
4-Blenda zakusagia juisi.
Mwenye kuuza hivi vitu kwabei ya jmla naomba anipe mawasiliano na bei zake.
Wafanyabiashara watatu wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka nane yakiwemo ya kuingiza na kusimika vifaa vya mawasiliano bila kuwa na kibali kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) pamoja na kuisababisha Serikali hasara ya Sh69 milioni.
Washtakiwa...
Ukisikiliza mjadala huu utagundua kuwa kumbe vijembe na kushambulia watu kunakofanywa na "darasa la saba" hawa yaani Mbunge Lusinde wa Mvumi na Msukuma wa Geita kuna baraka za Spika Ndugai na ni mkakati wake anaotumia (kwa vile wana uwezo wa kubwabwaja lakini hawajitambui) kuzima kile...
POWERTILER ni aina ya trekta ya tairi mbili, kina uwezo wa kulima eneo kubwa kwa muda mfupi.
Ni kifaa cha kulimia kilirichorahisishwa zaidi kusaidia Mkulima wa chini na kati.
Ni kilimishi kilichokuja kufanya mapinduzi ya kilimo hasa Mpunga ingawa kinatumika kulima mashamba ya Mahindi, Maharage...
Ndugu Amani na iwe kenu.
Kwa wazoefu wa kuuza/ kununua, waashi na wahandisi wa majengo, naomba kujuzwa bei elekekezi kwa vifaa tajwa hapo chini
1. Mfuko wa Cement
2. Nondo (12Mm)
3. Nondo (16 Mm)
4. Tofali za kuanzia msingi (Ngumu)
5. Tofali za ukuta
6. Tipa la mchanga
7. Tipa la Mawe
8. Tipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.