Mic akg1000s kwa 230000 soundcard ya behringer um2 kwa 230000, mic stand kwa inayosimama sakafuni kwa 40000, ya mezani kwa 30000, pop filter 20000 na waya zake.
Au kamata vyote kwa 500000
Vinapatikana bunju B.
0677508568
Hello Pipo!
Sisi ni GoodTronics Hardware
Tunajishughilisha Kuuza Vifaa Tajwa hapo Juu Kwa Bei ya Jumla na Rejareja
Uzi Huu Ni Maalum Kwa Ajili ya Updates za Bidhaa zetu
Karibuni Sana!
Mawasiliano
goodtronicshardware@yahoo.com
0714883861
Insta @goodtronics_hardware
Tuko
Kariakoo
Gerezani Area...
Tunakoelekea siyo kuzuri. Ninasikitishwa sana kupanda kwa kasi ya ajabu bei ya vifaa vya ujenzi. Pamoja na kupanda kwa mafuta haiwezekani bei ya vifaa kupanda kwa kasi vile. Nitoe tu mifano michache.
(1) Sheet moja ya alluminium ilikuwa inauzwa hapa Mwanza kwa Tshs.160,000 jana nimeambiwa...
Salama ndugu zangu, kwa machinga wa karume dar es salaam poleni sana.
Nina shida na computer LAPTOP nzuri ambayo bei yake ni ya range 250,000/= (laki mbili na elfu 50) mpaka 350,000/= (laki 3 na elfu 50). pia nina shida na bettry ya computer aina ya TOSHIBA (PORTEGE R705)
Location nilipo ni...
Mifumo mingi ya serikali ikisha pata watumiaji wengi tayari inasumbua sana tena sana na kuna wakati haipatikani kabisa tatizo ni nini? vifaa duni au wataalamu wenu mlio nao huko hawana uwezo?
Yani unaweza kukuta vi websites binafsi tu vinawatumiaji karibu milion lakin viko haraka sana lakini...
@bavicha_taifa wameongoza wananchi waliofika mahakamani kufuatilia kesi ya Mhe. Mbowe na wenzake kumchangia ada na vifaa vya shule mtoto Mariam Mohamed Ling'wenya, mtoto wa mshitakiwa Mohamed Ling'wenya. Aliyefika mahakamani kufuatilia kesi ya baba yake. Imechangwa sh. 545,000.
Kukosekana kwa vifaa hivi kwenye vituo vya afya vingi imekuwa changamoto kubwa kwa matibabu
Ushauri baada ya kufanya vizur kwenye madarasa sasa nguvu ihamishie huko pia kuna vituo vingi vikubwa vya afya vyenye hadhi ya kuwa na vipimo hivyo lakini havina hali inayo pelekea wangonjwa kusafiri 20...
Nimeona kwenye taarifa ya habari ya ITV Leo tarehe 30.11.2021 sh. Mil. 20 zimetengwa kwa ajili ya kuninulia vifaa vya Michezo ya wabunge ili Hali shule nyingi asa za msingi watoto hawana madawati wanakaa chini. Huo ndo uzalendo wa viongozi wetu au wanafanya hivyo kisa watoto wao hawasomi...
• Ni mashindano ya Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
• Timu 8 kupewa vifaa ili kushiriki.
Jumanne,November 30. Kampuni ya michezo Na burudani SportPesa leo imetoa vifaa vya michezo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 20 kwa timu ya Bunge ambayo inatarajia...
Tumeshuhudia hivi karibuni ongezeko kubwa sana la gharama kwenye vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine za vyakula mfano sehemu nilipo nondo imetoka Tzs 18000/= mpaka 27000/=. Huo ni mfano tu. Mawaziri msaidieni Rais kupanda kwa vifaa kuna muathiri kila mtanzania pamoja na mnyonge.
Nimeshangaa na sijaelewa sera ya Serikali kwa kina Mama Wajawazito, tuliambiwa Mama mjamzito kujifungua ni bure ana hudumiwa, sasa Hospitali ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Mama mjamzito anaambiwa akanunue Pamba ile kubwa, Gloves na akanunue Vidonge vya kuongeza damu na dawa zingine eti wao...
Wasaalm wanabodi
Kama kichwa cha habari kilivyo, Kijana wenu usiku wa leo nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba. Nomba msaada mtaalam wa kuweza kufanikisha vikarudi au mwizi kupatikana.
Niko Morogoro mjini.
Mnakaribishwa PM
Picha
Update*
November 8, 2021
Wakuu nashkuru sana kwa...
Wadau, Mafundi na wenye uzoefu wa biashara ya vifaa vya umeme wa majumbini naomba mnitajie orodha ya vifaa vinavyohitajika na vinavyotoka haraka kibiashara zaidi.
Nimepata fremu ndogo ya biashara, kwa mazingira ya mtaa huo hakuna duka la vifaa vya umeme kwa maeneo ya karibu, hivyo nimeona...
Mbaroni kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vya Sh milioni 122
Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia, Anicetha Johannes (24) mkazi wa Omukigusha kata ya Bilele muuzaji wa vyuma chakavu kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vyenye thamani zaidi ya Sh milioni 122.
Kamanda wa polisi Mkoa wa...
Kuna Halmashauri nyingi hapa nchini zimetoa maelekezo kwamba vifaa vya ujenzi watanunua wao wakati huo pesa imeingizwa kwenye accounts za shule, TAMISEMI kama mmetoa maelekezo haya basi wekeni utaratibu mzuri kabisa ili wasije wakazidisha bei ya vifaa maana halmashaur zetu huko kuna shida sana...
Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere katika mikoa ya Morogoro na Pwani imelazimika kuuhifadhi mti wa asili jamii ya Marula uliokuwa ukitumiwa na watu mbalimbali wa zamani kufanya matambiko ya asili kuwa kama sehemu ya kivutio ndani ya hifadhi hiyo baada ya kushindwa kukatika kwa zana na...
Ummy Mwalimu umegawa kila chumba Cha darasa 20m, kwasasa ni ngumu kwa bajeti hio, vifaa vya Ujenzi juu Sana, naomba mutoe special offers yaani tax exemptions kwa Ujenzi juu wa madarasa vinginevyo mtatumbua, au mjenge kwa matofali ya udongo then plasta tu ndo cement, halaf nondo moja tu Tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.