Wadau,
Natafuta machimbo ya kupata vifaa vya simu kwa bei ya jumla kwa kariakoo, vifaa navyotaka:
Covers
Earphones
Chargers
Protectors
Batteries
LCDs
Msaada wenu wadau
Wafanyakazi wa Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa waliendesha kutoka mbali trekta ya umeme aina ya ET1004-W mjini Luoyang, mkoani Henan, katikati ya China.
Katika miaka hii ya hivi karibuni, Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa kimetengeneza chip ya kwanza ya...
Russia comments on deadly strike on Ukrainian city
Moscow said it targeted a meeting of Kiev's military commanders with foreign arms suppliers in central Vinnitsa.
Russia attacked the House of Military Officers in Vinnitsa with sea-launched Kalibr cruise missiles, the Defense Ministry said on...
Naibu Waziri wa Ardhi ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze amepongeza juhudi zinazofanywa na Serikali kuhakikishia wananchi wanaoishi katika Wilaya za Pembezoni mwa Bahari ya Hindi za kuhakikisha kuwa wanajengewa Gati za Kupokelea Boti na majahazi na kuwawezesha Wavuvi kwa kuwapatia Vifaa vya...
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema inafanyia utafiti dawa za nguvu za kiume aina ya Viagra pamoja na kuwekea mkakati dawa zinazotumika kuzuia mimba aina ya P2 kwa lengo la kudhibiti uholela wa utumiaji wake.
Mkurugenzi wa TMDA, Adam Fimbo wakati amesema utumiaji holela wa dawa za...
Wakuu habari za masiku nilikua naomba msaada mimi ni fundi simu nilikua nimeandaa bajeti ya. Milioni 1 nataka kuboost ofisi vifaa navyotaka kuongeza NI UFI Box,Digital Power Supply na Short killer. Hiyo bajet kwa dsm naona kama haitoshi UFI Box tu kwa dsm ni 750000.
Nilikua naomba kujuzwa na...
Habarini za usiku wakuu.
Ninahitaji vifaa vifuatavyo vy scania kwa anayejua mahali ninapoweza kuvipata na bei zake chondechonde
naomba asisite kunipa mwongozo.
Item No.
Description of items
PRICE
2.
Fuel filter 1R-0749
4
Air Cleaner 371-1799
5
Main element 151-7737
7...
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.
Karibu
Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.
Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au...
Ndugu zangu tunajaribu kupambana na maisha ili siku ziende, ukishika hapa unajaribu na pengine, naomba wenye kujua namna ya kupata vifaa vya kucholea marembo kwenye nguzo na madirisha anisaidie tafadhali.
Wasanii wamebadilisha vifaa barabarani kuwa kazi za sanaa huko Basingstoke, Hants nchini Uingereza chini ya mradi mmoja wa kisanii uitwao “Streets Alive” unaoungwa mkono na bunge. Wasanii hao wamechora picha ya ndege, katuni na mandhari kwa rangi inayong’ara kwenye madawati, vyungu vya miche na...
Katika kuendesha shule au kuandaa mitahani ama fomu mbalimbali karatasi ni nyenzo muhimu sana.
Sasa zinavyopanda kwa kasi hii kwa kisingizio cha vita ya Urusi na Ukraine tutafika kweli. Katoni ya Ream ya karatasi yenye pc 5, ilikuwa inauzwa 40 000/=
Kwa sasa ni Tsh 100,000/=.
Mimi bado...
Ndugu wapendwa
Kumezuka upatu nyingine kwa style tofauti
Hivi sasa kuna makampuni yanajitangaza kutoa vifaranga/vyakula vyake bure kwa wananchi
Wameanza kukusanya watu kila kona ya Tanzania wakihadaa kuwapa vifaranga na vyakula bure
Baada ya kufikia malengo ya idadi..Vile vikundi havijapewa...
Ndugu zangu watu wa Stationery hali yao ni mbaya sana. Kwani bidhaa muhimu katika Stationery hasa karatasi nyeupe zimepanda sana na haijawahi kutokea.
Kabla ya kauli ya Rais kuwa bidhaa nyingi zitazidi kupanda bei ya Katoni ilikuwa inauzwa Tsh 43000 ghafla baada ya ile kauli kutoka katoni ya...
Habari wakuu!
Nahitaji kufungua duka la vifaa vya ujenzi hapa Dar es Salaam, sasa naomba kwa anaefahamu jinsi ya kuwapata mawakala wanaosambaza vifaa vya ujenzi baada ya kuagiza toka nje ya Tanzania anisaidie namna ya kuwapata.
Au hata kama kuna namna ya kuwa naagiza vifaa hivyo toka nje ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.