Elimu niiombayo ni ya tafsiri (maana), muda na namna ya kutumia na sababu ya kuwepo kwao. Nauliza kwa sababu sielewi tu, nilikuwa katika taasisi fulani hv karibuni na kulikuwa na miradi mikubwa na ya haraka.
Sasa unaenda kwa mkaguzi wa ndani (preauditor) anagoma kupitisha ikiwa moja ya nyaraka...
Mara ya mwisho kuna mtu aliniibia laki mbili na akagoma kurudisha nilipata hasira sana lakini hii video imenifanya nipate huruma.
Hapa Dar es Salaam, kijana amechomwa moto huku raia wakimrekodi kwasababu amekuwa akiiba vifaa vya magari.
Picha na video zinatisha sana
Hii yote ni kwa ajili ya kuzuia mashambulizi ya Putin ya mabomu anayopiga hadi bembea za watoto, ameikimbia frontline kaenda kushambulia makazi ya watu.
Nchi yote ikilindwa vizuri dhidi ya haya mashambulizi, mapigano yatandelea vyema frontline kule ambako anapokea kichapo balaa.
French...
Urusi wameonyesha walivyo desperate baada ya kushindwa kupambana kijeshi wameamua kutupa mabomu kwa raia, sasa Ukraine kupokezwa vifaa vya kuzuia hayo mabomu, mapambano yabaki baina ya wanajeshi sio kukimbilia kuua raia.
What can the air defense shields do?
The IRIS-T SLM can defend from...
NAAAM ,mambo ni bam bam inafurahisha sana eti kusikia Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayofata katiba na kuizingatia kwelikweli, kudadeeeeki ukigeuka huku unakuta video za wana ccm wakihimiza umwagaji damu, ukigeuka huku unakuta TCRA wanakaushia habari ya mwananchi yenye angle ileile...
Salaam Wakuu,
Sasa nimeanza kuelewa Usemi wa Freeman Mbowe(Mwenyekiti wa CHADEMA) aliposema Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) ni Tawi la Chama cha Mapinduzi.
Hivi sasa CCM inafanya uchaguzi wa ndani nafasi mbalimbali. Nimeshangaa kuona wanatumia Karatasi na Masanduku ya kupigia kura ya NEC...
Habari zenu wakuu,
Najua fika kua jukwaa hili limejaa watu werevu na wenye uzoefu tofaut tofaut kwenye sekta ya ujasiriamali, hivyo ndugu zanguni nimekuja kuomba mawazo yenu ili niwezepata muongozo.
Hapa nilipo nina freezer boss lita150, nina kabati la vioo yale ya chips saiz ya kati, nina...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mkoani Pwani na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amepokea vifaa mbalimbali vya Afya kutoka kwa Shirika la Lion Club.
"Nimepokea vifaa vya Huduma ya Afya kwa Zahanati ya Vigwaza ikiwemo vitanda vya Wagonjwa, vitanda kwa ajili...
Rafiki yangu anaefanya biashara ya wakala wa pesa mtandao yaani Mobile Banking. Mpesa, TigoPesa, Airtel Money n.k, amenipigia simu asubuhi hii na kunijulisha kuwa, Wameibiwa usiku wa kuamkia leo. Maduka matatu yaliopo eneo moja yote yamefunguliwa na kuibiwa kila kitu.
Eneo lenyewe liko Manzese...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema watu 25,000 walifariki kwa ugonjwa wa Saratani ndani ya mwaka 2020 pekee na kuufanya ugonjwa huo kuwa tishio zaidi ya Uviko-19 ilioua watu chini ya 1,000 hadi sasa.
Waziri Ummy pia amekiri kuwepo kwa uhaba wa vifaa tiba na dawa kwa wagonjwa wa Saratani na...
Habarini ndugu zangu,
Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho
(i)Cement, misumari, binding wire, kench wire...
=> Tumeingia mkataba mpya wa kutengeneza jezi na vifaa vya michezo kwa miaka 5 na kampuni ya GSM Group Of Companies wenye dhamani ya Tshs Billion 9.1" Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said
=> Mkataba wa pili utakua ni wa udhamini ambapo GSM italipa Tsh. Milioni 300 kwa mwaka, itakayokuwa...
Suala la ajira kwa vijana ni shida inayotusumbua nchi yetu kwa muda mrefu sasa. Moja ya masuluhisho ambayo yamekuwa yakipendekezwa ni vijana kujiajiri kupitia teknolojia, hasa mifumo ya mawasiliano ya kidigitali, kama mitandao ya kijamii, tovuti, programu, michezo n.k.
Tuangalie kijana ambaye...
(Source: https://pixabay.com/photos)
Magonjwa ya milipuko yamekuwa yakienea katika eneo kubwa sana na kuambukiza watu wengi kwa muda mfupi. Homa ya Uhispania, Virusi Vya Ukimwi na UVIKO-19 ni baadhi ya magonjwa ambayo yamekumba nchi tofautitofauti ikiwemo Tanzania katika historia ya wanadamu...
Hello Wadau!
Kama heading inavyojieleza. Usithubutu ukaruhusu gari ikaenda kituo cha polisi ikalala huko, wanachofanya ni kubadili vifaa na kuweka vya zamani wanaenda mbali zaidi kung'oa vioo na hata kubadili siti.
Mwisho wa siku gari ni kushinda gereji ukibadili vifaa leo hiki kesho hiki. Na...
Waziri wa afya ameshatoa yake kuhusu shirika la Bima NHIF kushindwa kujiendesha na kuelemewa na mzigo. Muathirika mkubwa ni mwananchi wa kawaida kwasababu wafanyakazi na wanasiasa hawatokosa fedha za matibabu!
Ili kusaidia, fedha za posho za wanasiasa fyeka zote peleka kwenye madawa na vifaa...
Hii nchi ina mambo ya aibu sana mawaziri wote wapo kimya utadhani wamemsusia mama Samia nchi mambo ya hovyo hovyo ambayo hata mwananchi wa chini kabisa anaona.
Makarani wameanza kazi jana hawana kifaa hata kimoja, zaid ya tablet ambazo na zenyewe naambiwa ni tia maji tia maji.
Tablet zinazo...
Apple inawaelekeza watumiaji wa vifaa vyake kusasisha programu zao baada ya kampuni hiyo kugundua udhaifu katika mifumo yake ya uendeshaji ambayo inayoweza kuhatarisha usalama wa kifaa husika
Apple imesema kuwa hatari hiyo inaathiri iPhones zilizoanzia kwenye modeli ya 6S, iPad kizazi cha 5 na...
2025 nitagombea ubunge kwenye Jimbo fulani. Lkn ninasubiri kuona Kama nchi yetu itatekeleza mambo 3.
1. Katiba itabadilishwa.
2. Tume huru ya uchaguzi itaundwa.
3. Vitanunuliwa vifaa vya kielektroniki vya kunakiri na kuposti matokeo toka vituo vya kupigia kura kwenda tovuti ya Tume:- Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.