vifaa

  1. Superfly

    Chimbo la Vifaa: Stationeries na Vifaa vya simu

    Habari zenu wakuu? Hope mko salama! Ningependa kufahamu connection ya vifaa na material za stationery kwa bei rahisi ya Jumls kama vile notebooks, counterbooks, pen, na vifaa vingine vingine. Pia phone accessories kama earphones za bei rahisi, viswaswadu, screen protectors, phone covers...
  2. benzemah

    Hospitali ya Taifa Muhimbili-Lloganzila kuanza kupandikiza figo

    Baada ya uwekezaji na uwezeshaji mkubwa kutoka Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila inatarajiwa kuingia katika historia tarehe 13/04/2023 kwa kuwa miongoni mwa Hospitali zinazotoa huduma ya kupandikiza Figo hapa nchini Tanzania...
  3. Stephano Mgendanyi

    Fredrick Edward Lowassa aziwezesha Vifaa vya TEHAMA shule za msingi nne

    MBUNGE MHE. FREDRICK LOWASSA AZIWEZESHA VIFAA VYA TEHAMA SHULE ZA MSINGI NNE Mbunge wa Jimbo la Monduli Mkoa wa Arusha, Mhe. Fredrick Edward Lowassa akishirikiana na Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Mhe. Joshua Nassari wamegawa vifaa vya TEHAMA kwa Shule za Msingi Nne, Shule ya Msingi Losimongori...
  4. JanguKamaJangu

    Australia kupiga marufuku matumizi ya TikTok kwenye vifaa vya Serikali

    Serikali ya Australia imebainisha kuwa itachukua maamuzi hayo kwa sababu za kiusalama, ikiunga na Marekani, Ufaransa na Uingereza ambazo nazo zimechukua maamuzi kama hayo. Katazo hilo linatokana na onyo lililotolewa na Nchi za Magharibi kuhusu mtandao huo wa China wakidai unaweza kutumiwa na...
  5. S

    Uzi wa kupeana machimbo mbalimbali ya vifaa vya ujenzi na bei zake

    Kwema Wakuu, Ujenzi umekua gharama sana sababu ya kuongezeka kwa bei za bidhaa kunakoendana na ongezeko la bidhaa zingine zisizo za ujenzi pia. Kwa aliejenga miaka 10 nyuma gharama hizo hizo akitaka kujenga sasa kwa nyumba ya aina ile ile anaweza asifike hata 60% ya nyumba aliojenga mwanzo...
  6. BARD AI

    TCRA kuanza ukaguzi wa Vifaa vya Mawasiliano ya Kielektroniki kwenye Nchi vinakoagizwa

    Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), John Daffa amesema kuwa ukaguzi utaanza Mei 23, 2023 kwa lengo la kuepusha na kudhibiti uingizaji wa Vifaa vilivyokwisha muda wa matumizi Nchini. TCRA imesema Hatua hiyo ni katika kutekeleza Kanuni zilizoazimiwa katika Mkutano wa Taasisi...
  7. Stephano Mgendanyi

    Santiel Kirumba Aiwezesha Vifaa vya TEHAMA Old Shinyanga

    MBUNGE MHE. SANTIEL KIRUMBA AMEIWEZESHA OLD SHINYANGA VIFAA VYA TEHAMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Eric Kirumba aameiwezesha vifaa vya TEHAMA Shule ya Sekondari Old Shinyanga; Kompyuta Tano na Printer 1 ambavyo vitawasaidia wanafunzi kujifunza kwa vitendo darasani...
  8. T

    INAUZWA Nauza bidhaa za aina mbalimbali

    Habari wapendwa, vimebaki vifaa vichache vya stationery, nauza kwa bei nafuu. 1. Epson L3150 (Imetumika miezi mitatu tu, hata wino haujawahi badilishwa na bado wino upo mwingi sana na ina box lake) inatumia wifi pia (bei ya kuuza 350000/=) na wino wake mpya kabisa (bei 20000) 2. Lamination...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mhe. Msongozi - Atoa Misaada ya Cherehani 60, Mbegu za Soya, Majiko ya Gesi 106 na Vifaa Tiba Ruvuma

    MHE. JACQUELINE MSONGOZI - ATOA MISAADA YA CHEREHANI NA VIFAA TIBA VITUO VYA AFYA MKOA WA RUVUMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma na Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Jacqueline Ngonyani Msongozi amefanya ziara ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono kwa vitendo...
  10. Nyendo

    Wizi wa vifaa vya ujenzi, ishawahi kukutokea?

    Kuna kipindi nyumbani tulikuwa tunajenga nyumba ya familia, Ikaanza kila tukinunua sementi unakuta mifuko inapungua, kumbe kibarua akichanganya mchanga na sementi, anapakia mchanganyiko kwenye mifuko anaifukia chini kisha usiku anaibeba anaenda kuwauzia watu. Sasa siku moja wakati akiwa...
  11. Mgalula MzTz

    Vifaa vya bomba( pipe fittings) vinauzwa kwa Tsh. 65,000/= vyote kwa pamoja.

    Vifaa vya bomba (pipe fittings) vinauzwa. Bei= 65,000/= kwa vyote Mahali= Mbezi ya kimara Mawasiliano= 0765 150672 Size= 3/4 vyote
  12. Roving Journalist

    Mbeya: Watiwa mbaroni kwa kuvunja ofisi ya kijiji na kuiba vifaa vya Mradi wa Umeme-REA

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili Bahati Geofrey (36) Mkazi wa Kiwira na Emmanuel Mtofu (33) Mkazi wa Karasha ambao wanatuhumiwa kuvunja Ofisi ya Kijiji na kuiba vifaa vya Mradi wa Umeme – REA. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amesema awali mnamo...
  13. T

    Biashara ya Vifaa vya Ujenzi Dar

    Nafikiria kufungua duka la kuuza vifaa vya ujenzi, nalenga vitu 3: cement, nondo, na mabati. Hii biashara nafikiria kuifungua hapahapa Dar. Wazoefu nipeni ushauri natakiwa kuzingatia vitu gani?
  14. Analogia Malenga

    TCRA yatoa onyo kwa waagizaji na wasambazaji wa vifaa vya mawasiliano ya simu ambavyo havijaidhinishwa

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni taasisi ya Serikali iliyoanzishwa kwa Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Na. 12 ya 2003, na kupewa jukumu Ia kusimamia Sekta ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta nchini Tanzania. TCRA imebaini kuwa yapo baadhi ya Makampuni au wafanyabiashara...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ridhiwani Kikwete agawa pikipiki 6 na kukabidhi vifaa tiba jimboni Chalinze

    MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE AGAWA PIKIPIKI 6 NA KUKABIDHI VIFAA TIBA JIMBONI CHALINZE Alhamisi tarehe 16 Februari 2023 Mbunge wa Jimbo la Chalinze amasema; "Nimegawa Pikipiki kwa watendaji wa Kata 6 za Halmashauri yetu ya Chalinze, kutembelea kiwanda cha Uzalishaji wa Marumaru cha Keda, na...
  16. G

    Toyota Alpha niongeze vifaa vipi ili isiwe inatikisika ikipaki.

    Hello wanajukwaa. Nina Toyota Alpha huwa natoka nayo mara kadhaa niki Huwa ni my choice hasa pale napoenda sehemu na watoto ila huwa wanapenda kuruka ruka hasa pale nikiwa nimepaki kwenye foleni, kwenda kuwanunulia juice dukani, n.k. Hali ya kuruka ruka kwao inaleta mgandamizo na kuifanya...
  17. Nguvuyabwana

    Laboratory centrifuge inauzwa

    Electric centrifuge Matundu sita. Model no. : 800D Bei ni 180k Dodoma ilazo
  18. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Viti Maalum UWT Mkoa wa Pwani Hawa Mchafu amekabidhi vifaa vya michezo kwa vijana wa Raja Sports Academy

    Mbunge wa Viti Maalum (UWT) CCM Mkoa wa Pwani Hawa Mchafu amekabidhi vifaa vya michezo (Mipira na Jezi) kwa vijana wa Raja Sports Academy iliyopo Kata ya Mtongani Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani. Hawa Mchafu(Mb) katika ziara yake ameungana na timu ya Madiwani wa Viti Maalum wakicheza...
  19. Faana

    Walimu: Kuna Readings za Namna Hii Kwenye Vifaa Mnavyofundishia?

    Zoezi linajieleza: Nimeshitushwa na numbering kwenye thermometer ya swali walilopewa watoto wa jirani yangu kama homework
  20. D

    Sakata la RC Malima na Mkurugenzi Mwanza halina tofauti na wale wauguzi kubishania vifaa tiba feki

    Kuna tuhuma nzito zimetangazwa na mkuu wa mkoa wa Mwanza RC Adam Malima ameonekana akimtuhumu Mkurugenzi wa jiji kuhusika na utapeli wa kuuza viwanja viwili vyenye thamani ya Bilioni moja! Hii ni taharuki na tuhuma nzito sana! Ukitafakali kwa kina jambo hili linaibua maswali mengi sana yasiyo...
Back
Top Bottom