Awali ya yote nipende kuwashukuru,
Siku ya leo Nimepata maswali kidogo mara Baada ya DHL kunipa invoice ya 33% ya bei ya bidhaa (Import Duty Tax) ya Tarakilishi mpakato ama Computer,
Nilijaribu kurejea Hotuba ya Mh Nape,Tarehe 14 ya mwezi Marchi katika maadhimishi ya Wizara ya Teknolojia ya...
Naomba twenda direct kwenye point.
Ningependa kufahamu aina ya madini yanayo tunika katika vifaa vya electronic hasa saket za simu, tv,remote control, computers...nk.
👇👇👇
CAG ameweka wazi kuwa tatizo kubwa la kukatika katika kwa umeme limesababisha mkandarasi anayejenga bwawa la stigler's kudai bil 18 Kama fidia ya hasara aliyoingia kutokana na TANESCO waliompa kazi kumkatia Katia umeme hivyo,
kukatwa katwa huko kwa umeme pia kumesababisha mradi kuchelewa...
Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliejiajiri na sasa nimepata fursa kubwa zaidi hivyo nauza vifaa vya saloon hivyo kwa anaehitaji chap anipigie kwa +255625981281
*Machine
*Kiti
*Vioo kidogo viwili
*Kipo kikubwa kimoja
JUMLA NAUZA Tsh 450,000/=
WAFANYANYABIASHA WA SAMAKI MOSHI WALAUMU KUCHANGISHWA FEDHA ZISIZO NA MAANA NA WAHUNI WA SOKO JIPYA LA MAILISITA, PAMOJA KUIBIWA IKIWEMO UMBALI WA ENEO HILO, WAAHIDI KURUDI SOKO LA PASUA MEYA RAIBU AWANUNULIA MAJOKOFU YA KUHIFADHIA SAMAKI
Na Mwandishi Wetu
Katika hali ya kustaajabu kundi la...
Kwa wanaofahamu machimbo ya vifaa vya ujenzi vya wizi, hasa hasa nondo. Maana si tumeamua kukomoana, wacha tutafute alternative. Pia na mabati, kama kuna anaefahamu hayo machimbo, najua yapo, maana huwa nasikiaga sikiaga watu wakinunua kwa bei ya kuokota.
Ni tahadhari tu kwa wale mnaotumia magari binafsi kwenda kuwaona wagonjwa ama kwa shughuli nyingine katika Hospital ya Rufaa ya Kanda ya KCMC mjini Moshi kwamba muwe makini sana kuna mtandao mkubwa wa vijana wanaotumia funguo bandia kufungua milango ya magari na kuiba vitu vilivyomo ndani ya...
Tarehe 1 Machi mwaka 2022, walemavu 50 walitembelea Bustani ya Olimpiki ya Beijing. Bustani hiyo imeweka vifaa 186 visivyo na vizuizi kwa walemavu kwenye maeneo yote ya umma, ili kuboresha huduma kwa watu hao maalumu.
Nahitaji stabilizer kwa ajili ya Tv. Naombeni mawazo mafundi wananambia hata nikipata ya watts 500 kwa Tv peke yake ni sawa. Mwingine ananambia angalau iwe ya watts 1500 na kuendelea..
Nahitaji kwa ajili ya TV tu basi.. nmeona brands nyingi kama
1. Tronic
2. Dolphin
3. Kodtec
4. Westpoint
5...
Sisi tunaitwa Madrassatul Abraar, tupo mtaa wa vitendo, kata ya Misugusugu, mkoa wa Pwani, namba zetu za simu 0625249605. Kituo kinaitwa "Miyomboni Shule" au Misugusugu Shule ya Msingi.
Fursa za kazi zilizopo sasa ni "production Manager" kwenye kiwanda kidogo cha vifaa vya ujenzi vinavyoundwa...
Kampuni ya kutengeneza chanjo ya Ujerumani BioNTech leo imetangaza mpango wa kupeleka vifaa vya kutengeneza chanjo zake barani Afrika.
Kampuni hiyo ambayo pamoja na kampuni kubwa ya madawa ya Pfizer ilitengeneza chanjo ya kwanza ya virusi vya corona iliyoidhinishwa na Umoja wa Ulaya na...
Shirika la afya ulimwenguni WHO limepata kibali cha kusambaza vifaa vya matibabu katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia, ikiwa ni mara ya kwanza ndani ya miezi sita, lakini uhaba wa mafuta bado unakwamisha zoezi hilo.
Mkurugenzi wa shirika hilo, Tedros Adhanom Ghebreyesus ameeleza kwamba...
Unakuta mtu uko city centre kulingana na ubora wa nyumba yako anatokea mpangaji anakwambia sijui mbona kwa OMARY anapangisha chumba 50000 na vina umeme na maji wewe tu ndo unapangisha 60000.
kwa OMARY kwenyewe ndo hapo👆
alafu uje kwa ABDALAH 👇utake kupanga kwa bei hiyohiyo,,,,,.
kwa mfumuko...
Serikali yaagiza hatua zichukuliwe wanaopandisha bei za bidhaa
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dk Ashatu Kachwamba Kijaji
Serikali ya Tanzania imeziagiza mamlaka zote za udhibiti kuchukua hatua kali dhidi ya walimbikizaji na wauzaji kupitia mlango wa nyuma (black market)...
TATIZO la saratani nchini limetajwa kuongezeka kwa kasi, ikibainishwa kuwapo wagonjwa wapya 42,060 kwa mwaka huku 28,610, sawa na asilimia 68 hufariki dunia kutokana na ugonjwa huo.
Taarifa za mwaka 2021 za Taasisi ya Saratani Ocean Road zinaonyesha saratani zinazoongoza kwa wanaume ni tezi...
Fundi wangu nilimuamin ila naona ameamua kunizidishia bei ya vifaa, na hakuzidisha elfu mbili au tatu, vipo alivyozidisha hadi asilimia nyingi. Mfano kifaa cha 15,000 ameandika 35,000 huu ni upigaji mkubwa sana,
Mimi sina uzoefu wa vifaa vya umeme nahofia kuuziwa fake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.