JESHI la Magereza linakusudia kuongeza vifaa vya upekuzi magerezani na kufunga kamera za usalama za CCTV, ili kubaini vitendo viovu vinavyofanyika ndani ya magereza hayo.
Hayo yalisemwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakati ikijibu swali la Mbunge Viti Maalumu, Rukia Kassim Ahmed (CUF)...
Karibu
Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi.
Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake.
=====
Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
_*UVCCM KAGERA WAUNGA MKONO MAPAMBANO DHIDI YA CORONA*_
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi Ndg.HAPPINESS RUNYOGOTE pamoja na wajumbe wa Baraza kuu mkoa wa Kagera leo tarehe 21/05/2020 wameunga mkono juhudi za Mh Rais katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu...
Wanabodi,
Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona
Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake.
Je? Tatizo ni...
Wandugu salaam!
Kwa wenye ufahamu mzuri kuhusu biashara ya vifaa vya ushonaji, naomba maelekezo hasa kama bado ina wahitaji kwenye jamii. Maana kuna mtu ananiambia nguo za mitumba na zile special zimeharibu hii biashara.
Nawasilisha.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dr. Nyambura Moremi na Jacob Lusekelo Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi.
Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona
Dr...
Nimesoma recent tweet ya Kigogo "mgao wa vifaa vya kinga ya corona". Nimeshindwa kuelewa kwanini mkoa mmoja mdogo anapotoka bwana mkubwa umepewa upendeleo? Tunarudi nyuma sana.
Tafuta recent tweet ya Kigogo uone mwenyewe.
Waziri wa Fedha, Philip Mpango amesema Serikali iliunda timu ya Kitaalamu inayochambua jambo hili kiumakini, na kipaumbele cha Serikali ni kukinga watohuduma za afya na Wananchi
Amesema kwa makadirio ya awali katika kipindi cha Machi hadi Septemba mwaka huu zinahitajika Tsh. Bilioni 382.5 kwa...
Habari wakuu,
Tunabadili matumizi ya ofisi na kuuza vifaa vya ofisi vifuatavyo
1. Meza mbili za plastic - zote 140,000 (@ 70,000)
2.Viti 3 vya plastic -vyote -30,000
3.laptop ya hp - 300,000
4. Min laptop bytespeed (haikai na chaji,utabadili battery) - 120,000
5.Printer - 60,000
6...
Vifaa hivyo vilitarajiwa kugundua antobody katika damu ya wagonjwa wa virusi vya corona
India imesitisha uagizaji wa karibu vifaa nusu milioni vya kupimia virusi vya corona kutoka China baada ya kubainika kuwa vifaa hivyo ''Vina dosari''.
Mji wa Delhi pia umeondoa vifaa ambavyo tayari vilikuwa...
Jumuiya ya Dawoodi Bohora Tanzania leo imekabidhi vifaa mbalimbali vya kujikinga na corona vyenye thamani ya Shilingi Milioni 27 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda kwa lengo la kuwakinga wananchi wa Mkoa huo.
Akipokea Vifaa hivyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa, Mganga Mkuu wa Mkoa...
Gazeti kada la Habari Leo lilitoa propaganda kuwa madaktari wameridhishwa na utolewaji wa vifaa-kinga kwa wahudumu wa afya. Propaganda hiyo imekanushwa na rais wa MAT Dr. Elisha.
Tunaisisitiza serikali na wadau kuelekeza nguvu kwa wahudumu maana wameanza kukimbia wagonjwa. Wahudumu wanahitaji...
Wanandoa wakazi wa Tabata Kimanga, jijini Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kutoa lugha hatarishi kwa lengo kupotosha jamii kuhusu ugonjwa wa Corona.
Akisoma hati ya mashtaka Wakili wa Serikali Mwandamizi, Mkunde Mshanga akisaidiana na...
Hakika Kutoa ni moyo tu na wala si utajiri. Wakati Wabunge wengi wa CHADEMA wakijitokeza wazi wazi kusaidia wananchi, wabunge wa chama kimoja wameanza kulogana na kubambikiana kesi wakigombea majimbo akiwemo mmoja ambaye jimbo la DSM limemshinda na kukimbilia Mkoa wa Mara ambako hata hivyo hana...
Poleni na harakati za kukabiliana na Covid19
Kusema ukweli hali ya maisha mitaani hasa huku niliko,i mean mkoani hakuna tahadhari yoyote ya maana watu wanachukua,mikusanyiko iko palepale na shughuli zinaenda kana kwamba hakuna hatari yoyote.
Vifaa vya kusafisha mikono vimewekwa na watu ili...
Habari za majukumu ni muda sasa nimekuwa nikijihusisha na maswala ya ufundi simu ila upande wa software pekee sasa nahitaji kuingia rasmi kwenye maswala ya hardware nahitaji kujua ni vifaa vipi napaswa kuwa navyo na vinapatikana wapi na kwa bei zipi kuna baadhi nimepewa majina yake ila sijajua...
Taifa teule la Israel laendeleza mapambano dhidi ya corona huku likiwa limerikodi visa zaidi ya 10,800 na vifo 103.
Hata hivyo maabara za nchi hiyo zimekumbwa na uhaba wa vifaa vya kupimia corona, na hivyo kupunguza upimaji wa watu wenye kuonesha dalali za ugonjwa huo. Mamlaka yatarajia kuanza...
Ninampango wa kufungua mgahawa maeneo ya msimbazi Dar Es Salaam, kwa sasa ninashida ya vyombo na vifaa kwa anayeweza kuniuzia kwa bei nafuu
Kwa atakayekuwa navyo naomba tuwasiliane kwa 0765374146
Twiga Minerals Corporation, a joint venture between Barrick Gold Corporation (NYSE:GOLD) (TSX:ABX) and the Tanzanian government, has announced a support program to assist the country in combating and containing the Covid-19 pandemic.
Barrick's chief operating officer for its Africa and Middle...
Rais wa Marekani Donald Trump ameagiza makampuni ya marekani kusitisha uuzaji na kutaifisha vifaa vyote vinavyotumika kupambana na ugonjwa wa virusi vya korona hata vile ambavyo vilishauzwa.
Bw. Trump alisema anatumia sheria ya Uzalishaji kwa ajili ya ulinzi (Defence Production Act) kuyataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.