vifo vya watoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania UNICEF Yaipongeza Tanzania Kwa Maendeleo ya Afya, Lishe na Ustawi wa Watoto

    Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Watoto (UNICEF) limeipongeza Serikali ya Tanzania kwa hatua kubwa zilizopigwa katika kuboresha afya, lishe, elimu na ustawi wa watoto, na kuahidi kuendelea kushirikiana na Serikali katika utekelezaji wa malengo ya maendeleo yaliyoainishwa...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Simanzi Kubwa Uganda: Mama Afariki Baada ya Kupokea Taarifa ya Vifo vya Watoto Wake Watatu Katika Ajali ya Basi la Shule

    Uganda imegubikwa na huzuni kufuatia tukio la kusikitisha lililoripotiwa kuhusisha familia moja kupoteza maisha kwa namna ya kuhuzunisha. Kwa mujibu wa taarifa zilizosambaa, watoto watatu wa mwanamke mmoja walikuwa miongoni mwa wanafunzi waliokwenda kwenye ziara ya kielimu (excursion) kwa...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wiki hii HAMAS walikubali kuwa walidanganya kuhusu idadi ya vifo vya watoto na wananchi wengine huko Gaza. Kwani ni kipi kilicho kweli juu yao?

    Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za waandishi wa habari, israel ilioogundua na kuwa eliminate, dunia ikasema kuwa israel inauua waandishi wasio na hatia. Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za wafanyakazi wa UN, Israel ilipo wa eliminate, dunia ikasema kuwa...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Vitu viwili vinanichanganya katika ukristo na uislam juu ya urafiki wa Yesu na Martha na Maria na vifo vya watoto wa Mtume Mohamed nisaidieni wanangu

    Katika dini mbili za mapokeo na nyemelezi, ukristo na uislam, kuna vitu viwili vinanipa taabu kidogo. Mosi, ni urafiki wa Yesu na wanawake wawili toka Bethania ambao walionekana kuwa karibu naye kiasi cha kuweza kuona kama walikuwa na mapenzi na si urafiki. Pili, ni vifo vya watoto wa mtume...
  5. totoadela

    JamiiForums Tanzania Vifo vya watoto mashuleni vinavyotokana na kufanya usafi kwenye ghala za kuhifadhia mahindi

    Habari ndugu zanguni, Naomba tushauriane na tutoe ya moyoni kuhusu shule zinazowaingiza watoto kufanya usafi kwenye maghala ya kuhifadhi mahindi hizi ishu naona isipoziwa sauti itakuwa sugu kwa sasa. Jana nimeona watoto Watatu wa Form 3 wamefariki Dunia baada ya mwalimu kuwachukua watoto sita...
  6. MtuHabari

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Ilemela mnataka maafa ya vifo vya Watoto kama Arusha barabara ya Pasiansi - Kiseke?

    Kuna hii barabara ambayo inatokea Pasiansi sokoni kupitia Taqwa Sekodari Lumala kwenda Kiseke yenye urefu usiozidi km 1.5 lakini muhimu sana kwa matumizi maana ni eneo lenye wakazi wengi. Barabara imeharibika sana na ina msongamano mkubwa wa magari hasa mabasi ya wanafunzi ambayo yanawahisha...
  7. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Rais Samia situka, vifo vya watoto na wajawazito ni kama kiama sasa. Sifahamu iwapo ni hali ya kimabadiliko ya hali hewa

    Je, ni mazoea na uzembe unaofanyika sector ya afya? Kuna kitu kimeachwa? Ambacho kilisaidia huko nyuma kuokoa maisha ya mtoto na wajawazito? Je, Ni mabadiriko ya hali ya hewa ambayo inahitaji uchunguzi wa haraka kubaini ni nini chanzo cha vifo hivi kwa sasa? Mh waziri wa Afya, Embu tunaomba...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali na Mkakati wa Kupunguza Vifo Vya Watoto Njiti Nchini

    SERIKALI kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo Ifakara Health Institute wameweka mkakati wa kupunguza vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (njiti) ,kwa kuwawezesha watoa huduma kufanya kazi kwenye mazingira wezeshi. Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa pili wa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kwanini katika jamii ya wamasai hakuna watu wenye ulemavu? Serikali inatakiwa kufanya nini ili kukabiliana na jambo hili kupitia utawala bora

    Wamasai ni miongoni mwa makabila maarufu katika manila takribani 150 yanayopatikana nchi Tanzania katika kanda za mikoa ya kanda za juu kusini hususani mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, jamii ya kimasai ni jamii maarufu katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kutokana na sifa ya kipekee ya...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Zaytun Swai Aitaka Serikali Kuongeza Kasi Kupunguza Vifo vya Watoto Njiti Mkoa wa Arusha

    MHE. ZAYTUN SWAI AITAKA SERIKALI KUONGEZA KASI YA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO NJITI MKOA WA ARUSHA "Je, Serikali ina mpango wa kupunguza vifo vya watoto wenye umri kati ya mwaka 0 - 1" - Mhe. Zaytun Seif Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha "Serikali kupitia Wizara ya Afya imeweka Mipango...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali: Vifo vya watoto chini ya umri wa miaka mitano vimepungua nchini

    Tafiti zinaonesha kuwa kiwango cha vifo vya watoto chini ya miaka mitano kwa Mwaka 2022 kimefika vifo 43 kwa kila watoto 1,000 waliozaliwa hai ukilinganisha na vifo 67 kwa kila Watoto 1,000 waliozaliwa hai ilivyokuwa kwenye Utafiti uliofanyika mwaka 2015/2016. Hayo yamesema Februari 7, 2023 na...
  12. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Sindano ya Anti D kwa wanawake wenye kundi negative la damu

    Mwanamke mwenye kundi lolote la damu ambalo ni negative (A-, B-, AB- na O-) akipata ujauzito kutoka kwa mwanamme mwenye kundi la damu ambalo ni positive (A+, B+, AB+ au O+) mwili wake unaweza kutengeneza kinga mwili ambazo huwa ni hatari kwa ujauzito unaofuata. Athari za kinga mwili hizi huanza...
Back
Top Bottom