vigogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Side mnyamwezi awashauri vigogo wa timu nyuma mwiko kuhamia ligi ya south Africa baada ya kugundua NBC ligi ni dhaifu!

    Kocha mkuu side mnyamwezi ameushauri uongozi wa klabu ya gongowazi kuhamia south huko atapambana na timu ngumu kama mamelodi ,kaizer chief,Gallaxy na nyinginezo.....hivyo akipangwa tena makundi anapita moja kwa moja maana ligi ya NBC ni dhaifu yanga haiwezi kucheza robo kama itabaki ligi ya...
  2. G

    Kwa kuwa Lissu ameamua kufunguka, naomba aulizwe:- je, ni kweli Wabunge 19 waliosheheni wake wa vigogo wa CHADEMA walijipeleka bungeni?

    Pamoja na covid-19 kubeba uongozi wa juu wa BAWACHA, lkn pia Kuna:- 1. Mke wa Benson Kigailla.....naibu katibu mkuu bara. 2. Mke wa Salum Mwalimu (naibu katibu mkuu Zanzibar). 3. Mke wa Ally Bananga (yuko ccm sasa).....alikuwa meneja kampeni wa mgombea urais wa chadema. Bila shaka kama Mnyika...
  3. Pre GE2025 Chongolo awavuruga vigogo CCM asema sijaja kutangaza nia yoyote

    Wakati joto la Uchaguzi Mkuu katika nafasi za Udiwani na Ubunge unaotarajiwa kufanyika hapo mwakani 2025 likiendelea kupanda, imeelezwa kuwa baadhi ya wanasiasa waliopo madarakani wameanza kupata shida kwenye maeneo yao kutokana na vigogo waliowahi kushika nafasi mbalimbali na wengine ambao bado...
  4. Dodoma hakukaliki, V8 zapishana highway

    1. V8 zinatembezwa mwanzo-mwisho (400-1000kms) ifikapo weekend kisha kurudi Dom J3 alfajiri. Hapo NI mbali na wanaosafiri na ndege, SGR kila weekend kwa gharama za mwajiri wao. 2. Hii si sawa kwa walipa Kodi. Maendeleo tutasikia kwa Wenzetu arabuni Destinations: Dar, Arusha, Iringa,Mbeya na...
  5. A

    DOKEZO Ufisadi na uozo wa Rais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi waanikwa, analindwa na Vigogo

    Nimepenyezewa taarifa zenye uhakika kwamba tarehe 10 Desemba 2024 kumefanyika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi almaarufu TAFCA ambalo ofisi zake zipo Magomeni Kagera Narudi nyuma kidogo. Mnyetishaji amenielezea kuwa Mkutano Mkuu wa TAFCA uliofanyika mnamo tarehe 18 Desemba...
  6. Mradi wa AFCON City Arusha wapigwa na wajanja, viongozi na vigogo watajwa

    Juzi tumeona maendeleo ya ujenzi wa kiwanja cha mpira cha AFCON kule arusha. Lakini, huwezi kuamini, hadi sasa serikali imeshindwa kuhitimisha michoro ya AFCON City kuuzunguka uwanja. Sababu zinatajwa, vigogo wanang'ang'ania maeneo yao yapangiwe vivutio vizuri zaidi tofauti na wataalaumu wa...
  7. Tujifunze kitu kwa misiba ya vigogo hawa na idadi ya watoto

    Nipo nacheki hapa msiba wa Ndugulile, kuacha watoto wawili tu, pamoja alikuwa ana uwezo wa kipesa na cheo lakini kaishia kwenye watoto wawili, watoto wawili hawa naona kawakuza na kuwasomesha kwenye shule za gharama inawezekana nje ya nchi maana hata Kiswahili chao ni broken sana wanakuwa kama...
  8. Pre GE2025 Vigogo wa CHADEMA Arusha wasema tusishangae Lema akimfata Msigwa, wadai Lema hufanya vikao vya siri na Gambo, Makonda na Msigwa

    Vigogo wa CHADEMA mkoa wa Arusha wamesema ni suala la muda tu Lema atamfuafa Msigwa. Vigogo Hao wamesema kwamba Lema hufanya vikao vya siri na Makonda na Mrisho Gambo. Katika kujiandaa na hilo, Lemma alijiapiza hatagombea cheo chochote kanda ya kaskazini. Wakati Msigwa akikitifua ndani ya...
  9. U

    Iran: Takribani lita milioni 20 hadi 50 za mafuta huuzwa kimagendo nje ya nchi kwa siku, vigogo Serikalini na Jeshi wahusishwa

    Nchini Iran takribani lita milioni 20 hadi 50 za mafuta huuzwa kimagendo nje ya nchi kwa siku, vigogo Serikalini na Jeshi wahusishwa Wadau hamjamboni nyote? Huu ni utafiti kuhusu biashara ya magendo ya mafuta nchini Iran na uhusika wa Viongozi waandamizi kisiasa na kijeshi kufanikisha biashara...
  10. Vigogo hawa washirika wa Hezbollah hawajulikani walipo

  11. Ratiba ya Raundi ya Tatu Carabao Cup yapangwa, vigogo wa Premier League wapata timu mchekea

    Ratiba ya Raundi ya Tatu ya Carabao Cup 2024/25 imepangwa ikishirikisha Timu 32, timu kubwa za Premier League zimepangiwa wapinzani kutoka katika madaraja ya chini ikiwemo Manchester United, Arsenal, Aston Villa, Tottenham na Manchester City. Upande wa Liverpool, yenyewe itakutana na ‘kazi’ kwa...
  12. S

    Application za mikopo onine: Wapinzani tupieni macho hili jambo, huenda ni biashara ya vigogo serikalini na inaweza kuja kuwa kashfa kubwa

    Wapinzani, nawashauri mfanye uchunguz kuhusu hizi App hasa kujua wamiliki wa hizi applicatio za mikopo. ya online ambazo zinatumika kutoza riba kubwa ndani ya muda mfupi tena wakitumia ligha za vitisho na hata kudhalilisha wateja wao wanapochelewa kulipa kwa wakati. Katika hii biashara, kuna...
  13. Mabadiliko ya sheria ya mafao ya retirement benefits act, (cap. 225)

    BADILIKO 1: Ongezeko la kifungu kipya cha 9A ambacho hakipo kwenye sheria kinachotaja mafao ya mke/mume wa rais mstaafu. Baada ya rais kustaafu, mwenza/wenza wake atapokea kiasi cha fedha (kwa mkupuo) sawa na 25% ya mshahara wa rais alioupokea katika kipindi chote alichokuwa madarakani. Yaani...
  14. Je, Human Trafficking, Biashara ya Vigogo Tanzania?

    Kama sio Vigogo , basi wake zao , kama Si wake zao basi ni Chawa, kama Si Chawa basi ni CCM haiwezekan ndan ya mwez, V8 2 zikamatwe , Moja ikiwa na bendera ya CCM ,Leo hii ni STL. Siamin kama CCM imefikia hapa, nachoamin CCM imevamiwa na Majizi!!. Nimalizie kwakusema, Wakati wa JPM hayakuwepo...
  15. Pre GE2025 Uchaguzi wa CHADEMA moto, Vigogo wanyukana bila huruma

    Hii ndio Taarifa unayopaswa kuifahamu popote ulipo, kwamba huko Chadema moto unawaka, mwenye hoja ndiye atakayechaguliwa , Isipokuwa ni Aman tupu, hakuna kulogana wala kuuana kwa sumu kama wale Jamaa. Naomba nifichue siri kwamba niliombwa kugombea Mkoa wa Mbeya, lakini nikaona kwamba kwa sasa...
  16. Vigogo waanza kujitokeza kugombea uongozi wa CHADEMA Mkoa wa Kinondoni

    Aliyepuliza kipyenga huyu hapa , aliwahi kuwa Diwani , anaitwa Joel Mwakalebela , Diwani wa zamani wa Kata ya Wazo
  17. R

    Migogoro ya Ardhi haiishi sababu wafanyakazi wengi wa wizara ni watoto wa vigogo, hakuna wa kuwagusa

    Unaweza ukajiuliza kwanini migogoro ya ardhi inaongezeka kila siku na hakuna mtumishi wa serikali anayekamatwa wala kuchukuliwa hatua. Ukweli ni kwamba wizara hii na Idara zake wamegawana watoto wa viongozi wa chama na serikali. Lakini pia watumishi wa wizara hii kwa uelewa ni weupe sana, ni...
  18. Siasa si uadui: Dk. Tulia amtembelea mama wa Halima Mdee aliyelazwa hospitali

    Siasa haziondoi utu wetu. Hivi karibuni Mbowe aliwaalika wabunge hao maarufu sana katila hafla ya kuchangia ujenzi wa kanisa. --- Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, leo Januari 31, 2024 amemtembelea na kumjulia hali, Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa...
  19. Inawezekana vigogo wanachepusha maji yasiingie Mtera

    Haiwezekani TANESCO mkatuambia kwamba hizi mvua zote zinazoharibu mashamba ya miwa kufanya sukari iuzwe 5000 kilo eti haziingii kwenye bwawa la kuzalisha umeme, kweli? Hivi mnatuonaje? Marehemu Magufuli alisema mliwahi kuchepusha maji yasiingoe Bwawani si ajabu tena mmerudia huo mchezo maana...
  20. Vigogo wa CHADEMA wahudhuria Uzinduzi wa Profesa J Foundation

    Uzinduzi wa Taasisi hiyo ya kusaidia wenye magonjwa ya figo inazinduliwa kwenye ukumbi wa Mlimani City , DSM , ambako watu wengi maarufu na wenye Ushawishi wamealikwa. Vigogo wa Chadema ni miongoni mwa watu wazito wa Nchi hii walioonekana Ukumbini humo UPDATES ======= Michango yao si haba ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…