Kama tunavyokumbuka serikali ilifanya zoezi la upimaji wa viwanja maarufu kama 20,000.
Zoezi lilienda vizuri na upimaji ulifanyika vizuri kwa kuacha baadhi ya maeneo kuwa ya wazi kama ilivyo katika miji na majiji mengine ulimwenguni.
Kuna eneo moja Mbweni karibu na kituo cha polisi liliachwa...
Rais Samia amesema sababu nyingine ya kupangua wizara ni kwa sababu ya kutoelewana kati ya mawaziri na makatibu wakuu na manaibu waziri. Hali hiyo imeonesha kuwa kazi hazifanyiki.
Rais amesema hii ni mara ya mwisho kupangua kwa sababu ya kutokuelewana, wakati mwingine atawaondoa wote badala ya...
Vigogo watatu wa Chama Kikuu cha ushirika mkoani kilimanjaro{KNCU}wamesimamishwa kazi na mrajis wa vyama vya Ushirika nchini kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa fedha za walikuma za zao la kahawa zaidi ya shilingi milioni 300.
Vigogo hao ni pamoja na meneja wa chama hcho,Godfrey...
Unashangaa mwalimu wa Voda fasta amekuwa Afisa Elimu. Haya ni maajabu na uabunuasi.
Unamuacha mwalimu mwenye sifa zake za muda mrefu unamchukua Voda fasta?
Mwl amewekwa kama daraja bovu wakubwa wapite na watu(ndg) zao hii sio sawa. Ukifuatilia utagundua maafisa Elimu na vitengo vyao hawana "A"...
Makamu wa Rais, Dk Phillip Mpango ameagiza kushughulikiwa kwa watu zikiwamo familia 12 za viongozi waliovamia na kuchepusha maji Bonde la Ihefu.
Amekemea uchepushaji huo kwani umesababisha kutotiririka kwa Mto Ruaha Mkuu kwa zaidi ya siku 130 sasa hivyo kuhatarisha maisha ya viumbe hai na...
Matokeo Mkutano Mkuu CCM. Watoto Pendwa pamoja na kugawa ATM za kutosha kila Mkoa. Hali zao ni mbaya ndani ya CCM. Msukuma ana nguvu kuliko Makamba. Innocent Bashungwa amewazunguka karibu mara mbili. Vita itahamishiwa kwa Inno. Bashe anaweza asiwe salama. Mmemuona Kasesela?
Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) inatarajiwa kufanya uchaguzi Novemba 27 mwaka huu jijini Dodoma, nafasi zinazowaniwa ni Makamu wa Rais na Mjumbe wa Kamati Tendaji Kanda ya Pwani, ambazo waliokuwa wakizishikilia, John Bayo na Robert Kalyahe, walijiuzulu kutokana na sababu mbalimbali.
Zoezi la...
Nini kinaendelea? Hili ni swali linalogonga vichwa vya Watanzania wengi wenye shauku ya kujua majadiliano baina ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yatahitimishwa lini.
Jana vigogo wa vyama hivyo wasiozidi 15 walijifungia kwa saa nne katika...
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma nchini Tanzania imewataka viongozi 658 waliochaguliwa kwa ajili ya uhakiki, kufanya maandalizi ya uhakiki huo.
Hayo yamesemwa leo Jumatano Novemba 2, 2022 na Kamishna wa Maadili Jaji Mstaafu Sivangilwa Mwangesi wakati akizungumzia kuhusiana na...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amewasimamisha kazi maofisa watano wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, mkoani Manyara kwa kusababishia hasara na matumizi mabaya ya madaraka.
Waliosimamishwa kazi ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha...
Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepitisha majina manane kati ya 26 kwenda kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala).
CCM inaungana na vyama vya ACT-Wazalendo na Chama cha Wananchi (CUF) kuhitimisha michakato ya ndani ya kuwapata wagombea wa nafasi hizo.
Katika Bunge la Eala...
Dodoma. Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepitisha majina manane kati ya 26 kwenda kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala).
CCM inaungana na vyama vya ACT-Wazalendo na Chama cha Wananchi (CUF) kuhitimisha michakato ya ndani ya kuwapata wagombea wa nafasi hizo.
Katika Bunge la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.