vigumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Ni vigumu kwa Marekani kutimiza lengo la kuongeza biashara na Afrika kwa kuilenga China

    Katika siku za karibuni Marekani imekuwa ikiendelea na juhudi zake za kukabiliana na kile inachoita ushawishi wa China barani Afrika, na kutafuta kila njia inayoona kuwa inaweza kusaidia kufanikisha lengo hilo. Hivi karibuni moja kati ya mambo ambayo Marekani imekuwa ikiyataja na kuhimiza kwa...
  2. I

    Namna ilivyo vigumu kwa mfumo wa ulinzi wa anga (Patriot) kuharibiwa kabisa na kombora la Hypersonic (Kinzhal) Missile

    Tofauti na wengine wanavyofikiri, ni vigumu sana kwa kombora la Hypersonic (Kinzhal) kuharibu kabisa mfumo wa ulinzi wa anga kama Patriot Air Defense System. Mfumo huu wa ulinzi wa anga kwa namna ilivyotengenezwa kufanya kazi haikai sehemu moja bali ina mifumo kadhaa ambazo huwekwa maeneo...
  3. B

    Ni vigumu kulipa kodi halali labda unataka kufilisika

    Kwa mfanyabiashara mdogo na mkubwa kulipa Kodi Halali ni vigumu sana,akilipa Kodi Halali ajiandae kufunga biashara yake (kufirisika) viwango vya Kodi ni vikubwa mno. Wafanyabiashara wengi wanaamua kutumia mbinu kama kusema uongo juu ya mauzo ya Kila siku Ili akadiriwe Kodi kidogo,kufoji...
  4. Father of All

    Muuaji wa Kilifi Paul Mackenzie, ni vigumu kumtia hatiani vinginevyo dini zote zifutwa

    Japo nalaani mauaji ya kinyama yaliyofanyika huko Kilifi Kenya, nina wasiwasi kama sheria zetu za kiingereza zinaweza kumtia hatiani. Zifuatazo ni sababu nuzuhu za kisheria: Mosi, si rahisi kuthibitisha kuwa Mackenzie aliwashawishi wahanga kutokula. Na kama aliwashawishi, si kosa kumshawishi...
  5. Execute

    Kwenye NGOs ni vigumu sana kukuta wanawake walioolewa wakifanya kazi

    NGO nyingi zinalipa mishahara mizuri kwa sababu nimewahi kufanya kazi kama consultant mahali kadhaa. Utaona kuna wafanyakazi wakike wanaofikia hata 40 lakini mwenye ndoa unakuta ni mmoja au wawili. Wengine wote aidha wanalea wenyewe au wapo single hata kama umri umesogea.
  6. Geoid

    Kwanini ni vigumu kupata nafasi ya kazi migodini kama hauna connection?

    Habari wanandugu, Mimi ni graduate geologist kwa kipindi cha mwaka mmoja nimejaribu kuomba kazi kwenye migodi mbali mabali kakini nimeshindwa kabisa kuitwa hata sehenu moja Nawaza huenda sina connection labda ndo maana
  7. Lanlady

    Kama kweli ndivyo ilivyo, basi ni vigumu kwa viongozi kama hawa kufanya maamuzi yenye tija kwa taifa

    Kwa picha na ujumbe huu kutoka kwa kiongozi mkubwa wa serikali, hakika bado tuna safari ndefu. Mwingine alipost amebeba gunia begani. Je, ina maanisha nini? Kwamba hatuna nyenzo za kurahisisha kazi au hatuna maarifa? Huyu naye kula huku amesimama na soda mkononi, atatusaidia kweli kufikiri kwa...
  8. GENTAMYCINE

    Ni vigumu sana Taasisi Nyeti kama CIA, FSB na MOSSAD Kuhongeka na kuwekwa Mfukoni mwa Matajiri. Je, hii ni kwa nchi zingine pia?

    Kuna taifa moja Duniani (kwa sasa nimelisahau) wao wameshakubali idara yao nyeti na iliyokuwa ikisifika miaka ya nyuma sasa kununulika (hasa watendaji wake baadhi ila siyo wote), kupenda na kupokea hovyo rushwa kwa tamaa ya kuwa matajiri hali ambayo inaihatarisha hiyo nchi kiusalama kwa siku...
  9. Balqior

    Kwanini ni vigumu sana kukutana na mtu mtakaependana kwa kiwango sawa?

    Ewe msoma mada jiulize wewe mwenyewe nafsini kwako, huyo mpenzi ulie nae unampenda kweli? (Ni dream partner wako tangu siku ya kwanza ulivomuona), au upo nae ili muda uende, nahis kwenye mahusiano watu wengi wameamua kuridhika na wenza walio nao, ila kiuhalisia tangu mwanzo hawakufurahia uwepo...
  10. Suzy Elias

    Kwa hali inavyoendelea ni vigumu mno kwa Ujerumani kuendelea kuiwekea vikwazo Urusi

    Ujerumani ndiyo itakuwa nchi ya kwanza kuomba poo kwa Urusi kwa namna hali ya mfumuko wa bei unavyo hatarisha uchumi wa nchi yao. Kwa mfano kuanzia leo mabango yote ya matangazo yatawashwa mwisho saa nne za usiku huku gharama za nishati ya gesi na mafuta zikipanda maradufu hali inayopelekea...
  11. L

    Ni vigumu kwa Marekani kuachana na fikra kongwe licha ya kutoa mkakati mpya kuhusu Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Antony Blinken alifanya ziara nchini Afrika Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC na Rwanda wiki iliyopita, ambapo alitangaza "mkakati mpya wa Marekani kuhusu Afrika Kusini mwa Sahara." Hata hivyo, mkakati huo hauna jipya na umeonyesha kuwa serikali...
  12. sanalii

    Miezi 6 baada ya kumaliza chuo ni moja ya vipindi vigumu sana

    Wengi wetu tumepitia, wanapitia na watapitia, Kuna wanaoshtuka mapema na kuanza kutafuta connection kabla ya kumaliza, kuna wale wanashtuka wako nyumbani wakiwa na begi la nguo na laptop kama hajaijza alipomaliza UE, sasa kama unakaa kwa ndugu ndo kabisa, hata mapenzi nayo yanashake, ile title...
  13. R

    Ni vigumu sana kuishi na Binti asiye ndugu yako wa damu pamoja. Hivi wake zetu mnalitambua hili?

    Habari wana JF, Waanaume tumeumbwa na macho ya matamanio na ndio mara nyingi hutupelekea kufanya maamuzi mengi ambayo yanakuwa sio sahihi. Hivi mwanaume rijali anawezaje kaa na binti wa kazi ambaye amekomaa na kakamilika vizuri? Kihalisia ni ngumu sana na wengi huishia kuwafanya wake wenza, je...
  14. Lanlady

    Siasa za Tanzania kuzielewa ni vigumu sana hasa ktk masuala ya kitaalam

    Tunapozungumzia siasa, tunajumuisha mambo mengi sana. Kijamii, kiuchumi, utamaduni nk. Kwenye suala la uchumi yapo mambo mengine yanaweza kuleta athari kiafya. Kwa mfano wapo wanaosisitiza ufugaji wa kisasa kwa kutumia vyakula vyenye kemikali za ukuzaji. Au kilimo cha kutumia kemikali. Swali...
  15. sky soldier

    Ni stress, kiburi au vichwa vigumu, kwanini watanzania wengi hupuuza amri kama "usikojoe hapa, usipite njia hii, abiria chunga mzigo wako

    Usipite hapa, nakumbuka hapa kwa macho yangu zamani tulifika sehemu ni kama kuna ujenzi wa barabara unaendelea wamefunga njia, mjomba alishuka kwenye gari akatoa jiwe slinaliziba njia, alikuwa anawahi bar, alinishushia njiani Msikojoe hapa....mtu anakojolea kabisa hayo maneno kwa mtindo wa...
  16. L

    Ni vigumu sana kwa Marekani kuifikia China kwenye mahusiano na nchi za Afrika

    Fadhili Mpunji Ni zaidi ya miezi sita sasa tangu Marekani itangaze pendekezo lake la ujenzi wa miundo mbinu wa Build Back Better World ( B3W), ambao ilisema lengo lake ni kukabiliana na vitendo visivyofaa vya kugharamia miradi ya miundo mbinu vya China, vinavyoziingiza kwenye changamoto kubwa...
Back
Top Bottom