Asilimia 80 ya vijana 1,000, wamebainika kuwa na changamoto za magonjwa ya akili bila kujua, imeelezwa.Kati ya hao, asilimia 20 wamewahi kujaribu kujiua, mkoani Dar es Salaam.Vilevile tatizo hilo limebainika kuwa pia kwa wazazi ambapo asilimia 90 ya wazazi 400, wamebainika kuishi na changamoto...