vijana chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Hivi kwanini kila kijana alieshindwa uchaguzi CHADEMA kabla ya uchaguzi wa uenyekiti Taifa alidai uchaguzi haukua huru na haki?

    Au tatizo ni uelewa na ufahamu mdogo juu ya masuala ya kidemokrasia katika chaguzi? Hata mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa alibwekabweka sana kwa hofu ya kushindwa uchaguzi kitu ambacho ndio Demokrasia. Kwanini dhana hii potofu ya kwamba wao wakishinda uchaguzi ndio uchaguzi ulikua huru, wa...
Back
Top Bottom