Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake popote mlipo
Rejea mada Tajwa hapo juu
Ccm ni chama cha mda mrefu , ila unaweza jiuliza kwa vijana katika chama husika wote ni vilaza mpaka kujaza wazee kwenye safu ya uongozi wa chama chao, mfano Wasira na uyu mzee wa Toronto...
Je,
hapa mange kimambi anachochea au anasuluhisha vita moto moto inayoendelea ndani ya uongozi wa Chadema taifa kwasasa? :1Head:
Suala la Maridhiano na CCM
Mange Kimambi anadai kuwa amepata taarifa kutoka kwa watu wa ndani ya Chadema kuwa kuna viongozi wameshafika bei na CCM ili kufanya...
Hahahaha! Hii ndio yenewe mayi! Wanaachia usuzi wanusa wenyewe.
Heheee! Na bado. Mwajua jinsi Lisu ako. Hawezi muinamia mapembelosi.
Waache wacheze Ngoma yao menyewe. Ukombozi uko pale. Na bado MTU wao Siku sio nyingi anapanda anga la mbali na akiwa na NASA. Dadeki. Soma hiyooo
Au tatizo ni uelewa na ufahamu mdogo juu ya masuala ya kidemokrasia katika chaguzi?
Hata mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa alibwekabweka sana kwa hofu ya kushindwa uchaguzi kitu ambacho ndio Demokrasia.
Kwanini dhana hii potofu ya kwamba wao wakishinda uchaguzi ndio uchaguzi ulikua huru, wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.