Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Je,
hapa mange kimambi anachochea au anasuluhisha vita moto moto inayoendelea ndani ya uongozi wa Chadema taifa kwasasa?
Suala la Maridhiano na CCM
Mange Kimambi anadai kuwa amepata taarifa kutoka kwa watu wa ndani ya Chadema kuwa kuna viongozi wameshafika bei na CCM ili kufanya maridhiano. Inasemekana kuwa watu wakuu wanaopinga maridhiano hayo ni Tundu Lisu na John Heche. Lisu anadaiwa kutoa maelekezo kuwa Chadema isifanye maridhiano na "wauaji," akisema ni bora afie gerezani kuliko kufanya maridhiano ya "kiuni".
Njama dhidi ya John Heche
Kuna madai kuwa kwa sasa Heche ndiye kiongozi pekee aliyebaki nje ambaye anagoma kukubaliana na maridhiano hayo. Kutokana na msimamo wake, inasemekana kuna kundi ndani ya chama linalotafuta jinsi ya kumchomoa Heche ili kuweka mtu atakayekuwa tayari kushirikiana na CCM. Aidha, kuna madai ya kuwepo kwa chuki na wivu dhidi ya Heche kwa sababu ya kuongezeka kwa ushawishi wake na "status" yake kwa wananchi
View: https://youtu.be/SraIUWWI5Zc?si=Qv5BE01-7WT0azOP
Mungu Ibariki Tanzania