4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake popote mlipo
Rejea mada Tajwa hapo juu
Ccm ni chama cha mda mrefu , ila unaweza jiuliza kwa vijana katika chama husika wote ni vilaza mpaka kujaza wazee kwenye safu ya uongozi wa chama chao, mfano Wasira na uyu mzee wa Toronto alieteuliwa kuwa naibu katibu bara.
Mnafikili mtaweza gusa /shindana na chama cha siasa kama Chadema ambayo kuanzia juu mpaka chini ni damu changa kwa dunia ya leo, Heche mmoja anawatoa makamsi vipi Mwenyeki wao angekuepo ?
Wenzenu wanafanya siasa za kwenda na nyakati nyie mnafanya bora liende kisa mmekamata dola kimagendo , mnategemea kuteka , kubambikia kesi za ujinga za ugaidi, na mmeruhusu kila mmoja kwenye nafasi katika uongonzi kuwa kambale ,
Mfano , mwenyekiti Uvccm , waziri , mbunge anapata wapi mamlaka kumshambulia Makamu wenu wa urais hata kama wananchi wanajua ni wa mchongo ? tokana na uchafuzi uliopita.
Wasira na wazee wa haina hii why endelea wapa nafasi kwenye chama tena za juu hampikagi vijana wenye akili ?
Kwa ujinga huu mtakalishwa sana na Chadema ,badilikeni ,nyie vipi .
Chama chochote kitegemeapo dola ni mfu period.
Thanks