4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
- Thread starter
- #21
Mkuu Chadema kwa sasa sio ya mchezo imeteka Anga la Tz nzima ,ukweli usemweUnaongea nini mkuu😅😅
Mkuu Chadema kwa sasa sio ya mchezo imeteka Anga la Tz nzima ,ukweli usemweUnaongea nini mkuu😅😅
Haya sawaMkuu Chadema kwa sasa sio ya mchezo imeteka Anga la Tz nzima ,ukweli usemwe
Yanajazwa mazee huko sasa moto wa chadema wataweza kweli? MkuuVijana wa ccm ni mboga saba
Baelezeee.. Baelezeee!:Sure chama daily tengeneza vija vilaza , lakini je ni kwa bahati mbaya ? Jibu ni makusudi ,
Huwezi anza pambana na chadema kwa wazee kama wasira n.k. basi kama ni wazee watafutwe kama akina Mzee Warioba n.k ,mnachukua wazee ambao wamechoka kifikra wale ndo wajibu Hoja za damu changa za chadema , mie ni muhumini wa vyama viwili au vitatu vyenye nguvu tz sio kuuana na kutekana , kwamba ccm vijana waliowatengenza ni wakina Kihongosi ,Makonda ,mtabinywa mpaka mkome kama ndo vijana mliowatengeneza wa namna hii, acheni mazoea ,chukueni vijana wenye upeo mkubwa wape majukum , tulipo utekaji sijui ujinga gani hautowasaidia.
Leo mwenyekiti wa uvccm na Mwenyekiti wa Bavicha wakiingia kwenye mdahalo ni kama maji na mafuta ,hamna kitu pale
Hamna pale chama, nawashauri wema,Ww nae unatumia akili kubwa kuwaza mambo madogo kama hayo
Ccm hana haja ya kutengeneza vijana wa kupambana na ccm ila ccm kazi yake ni moja tu kuacha chadema itengeneze vijana wao wakija wanawanunua na kuwatumia na kua mali yao
Unashindwa ata kuwaza tu ivi kuna vijana wangap walioko kwenye serikal ya samia na walitoka chadema
Wacha nikukumbushe wawili kuna kafulila kuna katambi hawa wote walikua chadema ila leo hii ni ccm kindaki ndaki
So ccm sio lazma itengeneze vijana ila ccm inaweza kutumia nguvu na ushawishi wa chadema kwa kuchukua vijana toka chadema na kuhamia ccm
Hao nimekupa tu mfano ila kuna vijana wengi sana walikua chadema ila leo hii wamenunuliwa wako ccm wengne ni MA DC NA RC KIBAO na wengne hawana vyeo wanangoja muda sahihi
john heche kitu pekee alicho nacho ni ujasiri wa kuzigombeza mamlaka za serikali ila ana changamoto za kutokuwa na taarifa sahihi na wanachadema wengi wa sasa wana ugonjwa wa kutokuwa na taarifa sahihi ndio maana wanajikuta wanadandia sinema za CCMWakuu amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake popote mlipo
Rejea mada Tajwa hapo juu
Ccm ni chama cha mda mrefu , ila unaweza jiuliza kwa vijana katika chama husika wote ni vilaza mpaka kujaza wazee kwenye safu ya uongozi wa chama chao, mfano Wasira na uyu mzee wa Toronto alieteuliwa kuwa naibu katibu bara.
Mnafikili mtaweza gusa /shindana na chama cha siasa kama Chadema ambayo kuanzia juu mpaka chini ni damu changa kwa dunia ya leo, Heche mmoja anawatoa makamsi vipi Mwenyeki wao angekuepo ?
Wenzenu wanafanya siasa za kwenda na nyakati nyie mnafanya bora liende kisa mmekamata dola kimagendo , mnategemea kuteka , kubambikia kesi za ujinga za ugaidi, na mmeruhusu kila mmoja kwenye nafasi katika uongonzi kuwa kambale ,
Mfano , mwenyekiti Uvccm , waziri , mbunge anapata wapi mamlaka kumshambulia Makamu wenu wa urais hata kama wananchi wanajua ni wa mchongo ? tokana na uchafuzi uliopita.
Wasira na wazee wa haina hii why endelea wapa nafasi kwenye chama tena za juu hampikagi vijana wenye akili ?
Kwa ujinga huu mtakalishwa sana na Chadema ,badilikeni ,nyie vipi .
Chama chochote kitegemeapo dola ni mfu period.
Thanks
Ndugu usichojua Katambi ni zao la CCM Huyajui mapandikizi🤣🤣🤣Hu puuzi kumbe wakina Katambi , n.k nizao la chadema , why mlio ccm hampewi nafasi ila watokao chadema wanapewa vyeo mpaka uwaziri ,hamjiulizi kwamba vijana wa ccm ni vilaza , yani Mgeni anakuja kwako unamkabidhi mpaka chumba chako cha kulala na mkeo then useme kuna hakili pale, hivi unajua Katambi anaweza kuwa ccm mchana ila usiku anaijiwa na ndoto nyingi za mabadiko katika taifa lake?
john heche kitu pekee alicho nacho ni ujasiri wa kuzigombeza mamlaka za serikali ila ana changamoto za kutokuwa na taarifa sahihi na wanachadema wengi wa sasa wana ugonjwa wa kutokuwa na taarifa sahihi ndio maana wanajikuta wanadandia sinema za CCM
wakati wa Dr Slaa sijui ni wakina nani walio kwenye mfumo ambao walikuwa wanawapa wakina Slaa nyepesi nyepesi ? kwa sasa inaonekana kuna watu waropokaji ropokaji kwenye Vyama vyote vya siasa.
cc ShesRise_1 kwa taarifa
Wenda ila kalelewa chadema , uzuri namjua vizuri tu mpaka Baba yake aliekua co ,moja ya kutuo ka dini pale shinyana mjini ,so namfahamu vizuriNdugu usichojua Katambi ni zao la CCM Huyajui mapandikizi🤣🤣🤣
Umejibu ujinga , mizee akili ndogo inakalia viti ,nyie vijana mpo tu imba ccm mbele kwa mbele wapumbavu kweli , siasa za sasa zataka mchakamchaka , sasa Mzee wa Toronto atafanya nini kwenye kizazi ichi cha Gz ,Ally happy sio kijana hujaona alivyokuwa anajibu hoja za Heche. Kwa Hali hiyo Wacha tuendelee kuongozwa na wazee. Ila nimeshangaa kati ya Mongella na Mwanri ni nani anatakiwa kusitaafu?
hakili au akili ?Umejibu ujinga , mizee akili ndogo inakalia viti ,nyie vijana mpo tu imba ccm mbele kwa mbele wapumbavu kweli , siasa za sasa zataka mchakamchaka , sasa Mzee wa Toronto atafanya nini kwenye kizazi ichi cha Gz ,
Ccm hakili hamna kazi tu fanya ujinga ,ujinga tu
Ccm kuna category za wanachama kama tatu au Nne hiviWakuu amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake popote mlipo
Rejea mada Tajwa hapo juu
Ccm ni chama cha mda mrefu , ila unaweza jiuliza kwa vijana katika chama husika wote ni vilaza mpaka kujaza wazee kwenye safu ya uongozi wa chama chao, mfano Wasira na uyu mzee wa Toronto alieteuliwa kuwa naibu katibu bara.
Mnafikili mtaweza gusa /shindana na chama cha siasa kama Chadema ambayo kuanzia juu mpaka chini ni damu changa kwa dunia ya leo, Heche mmoja anawatoa makamsi vipi Mwenyeki wao angekuepo ?
Wenzenu wanafanya siasa za kwenda na nyakati nyie mnafanya bora liende kisa mmekamata dola kimagendo , mnategemea kuteka , kubambikia kesi za ujinga za ugaidi, na mmeruhusu kila mmoja kwenye nafasi katika uongonzi kuwa kambale ,
Mfano , mwenyekiti Uvccm , waziri , mbunge anapata wapi mamlaka kumshambulia Makamu wenu wa urais hata kama wananchi wanajua ni wa mchongo ? tokana na uchafuzi uliopita.
Wasira na wazee wa haina hii why endelea wapa nafasi kwenye chama tena za juu hampikagi vijana wenye akili ?
Kwa ujinga huu mtakalishwa sana na Chadema ,badilikeni ,nyie vipi .
Chama chochote kitegemeapo dola ni mfu period.
Thanks
Umeongea ukweli mkuu , sasa may be ndo maana imebaki debe tupu, chama kimekua cha kijinga sana ,vijana mlioko huko jitafakari sanaCcm kuna category za wanachama kama tatu au Nne hivi
1. Madoni wenye akili nyingi( Washikadau) hawa ni vipanga, idadi Yao ni ndogo lakini ndio wenye Nchi.
2. Wastani, hawa ni opportunists, wajanja wa mjini, wacheza na Fursa humu kuna makundi mbali mbali
3. Wapiga kelelez debe tupu
Vyovyote vilehakili au akili ?
Vijana wenyewe hatupendani, wivu mkubwa tumelithishwa itikadi na hisia hatari dhidi ya opponents wetu Kuna haja gani ya kupewa nafasi?. bora waendelee tu wenyewe sababu sisi hatuna uwezo wa kujenga hoja kishindana kwa hoja hata wakitupa bunduki tutauana sababbu hatuna maono zaidi tunatumika kupush wengine tu.Umejibu ujinga , mizee akili ndogo inakalia viti ,nyie vijana mpo tu imba ccm mbele kwa mbele wapumbavu kweli , siasa za sasa zataka mchakamchaka , sasa Mzee wa Toronto atafanya nini kwenye kizazi ichi cha Gz ,
Ccm hakili hamna kazi tu fanya ujinga ,ujinga tu
Dar umeongea kwa uchungu sanaVijana wenyewe hatupendani, wivu mkubwa tumelithishwa itikadi na hisia hatari dhidi ya opponents wetu Kuna haja gani ya kupewa nafasi?. bora waendelee tu wenyewe sababu sisi hatuna uwezo wa kujenga hoja kishindana kwa hoja hata wakitupa bunduki tutauana sababbu hatuna maono zaidi tunatumika kupush wengine tu.