chadema na ccm

The Party for Democracy and Progress (Swahili: Chama cha Demokrasia na Maendeleo), commonly known as Chadema, is a centre-right political party in Tanzania. It was the second-largest political party in Tanzania and campaigns on regional autonomy of self-governing states in the country.

View More On Wikipedia.org
  1. 4

    JamiiForums Tanzania CCM mjitafakari. Hamna vijana mliowapika ili kuweka chama chenu kwenye ushindani wa kisasa na CHADEMA?

    Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake popote mlipo Rejea mada Tajwa hapo juu Ccm ni chama cha mda mrefu , ila unaweza jiuliza kwa vijana katika chama husika wote ni vilaza mpaka kujaza wazee kwenye safu ya uongozi wa chama chao, mfano Wasira na uyu mzee wa Toronto...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nini kinazuia CHADEMA na CCM wasikae mezani kuondoa huu mzozo?

    Assalam alaykum Kila mtu anafahamu kuwa nchi inapita kwenye mapito magumu mno kutokana na mzozo wa vyama hivi na kutunishiana misuli CCM wanatumia dola huku CHADEMA wakiwekeza katika harakati na madola makubwa ya dunia Hali hii inatuvuruga sana kiuchumi na kisiasa na kimahusiano ya dunia...
  3. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya chadema Wala si tishio kwa CCM, kwasasa CCM ipo busy na utekelezaji wa Ilani ya chama muda ukifika ndo mtajua maana halisi ya CCM

    Wafuasi wa chadema mmeshasahau kuwa mlizungusha mikono nchi nzima lakini Leo hii hamna hata balozi wa nyumba 10, hiyo nafasi msahau hamtakaa mpate mbunge hata mmoja, siasa zenu za machafuko zimewatibua sana wapiga KURA. Chadema mmetia watu hasira, mmewatia hasara, watu wamepoteza mitaji...
Back
Top Bottom