vijana kugombea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA: Uchaguzi umekuwa ni bomba la kuua vijana, hatutaruhusu Uchaguzi ufanyike

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo huko Singida, Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA, Deogratius Mahinyila amesema kuwa vijana wa CHADEMA watahakikisha Uchaguzi wa mwaka huu haufanyiki Mahinyila amesema kuwa mara kwa mara vijana wamekuwa wakiuliwa kipindi cha Uchaguzi, ikiwemo kwenye Uchaguzi wa Serikali...
  2. Pre GE2025 Vijana mnaokusudia kutangaza nia uchaguzi mkuu ujao, punguzeni mchecheto, papara na pupa majimboni kwa wenyewe

    Friends, ladies and gentlemen, ndugu zangu wakusudia kutangaza nia uchaguzi mkuu ujao. Njooni taratibu, njoni pole pole. Pupa si kitu kizuri sana. Vyama vyenu vinawatazama, viongozi wenu na wanachama wenu wanawapima kwa nidhamu, heshma na uadilifu mnao uonyesha. Kumbukeni bado kuna viongozi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…