vijana kugombea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 M/Kiti UVCCM Kagera: Vijana acheni kuwa wasindikizaji, gombeeni nafasi uchaguzi mkuu 2025

    FARIS BURUHANI: VIJANA ACHENI KUTOA SADAKA TU JIFUNZENI KUPOKEA PIA*📌 Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani amewaasa vijana wa mkoa huo kujipanga kimkakati kugombea nafasi za uongozi kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Ndugu Faris ameeleza hayo alipokuwa akizungumza na...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA: Uchaguzi umekuwa ni bomba la kuua vijana, hatutaruhusu Uchaguzi ufanyike

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo huko Singida, Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA, Deogratius Mahinyila amesema kuwa vijana wa CHADEMA watahakikisha Uchaguzi wa mwaka huu haufanyiki Mahinyila amesema kuwa mara kwa mara vijana wamekuwa wakiuliwa kipindi cha Uchaguzi, ikiwemo kwenye Uchaguzi wa Serikali...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana mnaokusudia kutangaza nia uchaguzi mkuu ujao, punguzeni mchecheto, papara na pupa majimboni kwa wenyewe

    Friends, ladies and gentlemen, ndugu zangu wakusudia kutangaza nia uchaguzi mkuu ujao. Njooni taratibu, njoni pole pole. Pupa si kitu kizuri sana. Vyama vyenu vinawatazama, viongozi wenu na wanachama wenu wanawapima kwa nidhamu, heshma na uadilifu mnao uonyesha. Kumbukeni bado kuna viongozi wa...
Back
Top Bottom