Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
FARIS BURUHANI: VIJANA ACHENI KUTOA SADAKA TU JIFUNZENI KUPOKEA PIA*📌
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani amewaasa vijana wa mkoa huo kujipanga kimkakati kugombea nafasi za uongozi kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Ndugu Faris ameeleza hayo alipokuwa akizungumza na Baraza Maalum la UVCCM wilaya ya Biharamulo tarehe 19/03/2025 katika Ukumbi wa Boma mjini Biharamulo.
Ndugu Faris ameeleza kwamba vijana hawataki kuwa nyuma katika uchaguzi huu na badala yake wajiandae vema kwenda kugombea nafasi za udiwani na ubunge na sio kuwasindikiza tu wagombea.
Awali vijana hao wameombwa kuacha tabia za uchonganishi na ufitinishi kwani yako maisha wanatakiwa kuishi baada ya uchaguzi wa mwezi Octoba.
Pia soma Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025