FARIS BURUHANI: VIJANA ACHENI KUTOA SADAKA TU JIFUNZENI KUPOKEA PIA*📌
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani amewaasa vijana wa mkoa huo kujipanga kimkakati kugombea nafasi za uongozi kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Ndugu Faris ameeleza hayo alipokuwa akizungumza na...