Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Faris Buruhani, amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imewekeza katika kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia wizara, halmashauri na taasisi mbalimbali za kifedha.
Akizungumza Oktoba 31, 2026...