Nimefuatilia mikutano kadhaa ya kampeni na nimeona kundi kubwa la vijana wakishiriki kikamilifu kuwasikiliza wagombea. Uwepo wao unaibua mjadala mkubwa kuhusu nafasi ya vijana katika siasa na mchango wao katika mustakabali wa taifa.
Vijana ndio nguvu kazi ya taifa, hivyo kushiriki kwao katika...
Friends, ladies and gentlemen, ndugu zangu wakusudia kutangaza nia uchaguzi mkuu ujao.
Njooni taratibu, njoni pole pole. Pupa si kitu kizuri sana. Vyama vyenu vinawatazama, viongozi wenu na wanachama wenu wanawapima kwa nidhamu, heshma na uadilifu mnao uonyesha.
Kumbukeni bado kuna viongozi wa...