vijana wa afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Shindano la uvumbuzi linaloungwa mkono na China lawapa vijana wa Afrika uwezo wa kukabiliana na changamoto za ndani

    Wakati alipopanda jukwaani kuonyesha ustadi wake wa matibabu ya jadi ya Kichina (TCM), Rebaone Monama, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Johannesburg nchini Afrika Kusini, aliibua shangwe kubwa kwa hadhira iliyokuwa imetulia kwa baridi ya jioni katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi. Monama alikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Jukwaa la Kimataifa la Nasser lashiriki katika Kongamano la Vijana wa Afrika 2025

    Jukwaa la Kimataifa la Nasser limeshiriki kikamilifu katika Kongamano la Vijana wa Afrika (Pan-African Youth Forum 2025) uliofanyika nchini Djibouti kuanzia Novemba 4 hadi 6, 2025, chini ya uratibu wa Tume ya Umoja wa Afrika, ukiwa na kaulimbiu isemayo “Kutoka kwenye ndoto hadi vitendo: Vijana...
  3. JamiiForums Tanzania Volunteering Program AFCON 2025 Morocco, Fursa Adimu kwa Vijana wa Tanzania

    Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 yanayotarajiwa kufanyika nchini Morocco kuanzia tarehe 21 Desemba 2025 hadi 18 Januari 2026, yamefungua rasmi milango ya volunteering program. Takribani watu 4,000 wanahitajika kushiriki katika maandalizi na uendeshaji wa mashindano haya...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana wa Afrika wanaopigania Uhuru na Uchumi wa Bara lao, Wazee bado wanaendelea kuuza Maliasili kwa Mabwenyenye

    Afrika ni tajiri kwa kila namna – lakini umasikini wake ni matokeo ya wasaliti wa ndani wanaouza utu wa bara hili kwa maslahi yao binafsi. Ni jukumu la vijana kuamka, kuungana, na kuchukua nafasi yao katika kujenga Afrika huru, ya haki, na yenye uchumi imara kwa wote. 1. Vijana Wanataka Uhuru wa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Afrika ni nguvu kuu katika maendeleo ya bara hilo

    Katika bara zima la Afrika, vijana sio tu wamekuwa washiriki, bali ni sehemu muhimu ya kuongeza kasi ya mageuzi ya bara hilo. Kwa mujibu wa Umoja wa Afrika na Benki ya Maendeleo ya Afrika, bara hilo ni makazi ya idadi kubwa ya vijana duniani, likiwa na zaidi ya watu milioni 400 wenye umri wa...
  6. JamiiForums Tanzania Utafiti: Asilimia 82 ya vijana wa Afrika wanaona ushawishi wa China kwa nchi za Afrika ni jambo chanya

    China imebadilisha uchumi wake katika miongo miwili hadi mitatu iliyopita na kujenga uhusiano wa kibiashara na Afrika. Takriban miongo mitatu iliyopita, sehemu ya biashara ya China na Afrika ilikuwa asilimia 3 pekee. Hata hivyo, kufikia mwaka 2012, takwimu hizi ziliongezeka kwa kasi hadi...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wa Afrika waichukulia China kama nchi yenye ushawishi chanya zaidi barani Afrika?

    Jopo la washauri bingwa la Afrika Kusini Ichikowitz Family Foundation hivi karibuni imetoa “Ripoti ya Uchunguzi wa Vijana wa Afrika (mwaka 2024)”, ambayo liliwahoji zaidi ya vijana 5,600 wenye umri wa miaka 18 hadi 24 katika nchi 16 za Afrika, ikiwa ni pamoja na Afrika Kusini, Ethiopia, Kenya na...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wito wa Gen Z wa Kenya kwa vijana wa Afrika

    Anaitwa Julius! Ni Gen Z kutoka nchini Kenya. Amewaasa vijana wa Afrika kuwa njia pekee ya kuleta MAGEUZI ni kupinga maovu yanayofanywa na Serikali zao. Katoa wito huo alipokuwa mahakamani kwa tuhuma za kusababisha uvunjifu wa amani. Baada ya kusomewa shaka lake na kutakiwa kujibu kama ni...
  9. JamiiForums Tanzania Vijana milioni 23.6 barani Afrika hawana ajira

    Inakadiriwa kuwa vijana wapatao milioni 23.6 barani Afrika (wenye umri wa miaka 15-35) hawana ajira – sawa na mmoja kati ya 22 (4.5%). Kwa idadi hii kutarajiwa kuongezeka hadi milioni 27 ifikapo mwaka 2030, umuhimu wa ajira ni wa hali ya juu. Katika muktadha huu, World Data Lab na Mastercard...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…