Siku za karibuni nimekuwa nikiona matangazo mengine matandaoni ya kuwavutia vijana kwenda kusoma bure Urusi.
Kabla ya vita hii inayoendelea sikuwahi kuona matangazo kama haya
Sasa ukitazama kuna vijana kadhaa kutoka Afrika waliokuwa wanasoma huko wamefia vitani halafu wote walikuwa jela
Hii...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini (TEC) Padri Charles Kitima amewaasa wanasiasa kujirekebisa kwani ipo siku vijana wataleta mapinduzi miaka michache ijayo. Ameyasema haya kwenye mjadala wa maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Demokrasia Septemba 15, 2022.
"Msipo jirekebisha ninyi...
Ilikua ni mapema sana majira ya saa 2 Asubuhi katika kijiji cha Hatuchekani mkoa wa Magharibi nikiwa katika mazungumzo na mzee Haambiliki, Niliweza kubaini vyanzo vya maji tiririka yanayoelekea katika dimbwi la Ajabu na linalotisha,sikuwahi tambua kama katika nchi ya Tanzania kuna Dimbwi...
Ni ngumu sana kwa karne hii iliyojaa kizazi cha nyoka kupaka mwanamke ambae ana utayari wa kukaa kwenye ndoa.
Hii ina maana kuwa anakuwa tayari kuvuliwa chupi, kufanya usafi, kusaidia ndugu na jamaa za mume na kutii maagizo ya mume.
Siku hizi wanawake wengi wanatafuta mahala pa kujificha na...
Wanayaita Dubu au Bonanza. Hapa unaweza ukaliwa hadi ubongo. Vijana wa Kitanzania sasa hivi mpaka huko vijijini huwaambii chochote kuhusu hii dubwasha.
Kwahyo wakati uraibu wa betting haujakolea vizuri, kuna uraibu wa Dubu/Bonanza ambapo mbaya zaidi wanachezq mpaka watoto wadogo wa shule za...
Moja ya Kiongozi Mwanamke aliyeweza kufanya mabadiliko makubwa ya utoaji huduma na kupanua uwazi Kwa wateja ni Kamishna Jenerali wa UHAMIAJI. Ametumia elimu yake kufanya mabadiliko makubwa na amefanikiwa kuzifanya huduma za UHAMIAJI ziwe kwenye mtandao kama nchi za ulimwengu wa kwanza.
Kwa...
Ukiondoa mchezo wa soka ambapo jambo kuu ninalojivunia ni kuishi katika zama moja na magwiji wawili wa soka duniani Muagentina Lionel Messi na Mreno Christiano Ronaldo, jambo jingine ninalojivunia ni kuzaliwa katika taifa la Tanzania na kuishi katika zama hizi tulizopo. Yawezekana walioishi zama...
Kuna vijana wengi sana wa kitanzania ambao walishakuwa brainwashed na kujiunga na makundi ya kigaidi kama Al shabab.
Vijana wengi sana toka mikoa ya pwani, Tanga , Arusha walishajiunga na kundi la Al shababu na wengi tu walishawahi kuhudhuria mafunzo ya kigaidi huko Somalia.
Hata hayati...
- Wanaojua kuzungumza Kiingereza hata kama wanazungumza Kiingereza "broken". Wote ni mashahidi, hawa hata hapa JF wapo. Siku zote hujihisi wao ni bora na maisha wameyapatia.
- Wanaomiliki matoleo mbalimbali ya simu za iPhone. Siongezi neno kuhusu kundi hili.
- Waliochukua mkondo wa masomo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.