Ni wazi usalama wa watu na makazi ya kila mTanzania, ni muhimu zaidi ya uhuru wa kuchchea au kuhubiri chuki, uhasama na migawanyiko nchini, kwa mgongo wa kufanya siasa.
Tumpongeze waziri wa mambo ya ndani ndugu Patrobas Katambi, kwa uthubutu na uzalendo wa kiwango cha juu sana aliouonyesha...
This time naona vijana wanajizatiti kuelekea Oktoba 29 ambap maandalizi yanaendelea huku vijana baadhi wakitumia ofisi zao kutengeneza nyenzo zitakazosaidia wakati wa maandamano
"Kijana ambaye ni mpenda rushwa, mwizi, fisadi, tapeli, mvivu, mtumia madawa ya kulevya, asiyejifahamu, nk, aina hii ya vijana wana mchango mdogo sana katika taifa na hata kwenye chama." - Magufuli
Hii ndio aina ya vijana waliojaa CCM na CCM-B zote, chawa wasio na maana wanaouza wenzao ili...
Wakuu,
Kumbe vijana Tanzania tumetoa tamko na hamsemi, mna siri nyinyi:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:
====
Vijana Wazalendo nchini wamesema watandelea kumlinda Rais Samia kwa wivu mkubwa huku wakiwaonya baadhi ya Watanzania ambao wanafifisha juhudi za Serikali ya awamu ya sita kwa kutumia...
Habari watanzania wenzangu
Nianze kwa kusema kitu chochote unachokipenda utakilinda ,utakithaminisha na kukitetea kwa gharama kubwa pale unapoona kinaweza kuchukuliwa.
Inasemekana baba wa Taifa akiwa mgonjwa Sana akisubiri ndege aende kwenye matibabu uingereza ,
Alitoa wosia kwamba
"waambie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.